Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #21
Hezbullah mpaa USA kamsaidia atauweza mziki wa Iran ikiwa Hezbullah kaushindwa 😄Kweli akili zimewaruka, Israel wanatungua viongozi wakuu wa Hamas hadi rais wa Iran alitunguliwa juu kwa juu wakaapa kulipa kisasi ambacho hadi leo wanaogopa kulipiza, Hao wanajisifu kumuua Brigedia Jenerali ambae hafikii ranks anapitwa na luteni jenerali na Meja jenerali achilia mbali...
View: https://youtu.be/QnWTl6LztQU?si=-ck3mg1TcLsq9Vsh