Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv


Sawa am agree with you ''Hezbo-Allah'' wanasumbua alarm za Israel bila matokeo, kesho vaa nguo nyeusi Msiba kwa Shujaa wako ''Nasra-Allah''
 
Wewe Mshia mwenzio Hassan Nasrallah sijui kama bado yupo? Tuliwaambia mkajifanya Allah Akbaru

View: https://x.com/TheMossadIL/status/1839697889955598560
 
Waondoke haraka sana maana Kuna silaha hazija testiwa kutoka Iran yasije yakawakuta mambo
Naona mnataka kumaliza mabikra wote kule jannat.Unajua myahudi ana akili mbovu sana akiudhika eeeeh.Jaribuni muone nyie watoto wa munyazi
 
Jamaa wameamua kudeal na kichwa cha nyoka.Hakuna mkakati wowote hizbullah anao.Myahudi anasubiri wajichanganye aishangaze dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…