Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

Mkuu maada kama hii nilishawahi ona facebook watu wakijadili na walitoa mfano wa wafanyakazi waliokuwa nwafanfanya kazi katika makupmuini makubwa ya kutengeneza dawa za kansa na wao walikufa kwa kansa ina maana wao hawajui siri ndogo namna hii?
 
Mkuu maada kama hii nilishawahi ona facebook watu wakijadili na walitoa mfano wa wafanyakazi waliokuwa nwafanfanya kazi katika makupmuini makubwa ya kutengeneza dawa za kansa na wao walikufa kwa kansa ina maana wao hawajui siri ndogo namna hii?

Nakupa mfano:

Kama wewe ni muumini wa dini fulani na unaamini kabisa katika dini yako kwamba ni ya kweli, je,unaweza kuamini pia kwamba dini nyingine tofauti na ya kwako ni ya kweli?

Kubadili mawazo yako kunategemea na udadisi wako,kama hujawahi kudadisi jambo fulani kwenye maisha yako pia huwezi kulijua jambo hilo.Kujua jambo fulani bila kujali urahisi wake hakutegemei ukubwa wako, cheo chako,umuhimu wako kwenye jamii au umaarufu wako kwenye jamii,kama hujui utaendelea kutojua mpaka utakapoanza kudadisi.

Unajua pia kwamba huyo wa kwenye avatar yako pia alikufa kwa cancer? Ushawahi kujiuliza kuhusu hilo pia?
 
Nadhani watu wameshapitia uzi vya kutosha. Sasa baadaye kidogo nitakuja na sababu halisi zinazosababisha cancer na jinsi ya kujikinga nazo, pia hata kama utakuwa na cancer nitakwambia jinsi ya kutibu kulingana na baadhi ya tiba nilizoorodhesha mwanzo.

Hapa ndipo mahali ambapo watu mnatakiwa muwe makini ili uzi huu uwe na maana kwenu na kwa watu wenu wa karibu.Lakini kwa kuwa natoka kidogo,hebu wakati huu mnaweza kupitia hii documentary ili kukazia kidogo.

[video=youtube;JGsSEqsGLWM]https://www.youtube.com/watch?v=JGsSEqsGLWM[/video]

Nitakapomaliza kuhusu sababu na tiba za cancer nitawawekea PDFs za vitabu kadhaa mjisomee kwa ajili ya kumbukumbu zenu na jamaa zenu.
 
Thanx deception ngoja nipate mda mzur nipitie kwa umakin
 
Mambo ya msingi yanayoweza kusababisha cancer mwilini:

Kwanza kabisa inabidi watu wafahamu kwamba,kila mtu mwili wake unajiponya cancer kila siku katika maisha yake,yaani namaanisha kwamba kila mtu hupata cancer kila siku lakini mwili wake hujiponya kila siku.Hii inatokana na uimara wa kinga ya mtu.

Hivyo basi,ukiona mtu amepata cancer inabidi ufahamu kwanza kabisa kwamba kinga ya mtu huyo ina matatizo,halafu pili ndio unatakiwa kuanza kudadisi mambo yaliyoingia ndani ya mwili wake ambayo kinga yake imeshindwa kuyazuia na hatimaye kumsababishia cancer.

Hivyo basi,mpaka hapo tunaweza kutenga sababu zinazosababisha cancer kwenye makundi mawili ili kurahisisha kuelewa vizuri.Kwanza ni kinga ya ndani ya mwili,na pili ni sababu zitokazo nje ya mwili ambazo huingia ndani ya mwili na kushindwa kuzuiwa na kinga ya mwili na hatimaye kusababisha cancer.

1. Kinga ya mwili:

Mwili unapopata cancer hujiponya wenyewe kwa kutumia kimengenyo cha protini kinachotolewa na kongosho/pancreas kiitwacho trypsin kikishirikiana na chembe nyeupe za damu kufanya kazi hiyo.Chembe nyeupe za damu hazina uwezo zenyewe kushambulia chembe za cancer kwa kuwa zenyewe ni chaji hasi(-ve) pia chembe za cancer ni chaji hasi(-ve) hivyo hukwepana,sasa basi, kazi ya kimeng'enyo cha trypsin ni kumeng'enya ukuta wa nje wa chembe za cancer ambao ni wa protini na una chaji hasi(-ve) na baada ya chembe za cancer kumengenywa huwa zinaachwa uchi na kushambuliwa kwa urahisi na chembe nyeupe za damu.Hivi ndivyo mwili unavyojiponya cancer kila siku.

Kwa watu ambao kongosho zao hazifanyi kazi sawasawa na wanaishi maisha hatarishi huweza kupata cancer kwa urahisi sana.

2.Sababu zitokazo nje ya mwili:

Pamoja na kinga ya mwili kufanya kazi kama nilivyoeleza hapo juu,lakini pia si njia pekee ya kuzuia cancer,hii ni kwa sababu kuna mambo mengi mwilini ambayo yanatakiwa yawe kwenye mlinganyo unaotakiwa kiasilia ili mwili wote uweze kufanya kazi kwa kutegemeana.

