Hezbollah yawateka askari wa Israel

Hezbollah yawateka askari wa Israel

Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hii ya kutekwa askari israel walijitahidi kuzuwia,ilikua mapigano wakizidiwa na askari kujeruhiwa na kuuawa,ndege zitapiga mabomu huo mzingo wakiokoa watu wao,ila imeshindikana this time
 
Ipuuzeni hii taarifa kwani ni ya kubumba tu kutoka masjid ubwabwa. Hakuna askari yeyote wa Israel aliyetekwa na magaidi wa Hezbollah.

The news is one of the spurious news emanating from the muslim's mosques. It's common for the muslim worshippers to indulge in peddling lies inside the mosques after finishing the prayers.
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mzee wa matetesi, utakalia hayo hayo wakati viongozi wako wa cult ya kiislamu wakilambishwa mchanga mmoja baada ya mwingine
Screenshot_20241017-195006_Chrome.jpg
 
Kobazi kala urojo huyu tumwache atapike kwenye tundu lake la kichwa cha pili.
 
Ipuuzeni hii taarifa kwani ni ya kubumba tu kutoka masjid ubwabwa. Hakuna askari yeyote wa Israel aliyetekwa na magaidi wa Hezbollah.

The news is one of the spurious news emanating from the muslim's mosques. It's common for the muslim worshippers to indulge in peddling lies inside the mosques after finishing the prayers.
Wewe muache tu aendelee na Taqqya yake huyu islamist Ritz. Wangekuwa na akili wangeisha ng'amua kuwa kwenye hii vita kamungu kao at best ni yule Shetani otherwise ni kuwa hamna huyo mungu anaitwa allah, ndiyo maana kila kukicha wanapukutishwa tu. Wazinduke na kutoka huko. Ufunuo 18:4
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mambo ya kawaida sana kwenye vita
 
View: https://x.com/HaiderAli099/status/1846819909021442156?t=cwfHU1FA9Vt_PgD6PLTNNw&s=19

Fake news .
Please Moderator
 
Wanakumbi.

🚨🇱🇧VYA HABARI VYA LEBANE: HEZBOLLAH YADAI KUTEKWA KWA ASKARI WA ISRAELI

Kulingana na ripoti kutoka LBC Lebanon Kitengo Maalum cha Al-Radwan cha Hezbollah kilikamata kundi la maafisa na wanajeshi wa Israeli.

Katika taarifa ya awali kitengo hicho kilionya kuwa huo ni mwanzo tu wa kulipiza kisasi vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Israel.

Matamshi ya Hezbollah yanaongezeka huku mzozo huo ukizidi, huku kundi hilo likisisitiza azma yao ya kukabiliana na vikosi vya Israel.

Chanzo: LBCI, Vyombo vya Habari vya Lebanon
Picha: Illustrative, Archive

=========================

View: https://x.com/marionawfal/status/1846875588986130704?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Screenshot_20241017-201726.png
 
Back
Top Bottom