Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

Je umesoma jinsi nilivyomjibu?Unajua kwa nini hakurudi tena kujibu maswali yangu?Bias itakufanya ukose mengi sana ndugu yangu.

Sasa wewe inabidi umueleze jinsi ya kuchuja kama kweli unataka kumsaidia.Pia ni suala la common sense tu kujua kwamba si wote wanaofanya tiba asili wana uwezo wa kutibu magonjwa kama haya,pia si madaktari wote wa tiba za magharibi wanaoweza kutibu wagonjwa kwa usahihi,hii ni common sense tu wala hukuhitaji kutuambia hayo.Kwani hata wewe hujui kwamba hata ninyi mnaua watu bila kukusudia kwa sababu ya ukosefu wa uelewa wa kutosha?

Deception tupe vitu mkuu achana na hao.. serikali yenyewe inatambua Tiba Mbadala .. Sasa nashangaa wanabisha Tu. Labda Wanataka utoe Tiba Mbadala ya Malaria na ...typhoid..

Magonjwa Makubwa Makubwa Wanaona Uzushi
 
Je umesoma jinsi nilivyomjibu?Unajua kwa nini hakurudi tena kujibu maswali yangu?Bias itakufanya ukose mengi sana ndugu yangu.
Hawezi kurudi maana ni kuchoshana pasipo na msingi...ni sawa sawa na ubishi na watu wanaoamini dini....ni ubishi usioisha...
 
Sasa wewe inabidi umueleze jinsi ya kuchuja kama kweli unataka kumsaidia.Pia ni suala la common sense tu kujua kwamba si wote wanaofanya tiba asili wana uwezo wa kutibu magonjwa kama haya,pia si madaktari wote wa tiba za magharibi wanaoweza kutibu wagonjwa kwa usahihi,hii ni common sense tu wala hukuhitaji kutuambia hayo.Kwani hata wewe hujui kwamba hata ninyi mnaua watu bila kukusudia kwa sababu ya ukosefu wa uelewa wa kutosha?

Medicine inakubali kabisa kuwa hatufahamu kila kitu...ila naamini kabisa hakuna explanation nzuri zaidi kuhusu mwili wa mwanadamu na tiba zaidi ya ile inayotolewa na mainstream medicine...tunapenda sana na kukubali challenge ndio maana kila siku watu wanabishana kwa experiments na research.... Sisi madaktari tunajua hatujui kila kitu ndio maana tunaapa kuto-intervene pale tunapoona hatuna uwezo unaohitajika...
 
Kwa kutusaidia ungeweka mfano wa mgonjwa uliyemtibu na kwa ushaidi wa kutosha na sie tujifunze....labda tuanzie hapo...
 
Kwa kutusaidia ungeweka mfano wa mgonjwa uliyemtibu na kwa ushaidi wa kutosha na sie tujifunze....labda tuanzie hapo...

Ha ha haaa,usinikumbushe wale madaktari kwenye ule uzi wa HIV/AIDS,mmojawapo amekupa like kwenye reply yako namba 187.Yeye alitaka nimpe evidence kama kweli ARVs zinasababisha AIDS,nilipompa scientific evidence akaruka mbali kabisa huku akisema eti ni speculations tu.Sasa sifahamu kwenu ninyi madaktari scientific evidence ni ipi au inafananaje.Labda nadhani ni ile ambayo B.Obama au R.Gallo au Antonio Fauci atakayoikubali ndio itakuwa scientific evidence kwenu maana hao ndio miungu wenu,nadhani tu.

Hivyo ndugu napata uvivu kusumbua akili yangu kukuwekea hiyo evidence maana hamchelewi kusema ni speculations au cancer imepona yenyewe au haikuwa cancer halafu ukawa umeshanipotezea muda.
 
Hahahahahaha haya mkubwa....ila kwenye ile thread ya ukimwi nilikuwa pamoja na wewe asilimia zaidi ya 90 na nadhani nilikupa like kipindi kile....sibishi alimradi kubisha tu. HIV ina tatizo kuanzia mwanzo hata hakuna reliable diagnostic test...so hilo tuliache

Nimekuomba mfano maana nataka kujifunza tu ila kama unaona haina maana poa tu !
 
