Hidden cancer cures

Mbona malaria ina tiba na watu wanakufa kila kukicha!!

Pia ulitaka steve jobs afe kwa njia gani??
mtu kufa na malaria uzembe, uujinga na umasikini huchangia. ila kansa hata uwe tajiri kama job utakufa sababu haina tiba. hayo anayosema mtoa mada ni maswala ya lishe bora. kwenye matunda na mbogamboga tunapata vitu tunaita antoxidants. hivi husaidia seli zisiunguzwe na kemikali ziletazo kansa.

hivyo basi lishe bora inaweza kukusaidia usipate kansa kwa asilimia fulani na si 100%. kuna kansa zinaletwa na virusi. mtoa mada hakutakiwa kusema hayo matunda yanatibu kansa. angesema yanaweza kusaidia kuzuia (bila gurantee).
 
Mkuu mbona mkuu wetu wa nchi alitibiwa uko nje ya nchi na kupona! hebu nifafanulie hapo.
 
Mkuu Deception, hiyo vitamin b17,inaweza pia ikaondoa uvimbe kwa mwanamke? Yaani fibroids?

Vitamin B17 ni anti tumor,inaweza kuondoa/kuua abnormal cell yoyote.Lakini inabidi ufahamu pia kwamba,ili vitamin B17 iwe na maana,lazima chanzo halisi kilichosababisha tatizo husika kidhibitiwe.Kama hujadhibiti chanzo,unaweza kupona lakini tatizo likarudi tena,hivyo cha msingi ni kuhusika na chanzo halafu ukishadhibiti chanzo sasa ndio unaua dalili iliyokwishajitokeza.Hata ukifuatilia utaratibu niliosema wa kutibu cancer uko vivyo hivyo.

Fibroids huweza kusababishwa na mambo mengi,hormones za estrogen na progesterone pia ziko linked na tatizo hili.Lakini tatizo hili ukiliangalia kwa upande wa pili,utaona liko linked hasa na uchafu uliozagaa mwilini.Kama utafuatilia vizuri magonjwa ya aina hii utagundua kwamba yana sayansi zinazofanana.Haya magonjwa yanahusika zaidi na kile tunachoingiza mwilini,yaani vyakula na vyakunywa,madawa mbalimbali nk,yote haya huweza kusababisha body imbalance ambayo huweza kuzaa tatizo lolote kutegemea na mtu au jinsia ya mtu.
 

Mimi najua,wewe unasadiki.Hivyo basi, ni vichekesho mtu anayesadiki kumshauri mtu anayejua.Tatizo lako namba moja ni uvivu wa kusoma na hata unaposoma huwa unasoma kwa bias,hivyo huwezi kutegua mtego huu kamwe mpaka utakapoangaziwa kubadilika kimtazamo.
 
ile haikufika kansa ila ikiachwa huwa kansa. pia kumbuka hata kansa ikiwahiwa kuna uwezekano wa kupona.

Ugonjwa wowote hata malaria,Typhoid na TB,ukichelewa kuyatibu unakufa,cancer sio ugonjwa special pekee ambao ukichelewa kuutibu unakufa.Hizi ndizo dhana potofu zinazoendelea kutawala vichwani mwa watu walio wengi.Hivi kwani mkiamua kujifunza mambo tofauti na yale mnayoyajua ili kupanua uelewa wenu ni dhambi?
 
zamani watu wakiona ugonjwa hautibiki walisingizia wachawi na waganga walipiga sana pesa. siku hizi ugonjwa kama hautibiki watu wanasingizia CIA, pharmaceutical companies, NWO, freemasons etc. na hapa watu wa tiba mbadala wanapiga sana pesa. lazima tukubali kuna magonjwa ni ngumu kutibu na mengine hayatibiki. hakuna dawa ya kisukari, hakuna dawa ya pumu, kuna kansa hata uwahi hazitibiki. hata TB NA polio vilikuwa hatari lakini kupitia sayansi dawa zimepatikana. nawaonea sana huruma watu ambao hung'ang'ania hizi zinajiita sanitarium clinics. ni ngumu kitu kishinikane hospitali harafu dokta mwaka aweze.
 

