Haaretz ikimnukuu afisa wa zamani wa usalama wa Israel:Wewe Mshia wenzio huko Massuni wana sherehe kubwa tu
View: https://x.com/mishtal/status/1839784847633518889
Du wewe Revert, umeona mambo vile iko huko Lebanon! Mdada kesha dunguliwa anaenda kuwa bikira wa 72
View attachment 3108985
Sawa am agree with you ''Hezbo-Allah'' wanasumbua alarm za Israel bila matokeo, kesho vaa nguo nyeusi Msiba kwa Shujaa wako ''Nasra-Allah''
Umebakia Shetan Allah tu sasa hivi kudunguliwa na kuenda kutana na mabikira 72
Unachekesha. sanaHezbollah inatenda kimkakati.
Wamekuwa wakimaliza makombora ya ulinzi wa anga ya Israeli kwa kurusha makombora ya bei ya chini, kama vile Katyusha na Fadi, kwa mashambulio.
Licha ya hayo, Hezbollah bado haijatumia makombora yake ya masafa marefu yanayoongozwa kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na Fateh-110, Zelzal, Scud, na makombora mengine.
Makombora haya yatarushwa wakati hali itatokea.
Unaendeleaje hapo Beirut?Wanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.
We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.
If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vipi upo? Hiki ni kituko cha mwaka. Hivi huwaga unapata muda wa kusoma na kufikiria vizuri vitu unavyoandikaga humu Jf?Hezbollah inatenda kimkakati.
Wamekuwa wakimaliza makombora ya ulinzi wa anga ya Israeli kwa kurusha makombora ya bei ya chini, kama vile Katyusha na Fadi, kwa mashambulio.
Licha ya hayo, Hezbollah bado haijatumia makombora yake ya masafa marefu yanayoongozwa kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na Fateh-110, Zelzal, Scud, na makombora mengine.
Makombora haya yatarushwa wakati hali itatokea.
Wajukuu wa allah katika moja na mbili. Ritz Angalia wenzako wana sherehe hapa.Waislamu wa SUNNI wa Mji wa pili kwa Ukubwa Lebanon wakisherehekea kufa kwa Mshia Nasrallah. Utasikia hapo wakitamka Hassan Nasrallah ...
View: https://x.com/visegrad24/status/1839828076743598439
Daah hii ni purely dementia aisee, unahitaji msaada wewe.
Waombee wazazi wako wewe acha shobo na magaidiGod Bless Israel
Daah hii ni purely dementia aisee, unahitaji msaada wewe.
Bado unaamini huu ujinga?Wanaukumbi,
"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.
Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.
Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.
Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.
We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.
If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."
View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🤣🤣🤣🤣 nani amechorachora hivyo vimaua?