Medicine inakubali kabisa kuwa hatufahamu kila kitu...

Kama kweli unalijua hilo,sasa kwanini ninyi ni wepesi sana kupinga mnaposikia hoja tofauti na zile mzijuazo?kwanini hamtangulizi akili ya kuhoji kwanza halafu ndio mpinge kwa hoja zenu?

...ila naamini kabisa hakuna explanation nzuri zaidi kuhusu mwili wa mwanadamu na tiba zaidi ya ile inayotolewa na mainstream medicine...

Tatizo lile lile linajirudia.Unaamini au unajua?Hii ni ishara ya kufunga milango ya fahamu.

..tunapenda sana na kukubali challenge ndio maana kila siku watu wanabishana kwa experiments na research...

Ulichokisema hapo juu ni kinyume na unachokifanya hapa.

... Sisi madaktari tunajua hatujui kila kitu ndio maana tunaapa kuto-intervene pale tunapoona hatuna uwezo unaohitajika...

Kama unakubali kweli kwamba hamjui kila kitu,sasa kwa nini mnakimbilia kupinga kabla ya kuhoji pale mnaposikia hoja tofauti na zile mnazozifahamu ninyi?

Swali nililokuuliza kuhusu definition ya cancer lina maana kubwa sana lakini sina uhakika kama unalichukulia serious swali langu.
 
Kama kweli unalijua hilo,sasa kwanini ninyi ni wepesi sana kupinga mnaposikia hoja tofauti na zile mzijuazo?kwanini hamtangulizi akili ya kuhoji kwanza halafu ndio mpinge kwa hoja zenu?

Kama unakubali kweli kwamba hamjui kila kitu,sasa kwa nini mnakimbilia kupinga kabla ya kuhoji pale mnaposikia hoja tofauti na zile mnazozifahamu ninyi?

Sio kweli unalolizungumza...huwezi tu kuibuka na kusema nina tiba ya ugonjwa fulani na tukubali tu, kuna taratibu za kufuata maana hata placebo hutibu wakati fulani na hizo taratibu zinafuatwa na kila mtu hadi sisi. Taratibu hizo zina faida nyingi sana...ndio zimetengeneza dawa zote hizi unazoziona....
 
Unaona mkuu tunavyotofautiana?Mimi sikukutaka ukubali ninachosema,kwa kuwa hata mimi niliposikia kwa mara ya kwanza mambo haya iliniwia vigumu hadi pale nilipoanza kuhoji/kufuatilia.Mimi nilikulaumu wewe na madaktari wengine pale mlipokuwa na mlengo wa kupinga kwanza kabla ya kuhoji,kwanza hoji halafu pinga kwa hoja kama huoni mantiki,hivi ndivyo mijadala inavyokwenda.

Mimi sikukulazimisha ukubali hata kidogo,bali nilikutaka upinge kwa hoja.Pia siandiki mambo haya ili watu wayakubali,kwani watu wakikubali tu halafu mimi itanisaidia nini?Mimi nataka kuwapa watu ukweli huu adimu,mtu akija kuhoji mimi ndio nafurahi kwa kuwa nina uhakika kama mtu huyu anayehoji akielewa basi anaelewa jumla.Hivyo ndivyo ninavyotaka mimi.Sikukutaka ukubali tu kirahisi rahisi,angalau unaweza kukubali bila kuhoji pia kama utaona kuna mantiki.
 
Darasa limenoga,
Wanafunzi tupo attention

Kuna daktari mmoja wa hospitali moja kubwa jijini Dar es salaam(Jina nalihifadhi) alikuwa mbishi sana alipoambiwa kuhusu mambo haya.Ilichukua muda kidogo mpaka alipoamua kufanya uchunguzi wake kuhusu mambo haya,baada ya kufanya uchunguzi akagundua kwamba system ya western medicine haiko kama alivyofikiri na baada ya kuchukuza baadhi ya supplements ambazo aliambiwa mwanzo kwamba ni effective kutibu magonjwa sugu kama haya akabaini siri nzito ambayo mwanzo hakuiamini.

Sasa hivi mgonjwa yeyote mwenye ugonjwa sugu kama haya tunayozungumzia akibahatika kuonana na daktari huyu ana uhakika wa kupona kwa kuwa kuna wagonjwa wengi wameshapona magonjwa haya kwa tiba za huyu doctor.Samahani sitaweza kumtaja kwa kuwa kutokana na mifumo ya tiba rasmi ilivyo anaweza kuwa hatarini kama ilivyokuwa kwa daktari mmoja maarufu jijini Dar ambaye alikuwa anatibu magonjwa yaliyoshindakana hospitali lakini akafungiwa kituo chake.

Nikiwaambia watu kwamba kuna vita baridi kati ya tiba rasmi na tiba asilia/naturopath watu hawaamini na badala yake husema "mbona tiba asili zinafahamika na zimeruhusiwa serikalini, hata Muhimbili kuna kozi maalum ya tiba hizo".Kuruhusiwa sio hoja,hoja ni kwamba je,serikali inakubali/inaruhusu inaposikia watu wanatibu magonjwa sugu kama vile cancer,kisukari na HIV/AIDS(feki)?Jibu ni kwamba hairuhusiwi.Sasa kuna maana gani kuruhusu tiba asili halafu unazuia watu wasitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa dawa za asili hata kama kweli zina uwezo wa kutibu?

Je,umeshawahi kusikia kwenye vyombo vyetu vya habari daktari yeyote wa tiba asilia anatangaza kwamba anatibu cancer au HIV/AIDS(feki) halafu anaachwa hivi hivi aendelee kutangaza?Jibu ni hapana,labda angalau kwa kisukari wapo wachache wanaotangaza,lakini sio cancer na HIV/AIDS(feki).Ukitangaza unatibu magonjwa haya ndio utakuwa mwisho wako.

Kama madaktari wa tiba rasmi wangefungua milango yao ya fahamu na kuanza uchunguzi wa mambo haya basi leo hii wangetusaidia sana kuokoa ndugu zetu kutokana na vifo vinavyosababishwa na magonjwa haya sugu kwa kuwa hospitalini kuna facilities nyingi sana ambazo zikitumika sambamba na knowledge hii basi mtu kufa kwa magonjwa haya si rahisi kamwe.Kwa mfano IV vitamin C ni very effective kutibu cancer,lakini mimi siwezi kuifanya kutokana na mahitaji ya matibabu yenyewe.Pia unaweza kutumia dawa asili kutibu cancer let's say cancer ya ini halafu unajua kabisa kwamba mgonjwa atapona,lakini kama cancer imefika pabaya mgonjwa ataharisha damu kutokana na nature ya cancer ya ini ilivyo halafu atakufa kwa upungufu wa damu hata kabla ya dawa haijamaliza kazi yake,yaani dalili zinamwua mgonjwa kabla dawa haijakamilisha kazi yake,haya ndio mambo yanayoipa maksi cancer kwamba haitibiki,mtu anakufa kwa dalili kabla hajamaliza tiba.Lakini mgonjwa huyu angekuwa anatibiwa hospitali angeongezewa damu haraka na kupewa dawa za kuzuia kuharisha damu huku tiba asili inaendelea kufanya kazi yake.Lakini nasikitika kwamba mambo hayako kama ambavyo ningependa yawe.Madaktari wamekuwa wagumu hata kuhoji.Halafu wakibahatika kuhoji huwa wana tabia ya kusema "sijui kwa nini sikufuatilia mapema mambo haya",yaani wanatia hasira sana.
 