Ukweli ni kuwa ukishapata mgonjwa wengi wa nategemea afe mf kwenye ukoo wetu upande wa baba cancer imekaa km ni kitu wanarithi maana waliotangulia mbele za haki wote ni cancer imewachukua, sasa baba yangu amekuwa akipima every year na majibu yalikuwa yanakuja kuwa hana cancer until last year ndo cancer ilionekana around mwezi wa nane, mahospitali ya hapa bongo alikuwa akienda ku some wa result wanamwambia bado ni stage ndogo asiogope atapata dawa but he chose kutibiwa nje ya nchi, amefika huko a naambiwa ni stage 4 na siku anasafiri ndo alianza kusikia maumivu, imagine madaktari wa hapa ambao ni marafiki zake ndo wanamwambia asihofu! Alipewa chemo ila bahati nzuri mama aliambiwa kuh blackstrap molases na bicarbonate of soda, warm lemon water, juice za mboga and no water added na in alipo rudi mara ya pili a kaambiwa cancer cells zinapotea haraka, na pia alipo rudi mara ya tatu a kaambiwa hana kabisa cancer cells na mpaka sasa anakula hivo vyakula na amepima tena jana kaambiwa yuko normal jamani cancer inatibika, tunachowish ni kuwa tungejua mapema hata chemo as inge pata, alinyonyoka nywele but zimeota haraka huwezi hata kujua km zilinyonyoka, sasa hivi mama anawafanyia consultation wagonjwa wa cancer on foods maana yy alisomaga nutrition so ameaamua kuagiza hizo blackdtrap na anaziuza maana hapa nchi ni tulitafuta hazikupatikana na pia anawatengenezea wagonjwa vyakula na wheat grass juice pia anapanda majani na zengine kwa wanao afford ku nunua ile imported ya powder form anawauzia! Tumeresort kuwa chakula anachokula mgonjwa ni tiba haswa! So Deception anapaswa kushukuriwa maana mtu akiamua kupatilizq ushauri wake atakuja hapa kusema kuwa hata mgonjwa kaamka kitandani there is cure in foods
 

Alikuwa na stage 4 ya cancer gani?

...Alipewa chemo ila bahati nzuri mama aliambiwa kuh blackstrap molases na bicarbonate of soda, warm lemon water, juice za mboga and no water added...


Kama angeendelea na chemo sasa hivi tungekuwa tunazungumzia mengine.Nilishawaonya watu kwamba chemo yenyewe hata ikitumika kwa mtu ambaye haumwi kabisa cancer inasababisha cancer,chemo sio intelligent kiasi cha kuwa na akili ya kuchagua kwamba hii ni cancer cell na hii si cancer cell,inaharibu cell zote za cancer pamoja cell zenye afya,na ndio maana baadhi ya wagonjwa wa cancer wanaopewa chemo huonekana kupata nafuu halafu baadaye cancer hurudi kwa nguvu zote na kummaliza mgonjwa,hili hata ukiwauliza madaktari wa Ocean Road watakwambia viyo hivyo.

...alipo rudi mara ya pili a kaambiwa cancer cells zinapotea haraka,..

It seems to work.

..alipo rudi mara ya tatu a kaambiwa hana kabisa cancer cells...

Oooh wonderful!!
It really works.

..mpaka sasa anakula hivo vyakula na amepima tena jana kaambiwa yuko normal jamani cancer inatibika,...

"Amepima tena jana yuko normal"

...tungejua mapema hata chemo as inge pata, alinyonyoka nywele but zimeota haraka huwezi hata kujua km zilinyonyoka,..

Chemo inasababisha cancer kama ARVs zinavyosababisha Ukimwi.Magonjwa haya mawili yana undugu wa karibu sana.


Hapa nataka kukushauri:
Mama sasa atakuwa anajua tiba ya cancer,ni jambo zuri sana.Lakini inawezekana hajui kama kuna vita baridi kati ya mainstream medicine na alternative medicine kuhusu tiba ya ugonjwa huu,je,unakumbuka ile documentary ya "Cancer:The forbidden Cures"?,basi ile vita bado inaendelea hadi sasa.Sasa inabidi awe makini na afanye kazi zake kwa siri bila ya matangazo ya wazi.Akifahamika na wahusika anaweza kupata shida ambayo hajaitegemea kabisa,na atashangaa sana.Pia hata vitu anavyoagiza vinaweza kufuatiliwa na TFDA,ndani ya TFDA kuna waangalizi kutoka FDA ya Marekani,hivyo anatakiwa kuwa makini sana.Mpe hongera yake kwa kujua hilo.


