Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Safi sana mpaa unahisi raha 😄
😀😀.Safi sana mpaa unahisi raha 😄
Wewe Al Jazeera wa Hezbollah, endelea kubwabwaja tu, lakini moyoni unaanza kukumbuka tuliyowaambia. Hezbollah anaondoka hivyo. Nasiralla pale juu ndo kabaki pekeyake wenzie wote sent to meet the 72 virgins. Mmebaki kulialia na kuomba ceasefire
kipindi cha vita ya syria hao fighrers walikuwepo wapi hadi asad akataka kuliwa kichwa? isingekua urusi assad angekua hai hadi leo? hao hezbola wenyewe syria waliuliwa kama kukuHaaretz Newspaper:
The army is following with concern the arrival of about 40 thousand fighters from #Syria, Iraq and #Yemen to the Golan and they are waiting for Nasrallah's call to fight
The presence of fighters is dangerous and we will intervene in #Syria to make it clear to Assad that we will not accept their presence in this place
hezbola wamekalia mipasho tuu chini ya mahandaki..juu wanatembezewa kichapo mbayaKichapo kinaendelea hawataki waandishi wa habari wachukue video🤣.
View: https://x.com/adamemedia/status/1839428608156479917?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hizibolah piga hayo magaidi ya KiyahudiWewe endelea na mipasho mimi naleta habari ambazo mabasha zako wanavypchezea kichapo.😀
View: https://x.com/zainabali_72/status/1838621661819482266?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hapo ndiyo patamuHezballoh wanasubiri hizi maiti zirushe makombora.
⚡️Hebrew media: A large number of tanks and military vehicles are deployed near the Lebanese border, in preparation for a possible ground operation in Lebanon.
Mateka wa kukomboa wataongezekaHezballoh wanasubiri hizi maiti zirushe makombora.
⚡️Hebrew media: A large number of tanks and military vehicles are deployed near the Lebanese border, in preparation for a possible ground operation in Lebanon.