Kwa hiyo tukuamini wewe uliye Tandale kwa Tumbo kuliko hivyo vyombo vya habari..!!Mwambie Israel awachie media wachukue sehemu zilizo pigwa, ndio utaelewa Israel kapokea kipigo we mwenyewe utabaki mdomo wazi. Israel kwanini hataki media ziseme ukweli au kuchukua maeneo yaluo pigwa. Anaogopa nini kama kweli anatungua hizo missiles, katika 50 anangusha 10 au 8 tu vitu vingine vinatereza kama kawaida. Kwenye taifa la vitu laini.