Hidden cancer cures

Kweli tupu dah!!nashangaa sana wanaoongelea mbegu ya peaches kuponya kansa wallah wazungu wasingekufa kwa kansa maana wanamapeaches all seasons of the year na kansa inawamaliza acha kabisa.

Labda daktari unifungue macho na mie kwamba kabla ya wazungu tulikuwa tunajitibu vp?
 
Labda daktari unifungue macho na mie kwamba kabla ya wazungu tulikuwa tunajitibu vp?

Probs ya Dr's mmeamua ku ignore kabisa food science ilhali Mnaelewa kuw there is some truth in them sasa hizo medical deadly ndio what put you thru skull na ndo maana mkiugua nyie ni dawa za pain killers lakini ma pharmacist wajanja hata watt wao wanawatibu by natural foods
 
Kweli tupu dah!!nashangaa sana wanaoongelea mbegu ya peaches kuponya kansa wallah wazungu wasingekufa kwa kansa maana wanamapeaches all seasons of the year na kansa inawamaliza acha kabisa.

Ha ha haaa,very weak indeed.Too bad,too bad!!Siamini macho yangu kama wewe ndiye yule anayewashauri watu kuhusu tiba/dawa halafu ndiye huyuhuyu anayeongea maneno haya.
 
Ha ha haaa,very weak indeed.Too bad,too bad!!Siamini macho yangu kama wewe ndiye yule anayewashauri watu kuhusu tiba/dawa halafu ndiye huyuhuyu anayeongea maneno haya.

Unajua mm najiuliza sana hawa madaktari siku hizi tiba chakula hawataki kabisa au hawakufundishwa? gorgeousmimi labda nashindwa kuelewa au la syllabus zimebadilika sana au ni sisi tu natumia tiba ambazo ziko outdated nashindwa kujua ila ni kweli vyakula haiponyeshi Dr? Maana mm nakumbuka hata machungwa huleta vitamin, upungufu wa damu kunywa maji ya maharage au mchicha uliochemshwa, macho kuona vizuri tafuna carrots je ni kweli hivi vitu havina kazi mwilini isipokuwa madawa yenu ya hospitali? Mm wakati baba anapata chemo kucha zake zili anza kung'ooka, hebu imagine mama alikuwa anamdress na detol kila asubuhi na jioni, na kuvifunika inzi wasitue maana vilikuwa vina toa us aha, siku moja aliamka akaamua kuvimwagia vidole vya msure apple cider vinegar imagine hapo ni after kuhangaika mno na detol na vidonda vikaanza ku respond, vikakauka kabisa after 4 days na sasa kucha zimeanza kuota, imagine mtu a najiona kila siku mausaha yanayomtoka, na hao inzi wanavosumbua mpaka inabidi kuvaa gloves all the time, na shaking hands kwa kuogopa infection, no touching money kwa kuogopa infection halafu leo nakwambia kuwa chakula ni a big part of his healing ww unakataa wakati ni dhahiri kuwa vyakula ndio mpango mzima! Alishajikatia tamaa, ameona ndugu zake wakigharamika kujitibu na bado wa kafa hivi unataka kuniambia hofu ya mauti haikumkuta? You just don't know how thankful he is to my mom by forcing him to drink and eat those foods na kwa taarifa tu everybody anayemwona how well he is doing a namuuliza umefanyaje fanya je? Anawaeleza muulize ni mke wangu maana alikuwa ananiamsha saa 11 asubuhi naanza kula, she knows what she gave me! Yy kama yy alimdissapoint hadi mama but mama never gave up! Ye alijua hana ujanja he is done but he is healthy and happy now
 
Last edited by a moderator:
hiyo B17 yenyewe kwenye mbegu za peaches hiko kwenye mbegu zile chungu, na unashauriwa usile nyingi kwa siku kwakuwa zinaleta matatizo mengine, kwahiyo siyo kila mbegu ya peaches tu ina hiyo B17 ya kutosha na siyo kula tu kama unatafuna karanga, kama ukitaka kujua ni nini namaanisha, ukila apple unatakiwa utafune na zile mbegu zake, sasa ule uchungu ndiyo mambo yenyewe, tunda jingine ambalo linasaidia Staferi, hiwe unakula tunda kama tunda ama juisi, hili tunda linawasaidia sana watu wanaofanya chemo, huwa inabusti sana immunsystem.

