Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru
Hadi muda huu bado hali ni tete nchini Israel kufuatia shambulizi hilo la nguvu kutokea angani na ardhini
We will keep you updated
Mengi ya maroketi hayo yameangushwa na Ironed Dome
Well keep you updated
Taarifa kamili hapo chini:
===
Rocket barrage fired from Lebanon at north; Iron Dome intercepts many
The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)
The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)
Numerous Iron Dome interceptions are seen over the Galilee Panhandle amid a rocket barrage from Lebanon.
Labda una shida ya lugha.
Hakuna shambulio lolote la pekee tofauti na kitu ambacho kimekuwa kikifanyika wakati wote.
Hakuna madhara yoyote leo hii yaliyotokea kwa Israel kutokana na mashambulio hayo ya kawaida ya Hezbollah.
Leo, kibaya kilichotokea kwa Israel ni mpalestina mmoja kuingia Israel na kumwua kwa kisu mama mmoja wa miaka 70, na kuwajeruhi wengine kadhaa. Baba mmoja wa miaka 70 aliyejeruhiwa na mshambuliaji huyo, naye amefariki akiwa hospitali.
Mshambuliaji, naye aliuawa hapo hapo. Waziri wa masuala ya Israel anayehusika na masuala ya usalama amewakumbusha wananchi wa Israel waishio mpakani na wapalestina kuwa na silaha wakati wote na kuwa tayari kuzitumia dhidi ya wapalestina wanaoonekana kutaka kuwashambulia kabla hawajawashambulia.
Wakati huo huo Hamas wamethibitisha kuuawa kwa wapiganaji wake 9, akiwemo kamanda wao mwingine.
Iran na makundi yake ya kigaidi ambayo imekuwa akiyafadhili, bado wanatafakari namna ya kulipiza kisasi. Mashaka yao makubwa ni namna Israel itakavyoyajibu mashambulio hayo, hasa dhidi ya Hezbollah, ukizingatia kuwa mataifa jirani ya kiarabu hayaiungi mkono Iran kwenye harakati zake za kupandikiza makundi hasimu ya serikali za mataifa hayo, huku ikijua kuwa Israel ina uungwaji mkono wa baadhi ya mataifa kama USA, UK na Ufaransa katika kuhakikisha Israel haidhuriki.