Mbunifu 11
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 104
- 52
Pole sana mkuu,tiba hiyo hapo ushindwe mwenyewe tu sasa.Asante kuna ndugu yangu yupo serious ana breast cancer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu,tiba hiyo hapo ushindwe mwenyewe tu sasa.Asante kuna ndugu yangu yupo serious ana breast cancer.
Aisee, basi kama ndo hivyo mkuu Deception shikamoo,umetisha mkuu.
Ndugu yangu hao mashangazi na baba wakubwa waliotangulia mbele za haki by then walitibiwa uingereza na wengine south Africa kwa chemo hizo hizo and they passed away na hizo chemo maana nywele kunyonyoka na kucha kuharibika ni sign kuwa mwili unareject dawa na by then hatukujua kuh hivi vyakula ila recovery ya mzee kwa u sahihi kabisa ni chakula kimemsaidia, chemo bila hivo vyakula na mpangilio wa kuvila sijui angepona lini maana chemo inaharibu both cells mbovu na nzima sasa tu jiulize hiyo chemo imetibu wapi hapo? Vyakula ndo vime repair cells ambazo ni nzima na ku fight hata uharibifu wa chemo
Hapa bongo naipata wapi napoteza.
Deception you didn't answer my question.Kuhusu mbegu ya parachichi inaliwaje?
mkabasia mbegu ya parachichi sisi tunaikwangua kwa kutumia grater ile ya kukwangulia karoti then unaisaga kwenye kinu kidogo cha vitunguu swaumu utapata unga then unaiweka kwenye juice au uji wa mgonjwa, ni dawa kiukweli
Mkuu kama umemfuatilia vizuri Mkuu napotezea amesema mama yake anazo anaziuza.Hapa bongo naipata wapi napoteza.
seli za kansa huwa zinajigawanya haraka sana na ndiyo maana chemo nyingi zimetengenezwa kutarget seli zinazojigawanya fasta. sasa seli za mwili kama za kinga ya mwili na nyinginezo huathiriwa kwa sababu nazo ziko fasta kujigawanya. madhara hayamaanishi chemotherapies hazifai. pia kuna mambo mawili. kwanza, kama mzee wako 'angepona' bila kugusa chemotherapy tungeamini hizo dawa zenu. pili, kansa kutokuwa detected haimaanishi imeisha. chemotherapy itakuwa imeipunguza hadi level ya chini sana.Ndugu yangu hao mashangazi na baba wakubwa waliotangulia mbele za haki by then walitibiwa uingereza na wengine south Africa kwa chemo hizo hizo and they passed away na hizo chemo maana nywele kunyonyoka na kucha kuharibika ni sign kuwa mwili unareject dawa na by then hatukujua kuh hivi vyakula ila recovery ya mzee kwa u sahihi kabisa ni chakula kimemsaidia, chemo bila hivo vyakula na mpangilio wa kuvila sijui angepona lini maana chemo inaharibu both cells mbovu na nzima sasa tu jiulize hiyo chemo imetibu wapi hapo? Vyakula ndo vime repair cells ambazo ni nzima na ku fight hata uharibifu wa chemo
Aaaash we nawe mtu anakwambia kansa kwa mzazi wake imeishi,wewe unasema imepungua hadi level ya chini,inamaana hao madaktari walimpo ripot hiyo hawaelewi au vipi? Me naona hujawi uguliwa na mtu wa karibu wewe.seli za kansa huwa zinajigawanya haraka sana na ndiyo maana chemo nyingi zimetengenezwa kutarget seli zinazojigawanya fasta. sasa seli za mwili kama za kinga ya mwili na nyinginezo huathiriwa kwa sababu nazo ziko fasta kujigawanya. madhara hayamaanishi chemotherapies hazifai. pia kuna mambo mawili. kwanza, kama mzee wako 'angepona' bila kugusa chemotherapy tungeamini hizo dawa zenu. pili, kansa kutokuwa detected haimaanishi imeisha. chemotherapy itakuwa imeipunguza hadi level ya chini sana.
