Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Nimepata habari jioni hii majenerali wa IDF wameliambia Baraza la mawaziri huko Israel hakuna namna lazima vita huko Gaza isimame tunapoelekea ni kubaya. Netanyahu anaendelea kushupaza shingo kama kawaida yake yatamkuta mambo.
Kumbe madrasa ndo mnadanganyana hvyo?
 
Israel walijua Hezbollah ni hamas ... kwa mara ya kwanza Makao makuu ya Mosad Tel Aviv yapigwa ... mji wote umefungwa watu wapo kwenye mahandaki😀
Usifananishe Hamas na vitu vya kijinga kama Hezbollah waua Ng'ombe na kuku..

Hadi sasa Hezbollah ameshushwa viwango mbali sana kwa Hamas... Hezbollah kinachowasumbua ni Madawa ya Kulevya.. walevi wengi wanaokoteza okoteza magaidi
 
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."

View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

God Bless Israel
 
Naomba niwakumbushe siku zake zina hesabika. Kiufupi wanaenda mu eliminate na hizo video za vitisho hata Iraq zilikuwepo ila sadam hayupo... Hezbollah’s nikitisho kwa usalama wa Israeli na wamedhamiria kuwamaliza wote keep silence and you shall see...
 
Back
Top Bottom