Shida yako ukikosa hoja unakimbilia udini.
Halafu hoja huna.
Nani kakwambia USA ameshaidhibiti Iran!?
*Houthi wameifunga red sea na leo wamelipua meli vita mbili za USA Kwa msaada wa Iran.
*Hizbollah anashambulia Israel Kwa msaada wa Iran.
*Iran imeweza kuunda Vinu vya nuclear na Sasa inaelekea kuunda silaha zake.
*Iran imeweza kuisaidia Russia Kwa silaha dhidi ya Ukraine na hizo silaha zilionekana kuwa game changer.
*Mashariki ya kati amani anayeamua ni Iran Kwa kufadhili vikundi vya Axis of resistance.
Kwa minajili ipi unasema Iran imedhibitiwa!??
Unaugua mavi wewe Tena ya kuhara.
USSR ilikua ni rahisi kuivunja kwasababu ilijumuisha majimbo tofauti yenye watu wenye tamaduni na asili tofauti.
Ila je USA ameweza kuivunja RUSSIA!??
Huna hoja kazi yako kukimbilia UDINI tu.
Nioneshe USA AMEIDHIBITI WAPI IRAN.
*JE AMEWEZA KUZUIA IRAN KUENDELEA KATIKA NUCLEAR SCIENCE!?
*JE AMEWEZA KUZUIA IRAN KUUNDA SILAHA ZA AINA TOFAUTI!?
*JE USA AMEWEZA KUZUIA IRAN ISIFADHILI MAKUNDI YA WAPIGANAJI!??
Unakaa unaropoka ropoka tu hapa.
Leo Mungu wako USA meli zake zimepigwa mabomu hapo Red sea Kwa silaha za Iran kupitia Houthi.
Yani wewe fact huna Yani huna hoja.