Hezbollah yawaambia raia Waisrael kuhama Tel Aviv

Hezbollah inatenda kimkakati.

Wamekuwa wakimaliza makombora ya ulinzi wa anga ya Israeli kwa kurusha makombora ya bei ya chini, kama vile Katyusha na Fadi, kwa mashambulio.

Licha ya hayo, Hezbollah bado haijatumia makombora yake ya masafa marefu yanayoongozwa kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na Fateh-110, Zelzal, Scud, na makombora mengine.

Makombora haya yatarushwa wakati hali itatokea.
Unachekesha. sana
 
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."

View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unaendeleaje hapo Beirut?

Huu ni mwaka wa kutokucheka na nyani. Ni mwaka wa wajukuu wa allah kushikishwa ukuta na kuwaishwa kwenye mito ya gongo na kangala huku wakiwaangalia wanawake mabikra 72 wenye macho ya gololi wakitoka kuogelea kwenye mito ya Komoni wakiwa wamevaa majuba.

Makafiri mnapigika sana, hao wazayuni hamuwawezi. Kaeni kwa kutulia tu kwani allaha anawapotosha na hawezi kuwatetea. Allah kawakimbia na kuwaachia msala mzito toka kwa wazayuni.
 
Hezbollah inatenda kimkakati.

Wamekuwa wakimaliza makombora ya ulinzi wa anga ya Israeli kwa kurusha makombora ya bei ya chini, kama vile Katyusha na Fadi, kwa mashambulio.

Licha ya hayo, Hezbollah bado haijatumia makombora yake ya masafa marefu yanayoongozwa kwa usahihi, ikiwa ni pamoja na Fateh-110, Zelzal, Scud, na makombora mengine.

Makombora haya yatarushwa wakati hali itatokea.
Vipi upo? Hiki ni kituko cha mwaka. Hivi huwaga unapata muda wa kusoma na kufikiria vizuri vitu unavyoandikaga humu Jf?
 
Wanaukumbi,

"Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia matokeo.

Hatujali usalama wa wakaazi, lakini unapaswa kujali yako mwenyewe.

Ondoka kwa maeneo salama huko Tel Aviv na Eilat.

Ikiwa unataka vita hivi vikome, lazima uchukue hatua dhidi ya serikali ya Netanyahu na kudai kusitishwa kwa mapigano mara moja."
---
BREAKING: HEZBOLLAH TELL ISRAELI CITIZENS TO EVACUATE TEL AVIV"The Islamic Resistance in Lebanon is now taking military actions against your regime, which has failed to ensure your safety and dragged you into this war without regard for the consequences.

We do not care about the safety of residents, but you should care about your own. Evacuate to safe areas in Tel Aviv and Eilat.

If you want this war to stop, you must act decisively against Netanyahu's government and demand an immediate ceasefire."

View: https://x.com/mehdistudioz/status/1838850097603334236?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Bado unaamini huu ujinga?
 
Back
Top Bottom