Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Vyombo vya habari vya Kiebrania: Kwa sababu ya kuongezeka kwa usalama na kughairiwa kwa safari nyingi za ndege na mashirika ya ndege hadi Uwanja wa Ndege wa Lod (Ben Gurion), bei za tikiti za ndege kati ya "Tel Aviv" na "New York" zimefikia $16,000.
😀 Hezbollah siyo Hamas.
Hezbollah siyo Hamas wakati Lebanon inaendelea kusawazishwa?
 
Hawa walokole hawafahamu mbinu za Iran, Netanyahu kawachokoza alidhani wataingia kichwa kichwa Marekani naye aingie kuwasaidia wao wanagawa silaha 😀
Iran sasa hivi imejipambanua kutumia siasa zaidi kuliko nguvu.
Lengo waweze ku win geopolitical influence na wao ikiwezekana vikwazo vya kiuchumi viondolewe kwao wajenge uchumi.
Hivyo hata ikitokea vita hatojihusisha moja kwa moja zaidi ya kuwajaza silaha majamaa basi.
 
Sasa unategemea usa akiingia si lazima Iran aite mma
USA iliyokimbia Taliban? Ama USA ipi?

US hivi sasa hataki ujinga wa vita tena na nchi zenye uwezo kama Iran, ye mwenyewe ana battle kiuchumi na China, huko Ukraine pia ..

Israel ikianza kupigwa watakaoingilia ni baraza la usalama umoja wa mataifa..
 
⚡️Israel Hayom:

🇮🇱🇱🇧 Netanyahu has informed the US that Israel is ready for a ceasefire in Lebanon.
Endeleeni kushangilia makombora yanayiyunguliwa huku Lebanon inazidi kusawazishwa kwa ajili ya kupisha upimaji wa viwanja
 
Back
Top Bottom