Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi Leo hawajui Haniya amekufaje.Baba Yenu wa Iran bado anatafuta Ushaidi - Ili aanze Vita na Mtoa Roho (Israili) .Maana anajua litakalompata So Bado anatapa tapa kuanza Vita na Israili
Hezbollah wana Silaha kali sana. Watashinda vita hiiHii iron dome ya Israel kweli au msumbuji ...kama Hezbollah anawachapa atakavyo hiv Iran mtamueza kweli
😂😂😂🤣Wamepata mafanikio yoyote au wameishia kupoteza muda wao tu ?
Wanatapatapa ile mbaya- wameanza kamata kamata nchi nzima 🤣🤣Hadi Leo hawajui Haniya amekufaje.
Hili limewapa hofu kubwa mara 1000
Kinachosikitisha mauhaji haya yamefanywa kwenye moja wapo ya jengo lenye ulinzi mkali sana 🤣Hawa kazi yao ndogo tu, kama 'mtu' anafuatwa hadi ndani ya Iran na kula kipande cha nondo wapi hawa jamaa hawawezi kufika tena
We kondoo kweli jina lake ni Mohamed Al Masri au Al Dhaifu. Sababu ya kuitwa Al Dhaifu ni mgeni asiye baki ugenini. AL Dhaifu kwa kiarabu ni mgeni. We na wajinga wakristo mtaweza kutanka Al Dhaifu nyie ulimi wenu wa aleluya lazima mpindishe lugha, ulimi wenu umelainishwa na milenda mtaweza wapi kutamka majina ya kislam nyie.Mohammed Al Dhaifu hatumjui sisi tunamjua Mohammed Deif.
We imba nyimbo tu nyimbo za Aleluya, America kisha changanyikiwa kajaribu kumsemesha Oman amsemeshe Iran asipige Israel. Iran kagoma hataki kabisa. Al Houth sa yeyote atajibu shambulio alilo piga Israel pale Al Houdaida inajulikana ni America na UK ndio walio piga sio Israel. Yemen alisha jipanga kulipa sio ajabu yeye akawahi kulipa kabla ya Iran. Hezbullah analipa huko moto unawaka Kyriat Shmona karibu 90% wakazi wamekimbia huko na hao 10% wako njiani haijawahi kutokea Israel hivyo tangu 1970 😄Baba Yenu wa Iran bado anatafuta Ushaidi - Ili aanze Vita na Mtoa Roho (Israili) .Maana anajua litakalompata So Bado anatapa tapa kuanza Vita na Israili
Magaidi yanakesha kufanya Visomo ili Iron Dome iharibike😁Yote yamemezwa na Iron Dome
😂😂😂Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru
Hadi muda huu bado hali ni tete nchini Israel kufuatia shambulizi hilo la nguvu kutokea angani na ardhini
We will keep you updated
Mengi ya maroketi hayo yameangushwa na Ironed Dome
Well keep you updated
Taarifa kamili hapo chini:
===
Rocket barrage fired from Lebanon at north; Iron Dome intercepts many
The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)
The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)
Numerous Iron Dome interceptions are seen over the Galilee Panhandle amid a rocket barrage from Lebanon.
Hahaha sasa media kazi yake ni nini kama unazuia ukweli, hivi wewe unadhani Hezbullah hapati signal alicho kipiga kakipiga au hajakipiga. Israel anacho ogopa ni aibu taifa lake liko uchi kabisa linatiwa vidole tu. Anaruhusu media zionyeshe missiles anazo zipiga mambo yake ni show off zinazo penya anazuia media kabisa kuchukua. Sehemu zile anapigwa vidole, anaficha watu wasione , mashoga noma sana hata mfiche vipi mnajulikana tu imedundwa 😄We jamaa akili zako ni kidogo sana! Yani unataka waizrael ndio wakuchukulie picha? Kwani nyie kinachowashinda kuchukua hizo picha ni Nini??
Jamaa unalalamikia vitu ambavyo hata mtoto wa miaka mitano hawezi kuvilalamikia.
Jamani shule muhimu, tupeleke watoto shule.
Dalili hi hapa hi channel ni jina tu inaitwa al arabiya, lakini iko against Hezbullah, Al houth na Iran ona ilivyo onyesha wanaficha nini? Nchi za kiarabu hawana sababu za kuficha unaficha nini na wakati wanaona kule kwenye control room wamepiga target 😄 Au wanaona aibu kuonyesha udhaifu wao vitu vinavyo tereza kiulaini kabisa kupiga taifa teule la Paulo.
View: https://youtu.be/4EFsuXv8ZF4?si=Ki1R5oXlThWqLT77
Israel wanatukosesha raha watazamaji kuona vitu vya Hezbullah vinavyo land na kuchakaza Israel.
IRON DOME NDIO HIZI ZINALIPULIWA NA HAMAS KILA SIKU 😂😂😂😂😂😂Unaliliwa wewe
Hilo ndilo jambo tunalotaka kuhabarishwa; wamefanya uharibifu kiasi gani!?
Hiyo idadi ya makombora na umahiri wa Iron dume ni ngonjera tu!
Ila wewe unayewatetea magaidi ndio unajiona bonge la Mwarabu!Wewe upo Kimara Bonyokwa huko ila mentally umejipa uisrael, bwashee hizo sio dalili nzuri kiafya.
Wababe hawa hapa_ Alafu kuna hawa Vibaraka wa Iran na Silaha za mwaka 1947🤣🤣We imba nyimbo tu nyimbo za Aleluya, America kisha changanyikiwa kajaribu kumsemesha Oman amsemeshe Iran asipige Israel. Iran kagoma hataki kabisa. Al Houth sa yeyote atajibu shambulio alilo piga Israel pale Al Houdaida inajulikana ni America na UK ndio walio piga sio Israel. Yemen alisha jipanga kulipa sio ajabu yeye akawahi kulipa kabla ya Iran. Hezbullah analipa huko moto unawaka Kyriat Shmona karibu 90% wakazi wamekimbia huko na hao 10% wako njiani haijawahi kutokea Israel hivyo tangu 1970 😄
Nyie endeleni kupiga ngoma zenu za kujifurahisha eti Israel ni super power 😄
Nyie hamna hata mabikra nyie mnamimalaya imejazana kanisani zaidi ya 72 😄Wababe hawa hapa_ Alafu kuna hawa Vibaraka wa Iran na Silaha za mwaka 1947🤣🤣