Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Mwambie Israel awachie media wachukue sehemu zilizo pigwa, ndio utaelewa Israel kapokea kipigo we mwenyewe utabaki mdomo wazi. Israel kwanini hataki media ziseme ukweli au kuchukua maeneo yaluo pigwa. Anaogopa nini kama kweli anatungua hizo missiles, katika 50 anangusha 10 au 8 tu vitu vingine vinatereza kama kawaida. Kwenye taifa la vitu laini.
Kwa hiyo tukuamini wewe uliye Tandale kwa Tumbo kuliko hivyo vyombo vya habari..!!
 
Hao magaidi wa Hezbollah wajiandae kutafuta hifadhi kwa wanawake na watoto maanake kinachokuja ni ngumu kumeza.
 
Yaani ukisoma tu majibu unaona yanasema siyo Tel Aviv ila mtu bado kaleta hii taarifa

Screenshot_2024-08-04-10-26-50-254_com.twitter.android.jpg
 
Habari zinachanganya sana.
Wengine wanasema 200 rockets fired Juzi tarehe 1 wengine wanasema 60 fired yesterday.
Tusubiri tu taarifa kamili.
 
Taarifa za mashambulizi ya sasa hivi ni hizi hapa.
Screenshot_2024-08-04-10-23-13-81_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-04-10-23-34-73_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom