Kwani kipindi Iran anaiporomoshea mvua ya makombora Israel huyo Jordan aliruhusu kombora lipite kwenye anga yake?
Si walijipanga kuyatungua makombora yatakayopita kwenye anga yao wakisaidiwa na Marekani na Uingereza lakini vyuma vilipita anga hilo hilo bila kudunguliwa hadi vikashuka Israel.
Hata safari hii Iran ametangaza wazi anaishambulia Israel katika hali ambayo dunia itaduwaa na makombora yatapita anga hizo hizo za Jordan, Saudia na mataifa mengine lakini vyuma vitafika kama ilivyokusudiwa licha ya Israel, Marekani, Saudia, Jordan na mataifa mengine kufanya jitihada za kuyadungua kabla hayajatua Israel.