Mkuu sijasema kama vita ya Palestina na Israel kuwa ni ya kidini.Unaamini vita kati ya Palestina na Israel ni ya kidini?
Hao wanaosema vita isije kuwa ya kidini wanamaanisha ikiwa ya kidini inagusa sehemu nyingi. Kila imani itajiunga kuwatetea watu wa imani yake, na hata hao hao viongozi na wenyewe watajikuta wanatofautia ili kila mmoja alinde imani yake.
Ila nachozungumzia ni kwamba mabwana wakubwa vurugu yeyote inayotokea mashariki ya kati baina ya waarabu na waisrael huwa wanaihusisha kidini.
Ndio maana wanajitahidi kuweka tahadhari wakihofia kuwa isije ikageuka kuwa vita ya kidini.
Middle east mataifa takriban yote ni ya kiislam.
Unadhani vita ya kidini ikitokea Israel atapona!???
Pia usidhani mataifa mengi ya Ulaya yatakubali kuiingia hiyo vita ya kidini kisa Israel.
Na nadhani unawafahamu waarabu wakisema tunafia dini wanamaanisha nini.