Kwakweli mtu unapoumwa na kama unataka kupona, wewe ndiyo inapaswa huwe injinia wa matatibabu yako, hasa cancer ni ugonjwa ambao waweza ushinda kama wewe mgonjwa umeamua kupambana nao, inatakiwa usidharau info, na dawa, ziwe za hospital ama mbadala, yapaswa ujaribu kotekote.
Hapa watu wasibezane kwamba kitu kama hicho hakuna, dawa mbadala zipo, wengine zinawasaidia wengine hapana, sawa na matibabu wanayofanya hospital, watu wengine wanapona, kwahiyo muhimu ni kuelekezana dawa na si kubezana.
 
Wheat grass juice nayo ni dawa nzuri sana hata kwa wenye kisukari

Nimefurahi sana Kupata Wataalamu wawili au Madaktari wawili katika Uzi huu amabo wanamifano Hai ya Kutibu Watu Kansa . sasa Napotezea .. Kwa Faida ya Watu wote Humu kama Deception alivyoelezea hapo Mwanzo Kwamba Kabla Mtu hajaanza Kutibiwa Kansa Yeyote ile Kuna Mambo ya Lazima Mawili .. Kwanza Kuweka Mwili katika Hali ya Alkaline na Pili kutoa Sumu mwilini kwa Njia za Juice na Vyakula.. Na Tatu ndo Kuanza Tiba Ya Vitamin b17

Je Wewe Mama Yako Kabla Hajaanza Tiba Vitu gani hasa Anaanza Kwa Mgonjwa Wa Kansa.. Nashkuru na Mungu Awabariki
 
Last edited by a moderator:

@Rg forever labda nikupe mlolongo wa namna mama alifanya ni kuwa hiyo saa 11 asubuhi alikuwa anampa blackstrapmolases iliyochanganywa na bicarbonate of soda then after 1hr anampa warm lemon water and then after half an hour anampa juice yenye mchanganyiko wa wheat grass, stafeli, beetroot, derega, spinach, na carots and pinaple! Then saa mbili anamtengenezea oats kwa kutumia soy milk anamwekea mbegu ya parachichi na after that ni lots of water na mchana ni steamed food with salad and flaxeed oil and accompanied by the juice with wheat grass na sa kumi ni weetabix with soy milk jioni anakula lots of fruits with salads na flaxeed oil na hiyo ndo routine yake ilikuwa though siku hizi anakula hata ndizi but no red meat, juice za via zi vitamu etc
 
Last edited by a moderator:

Mimi siwezi kusema nina utaalamu but I believe in food science coz I have seen it work, nafanyia kazi ya kuh hiv and will report back
 
Last edited by a moderator:
sijakataa nyie kupata tiba mbadala ila sikubali mdanganywe kwamba tiba mbadala zinaponya kansa. pia huyu ametumia chemo na majani na anasema majani ndiyo 'yamemponya', anaushahidi gani kwamba siyo chemo ni majani yaliyomponya?

Umesoma lakin huelewi mnashangaza sana kwani mmekula yamini kua msikubali hata ushuhudie?
 
poa mkuu. mwisho wa siku mtu mwenyewe ndiye huchagua.

Hembu onye uelewa jifunze usipinge kwa kuamini ujuavyo jifunze na vipya acha uvivu acha ubishi mungu ametuumba tofauti ukijua hiki ujue mwenzio anajua kingine acha dharau wenye elemu hawawi wabishi
 
Umesoma lakin huelewi mnashangaza sana kwani mmekula yamini kua msikubali hata ushuhudie?

