Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vimetua Tela Aviv kiulaini kabisa Qadar 1 unambiwa hakuna wakuidaka hiyo Israel anajidai kaiangusha lakini ni uwongo mtupu Mossad imecharazwa leo sababu wamehusika na pager na kuwauwa wale Makamanda kushirikiana na wanafiki huko Lebanon na US.
View: https://youtu.be/LTH98kcCvJo?si=lkSeuHwGQ2k2hh9r
Wanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.
We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.
If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kichapo kinaendelea hawataki waandishi wa habari wachukue video🤣.
View: https://x.com/adamemedia/status/1839428608156479917?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Du wewe Revert, umeona mambo vile iko huko Lebanon! Mdada kesha dunguliwa anaenda kuwa bikira wa 72Waondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Ona hii Haniyeh aliisha muandalia pa kulala wakaendeleze mapenzi yaoHalafu unevaa msalaba wa mbao kilo 10😀
Naona mnataka kumaliza mabikra wote kule jannat.Unajua myahudi ana akili mbovu sana akiudhika eeeeh.Jaribuni muone nyie watoto wa munyaziWaondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Jamaa wameamua kudeal na kichwa cha nyoka.Hakuna mkakati wowote hizbullah anao.Myahudi anasubiri wajichanganye aishangaze duniaWar strategy itakuwa hizbullah wanatunza makombora makali sasa wanatumia yale ya kutoa kama chambo tu ili kupunguza au kudeplete iron dome na air defense za adui wao huwa mara nyingi vita ni mkakati sio hasira ,ili ushinde ni mkakati halafu na hasira ya kuimplement hizo strategy.
Acha waendelee kuchapana heshima ipatikane
Sasa mbona unamsahu Bikira muongeze wawe 73 Bikira Maria muhimu sana aisee!Du wewe Revert, umeona mambo vile iko huko Lebanon! Mdada kesha dunguliwa anaenda kuwa bikira wa 72
View attachment 3108985