...So Deception anapaswa kushukuriwa maana mtu akiamua kupatilizq ushauri wake atakuja hapa kusema kuwa hata mgonjwa kaamka kitandani there is cure in foods

Ndio maana huwa nachelewesha kuendelea na uzi kwa sababu kama hizi,watu hawajui maana yangu.Huwa nachelewa ili kusubiri mambo kama haya uliyoleta wewe kwa kuwa nina uhakika yapo mambo kama haya mitaani,ni suala la muda tu watu kuja kuleta ushuhuda wao.Nikileta mimi mifano kama hii watu wanaweza kuwa na mashaka,ni bora ameleta mtu mwingine nadhani labda watu wataanza kushtuka.

Sasa hizo baking sada/blackstrap molasses/maple syrup,lemon water,vegetable juices si zinapatikana hapa kwetu na hata kwa kuagiza nje?Sasa watu kama sisi tukieleza mambo haya kuna watu wanakuja wanasema tunataka kufanya biashara kama yule babu wa loliondo au madaktari wengine maarufu wa tiba mbadala Tanzania.Mambo haya mtu yeyote anaweza kutengeneza mwenyewe au kuagiza mwenyewe kutoka nje,sasa biashara iko wapi hapo?Tunakushukuru sana mkuu kwa ushuhuda wako huu.

Mwenye macho na aone sasa.
 
stage 4!. anyway , unajuaje kama siyo chemo ndiyo zimemsaidia?
 

Alikuwa na stage 4 ya prostate but imekula mbavu na uti wa mgongo mpaka kwenye skull kwa nyuma and he is healthier than ever yaani anafanya shughuli zake za kila siku and at the mean time tunataka aanze mazoezi at least awe anatembea kwa muda
 
stage 4!. anyway , unajuaje kama siyo chemo ndiyo zimemsaidia?

Ndugu yangu hao mashangazi na baba wakubwa waliotangulia mbele za haki by then walitibiwa uingereza na wengine south Africa kwa chemo hizo hizo and they passed away na hizo chemo maana nywele kunyonyoka na kucha kuharibika ni sign kuwa mwili unareject dawa na by then hatukujua kuh hivi vyakula ila recovery ya mzee kwa u sahihi kabisa ni chakula kimemsaidia, chemo bila hivo vyakula na mpangilio wa kuvila sijui angepona lini maana chemo inaharibu both cells mbovu na nzima sasa tu jiulize hiyo chemo imetibu wapi hapo? Vyakula ndo vime repair cells ambazo ni nzima na ku fight hata uharibifu wa chemo
 
napoteza iyo Bicarbonate of soda inaandaliwaje?
 
Last edited by a moderator:
mkabasia Bicarbonate of soda inachanganywa na blackstrapmolases vijiko vidogo vya chai yaani anaviweka kwenye kikombe cha chai then anaweka maji ya moto yaliyofikia boiling point utaona vinafurukuta then anaifunika na kitambaa cha wavunja ili ipoe then anampa mgonjwa wakati ikiwa ya vuguvugu anainywa taratibu
 
Last edited by a moderator:

Ucnichoke napoteza.Blacktrapmollases ni nini.
 
Last edited by a moderator:
Asante kuna ndugu yangu yupo serious ana breast cancer.
 
Aisee, basi kama ndo hivyo mkuu Deception shikamoo,umetisha mkuu.
 
Ucnichoke napoteza.Blacktrapmollases ni nini.

Blackstrapmolases ni km sukari guru fulani hivi kwa harufu na pia inapatikana baada ya mi wa kukamuliwa na kutolewa sukari yote yenyewe iko in form of syrup na zipo molasses nyingi ila ila hii ya blackstrap ambayo ni black in appearance ndo inatumika mara nyingi kama tiba na hata wengine wanalisha wanyama na pia mimea ni nzuri hata bila kuumwa ni vizuri mtu ukitumiwa
Pole sana kwa kuuguza usikate tamaa uandaaji wa vyakula ni muhimu sana hasa mboga za majani ikiwezekana ape we in form of juice na pia sio juice za kuwekwa maji yaani a pate ikiwa concentrated
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…