Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

Aisee, basi kama ndo hivyo mkuu Deception shikamoo,umetisha mkuu.

Mm huyu Deception anachonifurahisha ni kuwa hazungumzii biashara anakueleza clearly kuwa ni chakula na anakutajia vyakula na watu wa meds si kama hawajui kama huwa kuna chakula tiba ila wao wameamua tule sumu kwa kwenda mbele, madaktari wangapi wanaugua cancer na hawataki chemo? Wanajua what happens after chemo na pia sijui ni nini kina wa fanya was ile chakula sahihi najiuliza sana food science kwao haina maana kweli au ndo biashara itaisha
 
Ndugu yangu hao mashangazi na baba wakubwa waliotangulia mbele za haki by then walitibiwa uingereza na wengine south Africa kwa chemo hizo hizo and they passed away na hizo chemo maana nywele kunyonyoka na kucha kuharibika ni sign kuwa mwili unareject dawa na by then hatukujua kuh hivi vyakula ila recovery ya mzee kwa u sahihi kabisa ni chakula kimemsaidia, chemo bila hivo vyakula na mpangilio wa kuvila sijui angepona lini maana chemo inaharibu both cells mbovu na nzima sasa tu jiulize hiyo chemo imetibu wapi hapo? Vyakula ndo vime repair cells ambazo ni nzima na ku fight hata uharibifu wa chemo

Mkuu yaani hata bila chemo kama mngeanza na hivyo vyakula angepona kabisa na pia angekuwa njema zaidi maana kusingekuwa na uharibifu wa chemo,najua hata wewe unajua hivyo.Unajua kwa mfano wako huu watu wanaopinga watasingizia chemo ndizo zimetibu ugonjwa lakini wanasahau mfano wa ndugu zako wengine uliotoa hapo juu,watu wametawaliwa na kasumba mbaya sana.Lakini nimefarijika sana kwa kuwa kuna watu wenye akili watakuwa wamekuelewa.
 
Deception you didn't answer my question.Kuhusu mbegu ya parachichi inaliwaje?

mkabasia mbegu ya parachichi sisi tunaikwangua kwa kutumia grater ile ya kukwangulia karoti then unaisaga kwenye kinu kidogo cha vitunguu swaumu utapata unga then unaiweka kwenye juice au uji wa mgonjwa, ni dawa kiukweli

Mkuu nilipitiwa tu,lakini napoteza amejibu vizuri swali lako.

Pia vitu kama parachichi ni supportive diet kwenye magonjwa mengi ikiwemo cancer.Kama cancer haijafikia pabaya vyakula nilivyotaja mwanzo vinaweza kuwa tiba,lakini kama cancer imefikia pabaya unatakiwa utumie concentrates za hivyo vyakula ili kuharakisha kutibu,maneno haya nimeyarudia tena kwa makusudi kwa kuwa watu wanaya bypass sana.

Kwa mfano;Baadhi ya vitu alivyotaja napoteza viko kwenye concenrates form.Hivyo basi vyakula vyote hivi nilivyotaja vina uwezo wa kutibu cancer ila kwa kasi tofauti,lakini vyote vinatibu cancer.Tatizo linalokuja kama utatumia vyakula vyenye kasi ndogo ni kwamba dalili za cancer zinaweza kukuua kabla tiba haijamaliza kazi,hapa ndipo watu husema kwamba "hiyo sio tiba ya cancer,kama ingekuwa tiba mgonjwa asingekufa",lakini hawajui undani wake.

Na ndio maana watu tunajitahidi kutumia muda wetu kuelezea mambo mengi ili watu wapate picha kamili ya ugonjwa huu.Cancer sio ugonjwa wa kutisha kama watu wanavyofikiri,lakini kama hutapata tiba sahihi au ukienda kufuata tiba za hospitali itakuharibu vibaya kiwango cha kutisha sana na hii ni mojawapo ya sababu ambayo inawafanya watu waiogope,wanaiogopa kwa kuwa hawajui tiba sahihi.
 
Mkuu Deception wala wasikusumbue hao wanaopinga kwa kufumbia macho ukweli uliotolewa na badala yake wanajidai kuudogesha ukweli pengine kwa ujinga walionao au kwa kulinda maslahi yao
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu hao mashangazi na baba wakubwa waliotangulia mbele za haki by then walitibiwa uingereza na wengine south Africa kwa chemo hizo hizo and they passed away na hizo chemo maana nywele kunyonyoka na kucha kuharibika ni sign kuwa mwili unareject dawa na by then hatukujua kuh hivi vyakula ila recovery ya mzee kwa u sahihi kabisa ni chakula kimemsaidia, chemo bila hivo vyakula na mpangilio wa kuvila sijui angepona lini maana chemo inaharibu both cells mbovu na nzima sasa tu jiulize hiyo chemo imetibu wapi hapo? Vyakula ndo vime repair cells ambazo ni nzima na ku fight hata uharibifu wa chemo
seli za kansa huwa zinajigawanya haraka sana na ndiyo maana chemo nyingi zimetengenezwa kutarget seli zinazojigawanya fasta. sasa seli za mwili kama za kinga ya mwili na nyinginezo huathiriwa kwa sababu nazo ziko fasta kujigawanya. madhara hayamaanishi chemotherapies hazifai. pia kuna mambo mawili. kwanza, kama mzee wako 'angepona' bila kugusa chemotherapy tungeamini hizo dawa zenu. pili, kansa kutokuwa detected haimaanishi imeisha. chemotherapy itakuwa imeipunguza hadi level ya chini sana.
 
