Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Acha usenge wewe Camera unawezaje kupiga picha masafa marefu!!??
Kombora unarusha wewe upo Lebanon adui yupo Israel.
Aya hiyo Camera picha unapigaje!?
Mbona unakua FALA kiasi hicho!??
 
Ripoti inasema karusha rockets za Khaibar na katyusha.
Sio missiles,kuna ripoti inasema karusha 200 kuna ingine inasema karusha 60 ambapo ukitoa 15 inabaki 45 yaliyopenya.
 
Acha usenge wewe Camera unawezaje kupiga picha masafa marefu!!??
Kombora unarusha wewe upo Lebanon adui yupo Israel.
Aya hiyo Camera picha unapigaje!?
Mbona unakua FALA kiasi hicho!??
Kwani Israel na Marekani wanapigaje picha za madhara baada ya kufanya mashambulizi sehemu fulani?
 
πŸ‡ΎπŸ‡ͺ According to Al-Mayadeen sources, Ansar Allah shot down another US MQ-9 Reaper UAV today.

Photo from previous interception by Ansar Allah.
 
Attachments

  • IMG_20240804_164357.jpg
    232 KB · Views: 1
Acha usenge wewe Camera unawezaje kupiga picha masafa marefu!!??
Kombora unarusha wewe upo Lebanon adui yupo Israel.
Aya hiyo Camera picha unapigaje!?
Mbona unakua FALA kiasi hicho!??
Kwa hiyo hamna mashushu uyahudini? Wakati upande wenu Kila kona kumejaa mashushu wa kiyahudi..! Ndio maana wenye akili wameamua kujitenga na ujinga wenu wa jihad. Mnapigana vita ngumu mno ambayo kivyovyote kushinda kwenu ni haiwezekani. Hebu emergine hamna hata mtu wa kuwahakikishia kwa ushahidi kwamba makombora yenu yameleta athali kwa kiasi Gani.πŸ€”
 
Qur'an kwanza inakataza hadithi na Mtume alikataza hadithi unless ziwe kweli πŸ’― na Hadithi na Sunnah zote ziko kwenye Qur'an kama hazipo basi ni fake.

Both the words Hadith & Sunnah are in the Qur'an. Both of them refer to God's Sunnah and God's Hadith. There is no such thing as prophet Muhammad's Hadith or prophet Muhammad's Sunnah. Most the Muslims fail to realize that following words other than that of God is defined in the Quran as idolatry (6:19).

Bukhari wakati amekufa aliwacha hadith hazifiki ya robo ziliopo sasa hizo zote 75% ni nyie ndio mmezitunga na wayahudi.

Qur'an iko wazi very very clear hadithi haendi na Qur'an ni fake, sunna haendi na Qur'an ni fake, nyie wakristo mnatumia fake hadith tu hamna jipya.

Kawachezeni wale hawajui Uislam sio mimi dogo.
 
Kwani Israel na Marekani wanapigaje picha za madhara baada ya kufanya mashambulizi sehemu fulani?
Wanapopiga picha Israel na USA baada ya mashambulizi nadhani ni sehemu ambazo hazina ulinzi kama Syria wa anga kamili kama Syria.
Yani ufanye tukio Israel ambapo wana air defence system Ziadi ya aina 3 halafu urudi na drone kupiga picha!?
Wakati huo wao wametulia tu eti!??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚AISEE ujinga mzigo.
Nenda salama.
 
Sasa wewe ndio kiazi kbs! Hivi unaweza kuniambia Israel inawezaje kujua kwamba kombora ililolusha Lebanon limemuua kiongozi wa Hezbollah?? Vipi wao makombora Yao yanakuwaga na camera?? Elimu Elimu Elimu Elimu. Mshike sana Elimu usimuache aende zake.
 
Qur'an iko wazi very very clear hadithi haendi na Qur'an ni fake, sunna haendi na Qur'an ni fake, nyie wakristo mnatumia fake hadith tu hamna jipya.

Kawachezeni wale hawajui Uislam sio mimi dogo.
Weka aya sio unaweka maneno ya kwenye kanga
Halafu hizo hadith nimezitoa kwenye website kubwa za kiislam dunian
 
Bonda VIBONDE HAO.mpaka baba yao Mmarekani aingilie
 
Israel anapigwa mande ayo makombora lengo ni kudhoofisha izo system ili dawa ya iran iingie barabarha
 
Sasa wewe ndio kiazi kbs! Hivi unaweza kuniambia Israel inawezaje kujua kwamba kombora ililolusha Lebanon limemuua kiongozi wa Hezbollah?? Vipi wao makombora Yao yanakuwaga na camera?? Elimu Elimu Elimu Elimu. Mshike sana Elimu usimuache aende zake.
Makalio wewe Hizbollah huwa wanatoa taarifa wenyewe.
Na huwa wanaandaa msiba wakitangaza kuwa kiongozi wetu amefariki.
Hata alivyofariki Fuad kamanda wa pili wa Hizbollah taarifa zilichelewa kutoka mpaka Hizbollah ilipotangaza msiba na kusema kuwa shambulio la Israel limeua kamanda wetu wa pili wa Hizbollah ndipo mazishi yakapangwa.
Hata idadi ya vifo vya wanamgambo wao Hizbollah huwa wanatangaza na kutoa idadi ila na wao wangeamua kuficha hata msingejua.
 
Jordan kasema hakipiti kitu kwenda Ziraili.
Hizi habari zenu mkishiba urojo zina tabu sana.
Amka kesho ujue idadi kwa Iran imefika wapi.
 
Jordan kasema hakipiti kitu kwenda Ziraili.
Hizi habari zenu mkishiba urojo zina tabu sana.
Amka kesho ujue idadi kwa Iran imefika wapi.
Punguani wewe.
Lebanon ina share boarder na Israel.
Israel na Lebanon zimepakana na Kenya na Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…