seli za kansa huwa zinajigawanya haraka sana na ndiyo maana chemo nyingi zimetengenezwa kutarget seli zinazojigawanya fasta. sasa seli za mwili kama za kinga ya mwili na nyinginezo huathiriwa kwa sababu nazo ziko fasta kujigawanya. madhara hayamaanishi chemotherapies hazifai. pia kuna mambo mawili. kwanza, kama mzee wako 'angepona' bila kugusa chemotherapy tungeamini hizo dawa zenu. pili, kansa kutokuwa detected haimaanishi imeisha. chemotherapy itakuwa imeipunguza hadi level ya chini sana.
Aaaash we nawe mtu anakwambia kansa kwa mzazi wake imeishi,wewe unasema imepungua hadi level ya chini,inamaana hao madaktari walimpo ripot hiyo hawaelewi au vipi? Me naona hujawi uguliwa na mtu wa karibu wewe.
naona kuna watu kuelewa ni kazi sana. ni hivi dawa za kansa huipunguza hadi unaweza dhani umepona kumbe hapana. kuna cells zinaweza zisife na baadaye zinamutate na kuanza kuongezeka tena. ninazungumzia watumia chemo siyo hayo makabrasha ya majani. ukiwa na bahati na ukawahi inaweza kwisha ndiyo maana nilisema "haimaanishi imeisha"Aaaash we nawe mtu anakwambia kansa kwa mzazi wake imeishi,wewe unasema imepungua hadi level ya chini,inamaana hao madaktari walimpo ripot hiyo hawaelewi au vipi? Me naona hujawi uguliwa na mtu wa karibu wewe.
sijakataa nyie kupata tiba mbadala ila sikubali mdanganywe kwamba tiba mbadala zinaponya kansa. pia huyu ametumia chemo na majani na anasema majani ndiyo 'yamemponya', anaushahidi gani kwamba siyo chemo ni majani yaliyomponya?Mkuu mbona umekazana sana na hayo ma chemo? Tuko hapa kupata tiba mbadala na sio hayo ma chemo.jamaa amekujibu vizuri kabisa kwamba awali walishayatumia hayo ma chemo hayakuleta matokeo mazuri ila mara hii wakaenda huko nje na wakapima ikaonekana ipo stage 4 wakaamua kutumia vyakula kama tiba na matokeo yamekuwa mazuri.sasa ubishi wa nini hapa wakati maelezo yapo wazi kabisa wala hakuna msamiati wowote hapo,uliza vitu vya msingi hapo ili nasi tufaidike.
ndugu tiba kuna mionzi, chemotherapies na upasuaji. kwasababu dawa ilimletea madhara haimaanishi haijamponya. ni sawa na kusema dawa ya sindano haiponyeshi sababu iliuma wakati wa kuchoma.Kumbuka kuwa hawa madaktari wa bongo hawakutaka hata ku mwambia how serious stage aliyonayo instead wakamwambia kuwa si mbaya sana hivi tu jiulize stage 4 cancer ni nzuri? Shida yenu tiba mnaiona kwenye chemo tu ila mm kwa ushuhuda wa mshua wangu ni kuwa there is power in foods, na hiyo imeshangaza hata wanafamilia wa namuuliza mama imekuwaje? Umempa nn mumeo? Maana walijua kinachofuata ni kulazwa na kuuguza mno after chemotherapy km walivozoea lakini wa nashangaa mtu anaenda kazini, anafanya shughuli zake km kawa, sasa ww endelea na ubishi coz umetaka kubisha I have seen enough with cancer, mgonjwa mpaka anatapika na kuharisha mafundo ya damu ni chemo hizo unakuwa mifupa mtupu
...... yakikufika utazitafuta hizi nyuzi uombe ziwepo au uwe na kumbukumbu nzuri