Hezbollah yawateka askari wa Israel

Hezbollah yawateka askari wa Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
— ❗️🇮🇱/🇵🇸 BREAKING: Hamas leader Yahya Sinwar has been killed by an Israeli airstrike in Gaza

Images above of Yahya Sinwar's body after the airstrike. Many viewers will find the images shocking, so proceed with caution.

@Middle_East_Spectator
 
Hezbullah huwa hasemi uwongo hio itakuwa habari ni ya kweli kabisa, wacha nikachungulie channel yao Al Manar takuja na habari ya uhakika.
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nasikia wameenda makao makuu ya IDF wakaua mkuu wa jeshi. Hezbollah sio wa kawaida.

Huku wanapiga huku wanateka. Halafu baadae wanakufa makamanda who tu kwa vitu vinavyojilipua vyenyewe
 
Haya muda huu al Jazeera wanaripoti Israel imemuua kiongozi wa magaidi ya hamas nenda kaangalie
 
Sasa yule mkenya na uyu mleleo bado tu wapo umu mzee kigogo atukuoni au ushatangulia kuongeza nguvu kweli kobaz wanatukalisha uzalendo w k.tz naww ujaitikia wito wa Israel kwenda kuipambania. Taifa teule kitimoto sasa utaandika nini ikiwa waisrael wanapelekwa utumwani upya.😟😟
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sasa hapo wanaume wangapi na wanawake wangapi 😁😁😁😁😁😁
 
Mumeo unakqa nae mdagan ama hezbollah wamekuwa mabwana zenu Khan kila asbh hezibollah bo...
 
Hakuna habari mpaa mda hu wa kutekwa askari wa Israel kule Lebanon.
 
— ❗️🇮🇱/🇵🇸 BREAKING: Hamas leader Yahya Sinwar has been killed by an Israeli airstrike in Gaza

Images above of Yahya Sinwar's body after the airstrike. Many viewers will find the images shocking, so proceed with caution.

@Middle_East_Spectator
Hakuna lolote wanacheck kama wamemuwa kama yale yale ya uwongo wa Hashim Seif Din wa Hezbullah wamesema wamenuwa kumbe hamna lolote.
 
Juzi nilisoma mahali Hezbollah wana track iliyombeba Netanyahu. Muda sio mrefu wataikutanisha na drone, maana mabomu yanapunguzwa kasi na Iron dome.
Unazungumzia Iron Dome hii hii ambayo ilishindwa kuzuia ile drone iliyoangamiza wanajeshi 4 na kuacha wengine zaidi ya 50 majeruhi au Kuna nyingine kutoka sayari ingine?

Kawaida ukisikia serikali duniani kama Israel inakiri kuwa ilishambuliwa na wanajeshi kadhaa wameuwawa. Basi ujue hilo shambulio halikuwa la kitoto kiasi ya kwamba limeshindwa kufichwa na mamlaka. Hivyo ukisikia kuwa waliuwawa wanajeshi wa4 ujue wametoa sifuri ya mbele tu. Lakini kiuhalisia walikufa wanajeshi 40.
 
Hio hio kaka, haisomi drones kabisa, eti inafananisha drone na "birds". Iron dome tuliyokuwa tunaaminishwa kwamba ni impenetrable, lakini tumejionea picha za simu ambazo ni uncensored zikituonesha kufeli kwa iron dome. Israel ni wepesi sana, wakikosa msaada wa USA na nchi za Ulaya.
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://www.youtube.com/live/d7ZuE9Tjb6E?feature=shared
 
Back
Top Bottom