Aaaash we nawe mtu anakwambia kansa kwa mzazi wake imeishi,wewe unasema imepungua hadi level ya chini,inamaana hao madaktari walimpo ripot hiyo hawaelewi au vipi? Me naona hujawi uguliwa na mtu wa karibu wewe.
 
Mkuu mbona umekazana sana na hayo ma chemo? Tuko hapa kupata tiba mbadala na sio hayo ma chemo.jamaa amekujibu vizuri kabisa kwamba awali walishayatumia hayo ma chemo hayakuleta matokeo mazuri ila mara hii wakaenda huko nje na wakapima ikaonekana ipo stage 4 wakaamua kutumia vyakula kama tiba na matokeo yamekuwa mazuri.sasa ubishi wa nini hapa wakati maelezo yapo wazi kabisa wala hakuna msamiati wowote hapo,uliza vitu vya msingi hapo ili nasi tufaidike.
 
Kumbuka kuwa hawa madaktari wa bongo hawakutaka hata ku mwambia how serious stage aliyonayo instead wakamwambia kuwa si mbaya sana hivi tu jiulize stage 4 cancer ni nzuri? Shida yenu tiba mnaiona kwenye chemo tu ila mm kwa ushuhuda wa mshua wangu ni kuwa there is power in foods, na hiyo imeshangaza hata wanafamilia wa namuuliza mama imekuwaje? Umempa nn mumeo? Maana walijua kinachofuata ni kulazwa na kuuguza mno after chemotherapy km walivozoea lakini wa nashangaa mtu anaenda kazini, anafanya shughuli zake km kawa, sasa ww endelea na ubishi coz umetaka kubisha I have seen enough with cancer, mgonjwa mpaka anatapika na kuharisha mafundo ya damu ni chemo hizo unakuwa mifupa mtupu
...... yakikufika utazitafuta hizi nyuzi uombe ziwepo au uwe na kumbukumbu nzuri
 
naona kuna watu kuelewa ni kazi sana. ni hivi dawa za kansa huipunguza hadi unaweza dhani umepona kumbe hapana. kuna cells zinaweza zisife na baadaye zinamutate na kuanza kuongezeka tena. ninazungumzia watumia chemo siyo hayo makabrasha ya majani. ukiwa na bahati na ukawahi inaweza kwisha ndiyo maana nilisema "haimaanishi imeisha"
 
Mkuu mbona umekazana sana na hayo ma chemo? Tuko hapa kupata tiba mbadala na sio hayo ma chemo.jamaa amekujibu vizuri kabisa kwamba awali walishayatumia hayo ma chemo hayakuleta matokeo mazuri ila mara hii wakaenda huko nje na wakapima ikaonekana ipo stage 4 wakaamua kutumia vyakula kama tiba na matokeo yamekuwa mazuri.sasa ubishi wa nini hapa wakati maelezo yapo wazi kabisa wala hakuna msamiati wowote hapo,uliza vitu vya msingi hapo ili nasi tufaidike.
sijakataa nyie kupata tiba mbadala ila sikubali mdanganywe kwamba tiba mbadala zinaponya kansa. pia huyu ametumia chemo na majani na anasema majani ndiyo 'yamemponya', anaushahidi gani kwamba siyo chemo ni majani yaliyomponya?
 
Kumbuka kuwa hawa madaktari wa bongo hawakutaka hata ku mwambia how serious stage aliyonayo instead wakamwambia kuwa si mbaya sana hivi tu jiulize stage 4 cancer ni nzuri? Shida yenu tiba mnaiona kwenye chemo tu ila mm kwa ushuhuda wa mshua wangu ni kuwa there is power in foods, na hiyo imeshangaza hata wanafamilia wa namuuliza mama imekuwaje? Umempa nn mumeo? Maana walijua kinachofuata ni kulazwa na kuuguza mno after chemotherapy km walivozoea lakini wa nashangaa mtu anaenda kazini, anafanya shughuli zake km kawa, sasa ww endelea na ubishi coz umetaka kubisha I have seen enough with cancer, mgonjwa mpaka anatapika na kuharisha mafundo ya damu ni chemo hizo unakuwa mifupa mtupu
...... yakikufika utazitafuta hizi nyuzi uombe ziwepo au uwe na kumbukumbu nzuri
ndugu tiba kuna mionzi, chemotherapies na upasuaji. kwasababu dawa ilimletea madhara haimaanishi haijamponya. ni sawa na kusema dawa ya sindano haiponyeshi sababu iliuma wakati wa kuchoma.
 
Back
Top Bottom