Hezbullah Wamemuwa The Commender of Israel's Unit 8200 The Worlds Most Powerful Surveillance Agencies

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄

The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most sensitive roles in the military, leading one of the world’s most powerful surveillance agencies, comparable to the US National Security Agency.

Wewe ni kiazi mbatata

USSR
 
Attachments

  • Screenshot_20240827_123655_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240827_123655_WhatsApp.jpg
    618.9 KB · Views: 2
Well kwa mazingira ya hapo Mashariki Ya Kati na yanayoendelea haya kutokea siyo ya kushangaza,ni win win situation so kule sikumbuki exactly wameuwa wangapi ni zaidi ya watano lakini nadhani upande huu ndiyo wameotea mmoja.
 
Sasa hivi na wao wataishi kama digidigi,hasa kwenye kupambana na hizbullah,maana walidhani wapo salama
 
Well kwa mazingira ya hapo Mashariki Ya Kati na yanayoendelea haya kutokea siyo ya kushangaza,ni win win situation so kule sikumbuki exactly wameuwa wangapi ni zaidi ya watano lakini nadhani upande huu ndiyo wameotea mmoja.
Wameuliwa wengi sana huyo na badhi ya ma officer's, we huoni wanadai Hezbullah kapiga banda la kuku dawa imewaingia.

View: https://x.com/TVManar1/status/1827686578182869037?t=S57iW8aKz9y9wcPgtcjcJA&s=09

View: https://youtu.be/-Jl80OGyRQM?si=lPOOEykYdwb0HMFM
 
Myahudi anawatandika kila siku mpaka nimechoka kumsoma, nyie leo ndio mmebahatisha mmoja na wale kuku wa jana.
 
Israel anazuia aibu zake zisionyeshwe kwanini haruhusu media waonyeshe kipigo walicho tandikwa jana, nasikia majogoo yalikuwa kama 20 vile na vi kuku vilitolewa vingi sana.
 
Kweli akili zimewaruka, Israel wanatungua viongozi wakuu wa Hamas hadi rais wa Iran alitunguliwa juu kwa juu wakaapa kulipa kisasi ambacho hadi leo wanaogopa kulipiza,

Hao wanajisifu kumuua Brigedia Jenerali ambae kwa rank anapitwa na luteni jenerali na Meja jenerali ? achilia mbali...

Kitu pekee kinachoweza kuisimamisha Dunia ni Hamas, Hezbollah, Iran, Houthi, n.k. kujaribu kumgusa kiongozi mkuu wa jeshi la Israel
 
Back
Top Bottom