Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Wadau hamjamboni nyote?

Hezbollah imeanza kuishambulia vikali Israel kama walivyoahidi Ili kulipa kisasi dhidi ya mauaji ya makamanda wao wawili Ismail haniyeh na shukru

Hadi muda huu bado hali ni tete nchini Israel kufuatia shambulizi hilo la nguvu kutokea angani na ardhini

We will keep you updated

Mengi ya maroketi hayo yameangushwa na Ironed Dome

Well keep you updated

Taarifa kamili hapo chini:

===

Rocket barrage fired from Lebanon at north; Iron Dome intercepts many

The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)

The Iron Dome system intercepts projectiles fired from Lebanon at the Galilee Panhandle in the early morning of August 4, 2024. (Screenshot)

Numerous Iron Dome interceptions are seen over the Galilee Panhandle amid a rocket barrage from Lebanon.
Watapigwa mpaka wachakae dadeki
 
Hezbollah kutoka Lebanon imeishambulia Israel Jana usiku Kwa makombora takribani 50 apo Jana usiku.

Hezbollah IMESEMA kwamba imeishambulia Israel Kwa makombora apo Jana usiku huku ikidaiwq kuwa uenda ikaendelea KUISHAMBULIA zaidi Israel kama kulipa kisasi Kwa kuuliwa Kwa kiongozi wao apo juzi na Israel.

Hali ni mbaya Huko Israel kwani makombora hayo ya Hezbollah japo mengi yaliangushwa na mfumo wa iron dome wa Israel ILa Kuna mengine yameleta madhara zaidi.

Marekani nayo tayari imetoa taarifa Kwa wananchi wake waliopo Lebanon kuondoka mara moja ndani ya nchi hiyo.
Na pia iran IMESEMA itaishambulia Israel leo usiku Kwa mashambulizi makali ambayo yataacha historia.
Haiwezi kitu ngoja NGOJA ROCKET ZA ISRAEL LEO MCHANA ZITUMWE JANA ILIKUWA SABATO
 
Kwani media zinazoonyesha matukio haya mengine zimeshindwa kuonyesha na hili?
Hat media iliyotoa hii taarifa nayo umeshindwa?
Israel aliwafukuza Al jazeera sababu alikuwa akionyesha Missiles zinapo elekea, na mlio wa Missiles zikiland. Akawafukuza kabisa, afu kwanini Israel sehemu zilizo pigwa haruhusu media zichukue hizo sehemu.
 
Nilisema mimi iran hawana tofauti na ..........
images (9).jpeg
 
Dalili hi hapa hi channel ni jina tu inaitwa al arabiya, lakini iko against Hezbullah, Al houth na Iran ona ilivyo onyesha wanaficha nini? Nchi za kiarabu hawana sababu za kuficha unaficha nini na wakati wanaona kule kwenye control room wamepiga target 😄 Au wanaona aibu kuonyesha udhaifu wao vitu vinavyo tereza kiulaini kabisa kupiga taifa teule la Paulo.


View: https://youtu.be/4EFsuXv8ZF4?si=Ki1R5oXlThWqLT77

Israel wanatukosesha raha watazamaji kuona vitu vya Hezbullah vinavyo land na kuchakaza Israel.

Hii ni nini?
 
We jamaa akili zako ni kidogo sana! Yani unataka waizrael ndio wakuchukulie picha? Kwani nyie kinachowashinda kuchukua hizo picha ni Nini??
Jamaa unalalamikia vitu ambavyo hata mtoto wa miaka mitano hawezi kuvilalamikia.
Jamani shule muhimu, tupeleke watoto shule.
Israel aliwafukuza Al jazeera sababu alikuwa akionyesha Missiles zinapo elekea, na mlio wa Missiles zikiland. Akawafukuza kabisa, afu kwanini Israel sehemu zilizo pigwa haruhusu media zichukue hizo sehemu.
 
Baba Yenu wa Iran bado anatafuta Ushaidi - Ili aanze Vita na Mtoa Roho (Israili) .Maana anajua litakalompata So Bado anatapa tapa kuanza Vita na Israili
 

Attachments

  • IMG_9857.jpeg
    IMG_9857.jpeg
    198.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom