Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye kamba umenigusa mkuu..maana nahusika..tulikua tukitumia sana enzi hizo..tuko pamoja mkuu..nimekupata.
Hakuna anayesupport uvtaji wa bange kwa vile hayo ni matumizi mabaya kiafya kama ilivyo uvutaji wa sigara ingawa sigara inaonekana halali na huku wakiwatangazia watu inaua na kusababisha cancer lakini cha ajabu Tumbaku inaachiwa ilimwe na support kubwa inafanyia ingawa haina faida kiafya hata kidogo. Iweje bange zao ambalo lina manufaa kiafya lisiachiwe lilimwe na kudhibitiwa matumizi yake kwa kuweka sheria kali kama itatumika vibaya.Sidhani kama tatizo la umeme tanzania ni diesel itakayotokana na bangi. Kama ingekuwa tatizo ni hilo mbona tumegundua gas huko lindi karibu miaka kumi sasa je tatizo la umeme limekwisha. Acha ku promote vitu visivyo na maana . Bangi ikiruhusiwa kulima utaweza kuidhibiti isitumiwe vibaya. Nenda mkoa wa tabora ukaone bangi ilivyoharibu vijana. Wa tz msipende sana kusikia vitu rahisi rahisi
Mkuu Deception nakubaliana na wewe sana kuhusu zao hilo la bangi, maana nilishawahi kusoma jarida la drum la south africa katika miaka ya tisini lilionyesha bidhaa zitokanazo na bangi, nilishangaa kuona wameteneza viatu vizuri vinakavyo na ngozi iliyozalisha kutokana na bangi na bidhaa nyingine nyingi. ila kipindi kile sikuhoji sana kwanini inakatazwa wakati inatoa bidhaa zinazotumia kila siku.
Samahani ndugu Deception natoka nje kidogo ya mada kwa vile nimehamasika sana na maelezo yako nikaamua nigoogle kuangalia ugonjwa wa kisukari nikakukutana na hiki kitu click here
..Why the mainstream cancer treatments rarely cure cancer?
To answer this question,we must know that,the definition of cancer for mainstream/ allopathic doctors is very different from that of naturopathic doctors.Therefore,these two treatments are based on their definition of cancer. For allopathic/mainstream doctors,cancer is a tumor/lump of malignant abnormal cells.So what they do is to concentrate on the ways of removing away the tumors/malignant cancer cells from the body.
There are mainly 3 ways of doing that which are:
i/. To poison the cancer cells by using chemotherapy,
ii/. To burn the cancer cells by using radiations/mionzi,
iii/. To cut away the tumors if possible by surgery.
......That is why up to now we are told there is no known cure for cancer.Its is because they dont deal with cancer but rather they deal with the symptoms of cancer.Tumor/lump/malignant cells are just symptoms of cancer.
Dah haki ya Mungu....babu Na kikombe chake alipoanza nilipinga sana Ila kwa sababu watu wanapenda sana kusikiliza Mazingaombwe badala ya sayansi matokeo yake tuliyaona hasa wadau wa afya walioko mahospitalini.... Steve Jobs alidanganyika mpaka ikawa too late....kuna ukweli fulani unaongea ila suala la kutibu kansa kwa chakula aisee hapo utaumiza watu....mainstream medicine ni corrupt kweli Tena sana Ila si kihivyo ndugu yangu....ipo siku utatambua hilo maana Na wewe upo kwenye giza..
Dah haki ya Mungu....babu Na kikombe chake alipoanza nilipinga sana Ila kwa sababu watu wanapenda sana kusikiliza Mazingaombwe badala ya sayansi matokeo yake tuliyaona hasa wadau wa afya walioko mahospitalini....
.... Steve Jobs alidanganyika mpaka ikawa too late......
...kuna ukweli fulani unaongea..
... ila suala la kutibu kansa kwa chakula aisee hapo utaumiza watu......
......mainstream medicine ni corrupt kweli Tena sana Ila si kihivyo ndugu yangu....ipo siku utatambua hilo maana Na wewe upo kwenye giza..
Wazungu wako wajanja Na wenye akili mpaka leo wanajenga mahospitali na wanatumia chimo mpaka leo hii pamoja Na kwamba yote unayoongea yanatoka kwao...tatizo umeamua kuwa negative sana...wala sishangai maana hayo ma_conspiracy theories yalinitawala sana wakati naanza chuo...ni utoto tu !
So dawa ya kisukari ni???
Acha jazba na ubaguzi wa rangi....hii haiusiani Na rangi hata kidogo...
Kuhusu cancer nimetumia miaka saba kusoma hayo makitu kaka Na hata navyoandika ujumbe huu namalizia zamu yangu wodi ya watoto wenye kansa...so hamna jipya la Zaidi utakalonieleza kuhusu hilo
Natumia simu ila nikipata muda tutajadili tu kwa faida ya wote hata Na mimi pia...elimu ni pana sana na kubali hufahamu kila kitu ndio utajifunza...
Nini kutibu Kansa kaka...babu wa kikombe alitibu mpaka na ukimwi...😃
Hivi unajua kuna some sort of cancer huwa zinapotea tu bila tiba ? Nitarudi tupeane shule.....hizo hizo alternative medicine zina hadi degree marekani tena doctorate kabisa kama MD ila hujiulizi mbona hospitalini watu hawapungui ? Nitarudi kaka
Wazungu wako wajanja Na wenye akili mpaka leo wanajenga mahospitali na wanatumia chimo mpaka leo hii pamoja Na kwamba yote unayoongea yanatoka kwao...tatizo umeamua kuwa negative sana...wala sishangai maana hayo ma_conspiracy theories yalinitawala sana wakati naanza chuo...ni utoto tu !
..Hivi unajua kuna some sort of cancer huwa zinapotea tu bila tiba ? Nitarudi tupeane shule.....hizo hizo alternative medicine zina hadi degree marekani tena doctorate kabisa kama MD ila hujiulizi mbona hospitalini watu hawapungui ? Nitarudi kaka