Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
VOAsasa hiyo taarifa umeitoa wapi?
sasa hiyo taarifa umeitoa wapi?
Yani kila siku mtu anasubiri hadi aulizwe kuhusu chanzo cha habari,kama si ukorofi ni nini basi!?
Wewe ni kiazi mbatataKumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄
The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most sensitive roles in the military, leading one of the world’s most powerful surveillance agencies, comparable to the US National Security Agency.
Ilikuwepo tangu habari za hamas kushusha vyuma zilipoanza,kwamba wamempata mtu muhimu huko tell Aviv,naweza pata picha netanyahu macho yalivyomtokasasa hiyo taarifa umeitoa wapi?
We tulizana tu ukweli ndio huo, wambie Israel watuonyeshe yuko haisasa hiyo taarifa umeitoa wapi?
Sasa hivi na wao wataishi kama digidigi,hasa kwenye kupambana na hizbullah,maana walidhani wapo salamaWell kwa mazingira ya hapo Mashariki Ya Kati na yanayoendelea haya kutokea siyo ya kushangaza,ni win win situation so kule sikumbuki exactly wameuwa wangapi ni zaidi ya watano lakini nadhani upande huu ndiyo wameotea mmoja.
Wameuliwa wengi sana huyo na badhi ya ma officer's, we huoni wanadai Hezbullah kapiga banda la kuku dawa imewaingia.Well kwa mazingira ya hapo Mashariki Ya Kati na yanayoendelea haya kutokea siyo ya kushangaza,ni win win situation so kule sikumbuki exactly wameuwa wangapi ni zaidi ya watano lakini nadhani upande huu ndiyo wameotea mmoja.
Sisi tumepigaa yale majogoo yalio nono tena mengi sana 😄Another script from masjid ubwabwa.
Israel anazuia aibu zake zisionyeshwe kwanini haruhusu media waonyeshe kipigo walicho tandikwa jana, nasikia majogoo yalikuwa kama 20 vile na vi kuku vilitolewa vingi sana.Myahudi anawatandika kila siku mpaka nimechoka kumsoma, nyie leo ndio mmebahatisha mmoja na wale kuku wa jana.