Yaani umeona eeh? Pamoja na ku mwambia Red Giant kuwa waliotumia chemo pekee walikufa na huyu aliye tumia chemo na majani ndo yuko vizuri haoni hata u tofauti mi nasema kweli tungejua mapema hata chemo asingepewa mgonjwa wetu maana nyie madoctor hata kumweleza mgonjwa how seriously affected hamtaki ni kiwashibisha madawa tu ndo mnalojua mgonjwa apewe options km ninyi mnavoikimbia chemotherapy! As for Steve jobs ni kuwa aliko sa hii elimu ya food science sawasawa and his death ni credit to Big pharma kuwa huu ugonjwa hautibiki ila tunajitahidi na hata kutudanganya kuwa alichelewa tiba ili watu wakubaliane na madawa yao
 
Last edited by a moderator:

Kweli tuna mitihani sasa haya unaongea wewe mwenyewe tena?yote ulio sema hapo yanaua sasa kuna ubaya gani kufa kwa sababu sijatumia dawa zenu?
 
Kweli tupu dah!!nashangaa sana wanaoongelea mbegu ya peaches kuponya kansa wallah wazungu wasingekufa kwa kansa maana wanamapeaches all seasons of the year na kansa inawamaliza acha kabisa.

Yani doctor mzima unadharau vyakula ambavyo ndo uhai? Mnashangaza sana kwahiyo hayo mambegu mungu kayaweka bila faida yeyote?
 
Ha ha haaa,very weak indeed.Too bad,too bad!!Siamini macho yangu kama wewe ndiye yule anayewashauri watu kuhusu tiba/dawa halafu ndiye huyuhuyu anayeongea maneno haya.

Mkuu mii sijasoma lakin nimemshangaa kwa kweli yani huruma kama vyakula havina maana dah

Cha ajabu alisema haludi tena imekuaje ana commenti?
 
Mkuu mii sijasoma lakin nimemshangaa kwa kweli yani huruma kama vyakula havina maana dah

Cha ajabu alisema haludi tena imekuaje ana commenti?

Sijasema vyakula havina maana soma uelewe mna kazi ya kugeuza maneno tu!Kwani kuna restrictions za mtu kucomment kwenye uzi?
 

Ahsante. Sasa natafuta mfasiri ili anitafsirie nielewe vizuri.

Kaka
 

Ahsante mkuu. Labda niulize tena, kwa nini hizi "side effects" hutokea?
 
sijakataa nyie kupata tiba mbadala ila sikubali mdanganywe kwamba tiba mbadala zinaponya kansa. pia huyu ametumia chemo na majani na anasema majani ndiyo 'yamemponya', anaushahidi gani kwamba siyo chemo ni majani yaliyomponya?

Yani mimi nachukiaga matomaso huyu atakuwa anafanya kazi FDA au CDC maana anang, ang, ania hayo machemotherapy na mamionzi kama vile anazo hisa huko acha ujinga funguka mke wa rafiki yangu kafariki mwezi jana tu hapa kansa ya titi na akachomwa na kupewa machemotherapy akapata nafuu kurudi mara ya pili ndio kaenda hivyo af bado unaambiwa unaleta ubishi wa man u na arsenal kuwa mwelewa af kuna baadhi ya madokta huwa wanakuwa na vichwa vigumu, dada yangu mwenyewe ni dokta lakini anaamini Bicabonate soda ni nzuri kwa GEARD na hata mimi leo nimenunua Bcabonate na. Nimekunywa .
 
Umeonaeee mkuu,sijuwi kwa nini baadhi yao hawapendi kujifunza vitu vipya isipokuwa vile walivyokalili,mimi mwenyewe mume wangu ni daktari lakini anaamini pia mambo ya tiba mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…