Darasa limenoga,
Wanafunzi tupo attention
Kuna daktari mmoja wa hospitali moja kubwa jijini Dar es salaam(Jina nalihifadhi) alikuwa mbishi sana alipoambiwa kuhusu mambo haya.Ilichukua muda kidogo mpaka alipoamua kufanya uchunguzi wake kuhusu mambo haya,baada ya kufanya uchunguzi akagundua kwamba system ya western medicine haiko kama alivyofikiri na baada ya kuchukuza baadhi ya supplements ambazo aliambiwa mwanzo kwamba ni effective kutibu magonjwa sugu kama haya akabaini siri nzito ambayo mwanzo hakuiamini.
Sasa hivi mgonjwa yeyote mwenye ugonjwa sugu kama haya tunayozungumzia akibahatika kuonana na daktari huyu ana uhakika wa kupona kwa kuwa kuna wagonjwa wengi wameshapona magonjwa haya kwa tiba za huyu doctor.Samahani sitaweza kumtaja kwa kuwa kutokana na mifumo ya tiba rasmi ilivyo anaweza kuwa hatarini kama ilivyokuwa kwa daktari mmoja maarufu jijini Dar ambaye alikuwa anatibu magonjwa yaliyoshindakana hospitali lakini akafungiwa kituo chake.
Nikiwaambia watu kwamba kuna vita baridi kati ya tiba rasmi na tiba asilia/naturopath watu hawaamini na badala yake husema "mbona tiba asili zinafahamika na zimeruhusiwa serikalini, hata Muhimbili kuna kozi maalum ya tiba hizo".Kuruhusiwa sio hoja,hoja ni kwamba je,serikali inakubali/inaruhusu inaposikia watu wanatibu magonjwa sugu kama vile cancer,kisukari na HIV/AIDS(feki)?Jibu ni kwamba hairuhusiwi.Sasa kuna maana gani kuruhusu tiba asili halafu unazuia watu wasitibu magonjwa tajwa hapo juu kwa dawa za asili hata kama kweli zina uwezo wa kutibu?
Je,umeshawahi kusikia kwenye vyombo vyetu vya habari daktari yeyote wa tiba asilia anatangaza kwamba anatibu cancer au HIV/AIDS(feki) halafu anaachwa hivi hivi aendelee kutangaza?Jibu ni hapana,labda angalau kwa kisukari wapo wachache wanaotangaza,lakini sio cancer na HIV/AIDS(feki).Ukitangaza unatibu magonjwa haya ndio utakuwa mwisho wako.
Kama madaktari wa tiba rasmi wangefungua milango yao ya fahamu na kuanza uchunguzi wa mambo haya basi leo hii wangetusaidia sana kuokoa ndugu zetu kutokana na vifo vinavyosababishwa na magonjwa haya sugu kwa kuwa hospitalini kuna facilities nyingi sana ambazo zikitumika sambamba na knowledge hii basi mtu kufa kwa magonjwa haya si rahisi kamwe.Kwa mfano IV vitamin C ni very effective kutibu cancer,lakini mimi siwezi kuifanya kutokana na mahitaji ya matibabu yenyewe.Pia unaweza kutumia dawa asili kutibu cancer let's say cancer ya ini halafu unajua kabisa kwamba mgonjwa atapona,lakini kama cancer imefika pabaya mgonjwa ataharisha damu kutokana na nature ya cancer ya ini ilivyo halafu atakufa kwa upungufu wa damu hata kabla ya dawa haijamaliza kazi yake,yaani dalili zinamwua mgonjwa kabla dawa haijakamilisha kazi yake,haya ndio mambo yanayoipa maksi cancer kwamba haitibiki,mtu anakufa kwa dalili kabla hajamaliza tiba.Lakini mgonjwa huyu angekuwa anatibiwa hospitali angeongezewa damu haraka na kupewa dawa za kuzuia kuharisha damu huku tiba asili inaendelea kufanya kazi yake.Lakini nasikitika kwamba mambo hayako kama ambavyo ningependa yawe.Madaktari wamekuwa wagumu hata kuhoji.Halafu wakibahatika kuhoji huwa wana tabia ya kusema "sijui kwa nini sikufuatilia mapema mambo haya",yaani wanatia hasira sana.