mada ilikuwa inaenda vzr yani kaibuka mtu mmoja tu kuvuruga basi mada nzima imesimama yameanza malumbano.minashauri Deception usijibu lolote kutoka kwa hao wanaopinga coz hii mada si kwajili yao,we shughulika na wanaotaka kujifunza kutoka kwako,hao wengine wanyamazie tu hata watume comment gani we chuna tu mana watu tumejifunza vzr tuu kuanzia page 1 had 3 but alipoibuka tu mtu wa kujifanya anapinga basi mada imehama na kuwa malumbano watu wameacha hata kuuliza maswali kwa mfano hizo mbegu za apricot na peach zinaliwaje na inavyoonekana ni ngumu kuzitafuna.cjui kama wenzangu mmeishiwa maswali ila mi naona maswali yapo mengi lakini tumefocus kubishana na watu wasiotusaidia ktk haya.
 
Hao watu ni muhimu kwenye mjadala wowote,hata humu wameleta manufaa kama utaamua kuangalia umakini.
 
mada ilikuwa inaenda vzr yani kaibuka mtu mmoja tu kuvuruga basi mada nzima imesimama yameanza malumbano.minashauri Deception usijibu lolote kutoka kwa hao wanaopinga coz hii mada si kwajili yao,we shughulika na wanaotaka kujifunza kutoka kwako,hao wengine wanyamazie tu hata watume comment gani we chuna tu mana watu tumejifunza vzr tuu kuanzia page 1 had 3 but alipoibuka tu mtu wa kujifanya anapinga basi mada imehama na kuwa malumbano watu wameacha hata kuuliza maswali kwa mfano hizo mbegu za apricot na peach zinaliwaje na inavyoonekana ni ngumu kuzitafuna.cjui kama wenzangu mmeishiwa maswali ila mi naona maswali yapo mengi lakini tumefocus kubishana na watu wasiotusaidia ktk haya.

Zile mbegu za aprikoti na pichi ni ngumu ,hivyo unachotakiwa kuivunja ama kwa nyundo au koleo(Playa) ili upate kile kiini cha ndani ndiyo lulu yenyewe.

Vilevile kwa hao wanaopinga na wanaohoji,kuna wanaofanya hivyo ili waeleweshwe zaidi, pia wapo wanaotetea taaluma yao,halafu kuna wale wa masilahi yaani wana mtandao Wawakilishi wa WHO,wakubwa wa dunia.
Kina siye vumilia vumbi tunamshukuru deception kutufungua macho.Tunamuombea afya njema na maisha marefu , pia awe mwangalifu sababu anatia mchanga maandazi ya watu. Idumu Jamii forum.m
 
Deceotio hongera kwa kaz nzurii,, mwenye kufuata afuate asiyetaka aache,,,, cku zote watanzania hatuaminiani,, ila akija mtu mweupe leo hii akaxema ki2 flan ni tiba ya ugonjwa flan,, wote macho yetu yanakuwa paleeee,,, v2 vngne ni logic tu havhitaj ubishi,,, hivi ukila matunda + vegetables kuna side effects zozote???? Tuzinduke wapendwa,, 2achane na lifestyle za watu weupe,,, siku zote asili humponya mtu.....
 
The Dr. Philip Binzel list of foods that contain laetrile include: apricot kernels, peach kernels, grape seeds, blackberries, blueberries, strawberries, bean sprouts, lima beans and macadamia nuts (to name but a few).

The FDA claims that laetrile is toxic. This is an absolute lie. Read the first chapter of-Alive and Wellto see how absurd the FDA claim is. It is only toxic to cancer cells.

If you obtain laetrilepills,it is important to take them with natural water during a meal (i.e. with food).

Read Morehttp://www.cancertutor.com/laetrile/

Kumbe Mamlaka ya Chakula na Dawa Marekani inasema iyo Vitamin B17 ni sumu:what:

Na ni illegal, sasa nimejua kwanini hata Tanzania Mbegu za Ubuyu na Mafuta yalipigwa Marufuku eti ni Sumu😕

Fumbo mfumbie Mjinga, watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa
 
Back
Top Bottom