Mambo haya ni kama vile;

i/. Kiwango cha tindikali/nyongo(alkali) kwenye damu(blood alkalinity level) ambayo inatakiwa iwe 7.365,
ii/. Mwili unatakiwa uwe na kiwango thabiti cha methly group/HCL tumboni,yaani kiwango kizuri cha tindikali ya HCL kwenye tumbo.Methyl groups husaidia kushikilia maji kwenye utumbo nk,inabidi watu wafahamu kwamba zaidi ya 90% ya afya ya mwili huanzia kwenye utumbo,
iii/. Mwili unatakiwa uwe na vitamini zote muhimu,
iv/. Mwili unatakiwa uwe na madini yote muhimu,
na mambo mengine machache.

Hutakiwi kuogopa kwa kuona kwamba unatakiwa ufanye mambo mengi sana,la hasha,bali mambo yote hayo unaweza kuyakamilisha kwa kufanya vitu vichache sana.

Sasa basi mwili unaweza kuwa na mapungufu katika mambo hayo i-iv kutokana na utaratibu mbovu wa maisha na hasa ule wa kula vitu visivyofaa.Ukila vyakula BORA vya ASILI kwenye mlinganyo unaotakiwa,mwili wako utaondokana na mapungufu ya vitu hivyo nilivyovitaja.

Ulaji wa vyakula vya viwandani/processed foods/enriched foods kama vile white sugar,white flour/sembe,white rice,white salt/chumvi ile ya unga,cornfalkes,KFC foods,vinywaji kama vile soda na juisi zilizosindikwa.Pia ulaji wa mara kwa mara wa vyakula kama vile nyama nyekundu,vyakula visivyooshwa vizuri kutoa sumu za mashambani(pesticides) na pombe kali/zisizo na viwango mara kwa mara,madawa ya hospitali mara kwa mara na mambo mengine kama hayo yanayokiuka asili ya mwanadamu yanaweza kutoa mchango mkubwa sana kusababisha cancer.

Ulaji wa vitu hivyo unaweza kukufanya uwe na tindikali nyingi kwenye damu kitu ambacho ni hatari sana.Uwiano mzuri wa tindikali/nyongo kwenye damu ndio kitu cha msingi sana kukiangalia,wagonjwa wote wa cancer ukiwapima damu zao utaona kwamba damu zao zina tindikali nyingi kuliko kiwango cha kawaida.Hivyo basi,ukiwa na tindikali nyigi kuliko kawaida kwenye damu utapoteza madini mengi muhimu kama vile calcium,magnesium na madini mengine muhimu madogo madogo ambayo yote hayo yana umuhimu mkubwa wa kupigana na cancer,pia ini haliwezi kufanya kazi yake vizuri katika hali ya tindikali nyingi,hali hii pia huweza kuathiri kongosho kushindwa kufanya kazi yake ipasavyo.Hivyo ulaji huu mbovu utakufanya uangukie kwenye matatizo namba i hadi namba iv hapo juu.
Hivyo basi,kama una cancer,huwezi kupona daima kama damu yako ina tindikali.Ili upone kwanza rekebisha kiwango cha tindikali/nyongo(alkali) kwenye damu halafu ndio uendelee na mambo mengine muhimu.

Sasa basi,ili uwe na afya njema na upone cancer kama unayo,inabidi mwili wako uupe virutubisho vyote muhimu ili kuipa nguvu kinga ifanye kazi kwa urahisi.Virutubisho hivi utavipata kwa kula vyakula vya asili vya aina mbalimbali ambavyo vina kazi tofauti mwilini;

1.Ule vyakula vyenye uwezo wa kufanya damu yako iwe na kiwango kizuri cha alkali;
Baadhi ya vyakula hivyo ni juisi ya mboga mbichi za majani kama vile spinach,celery,matembele,broccoli,juisi ya maji ya limao/ndimu nk.

2.Ule vyakula vyenye uwezo wa kuondoa sumu mwilini;
Baadhi ya vyakula hivyo ni tumeric/bizari mbichi,tangawizi,parachichi na mbegu yake,juisi ya maji ya limao/ndimu,juisi ya ubuyu/ukwaju,black seed oil/mafuta ya habbat sauda,kitunguu saumu,juisi ya apple/tufaa,aloevera/shubiri nk.

3.Ule vyakula vyenye uwezo wa kutibu tatizo husika,ambapo kwa maana hii tunazungumzia cancer;
Baadhi ya vyakula hivyo ni mbegu za apricot,mbegu za peach,mbegu za almond,mtama,ulezi,mbegu za maboga,ufuta,juisi/mafuta ya jani kibichi ya bangi,backing soda,juisi ya karoti,juisi ya stafeli nk.

MUHIMU:

1.Huwezi kupona cancer kama damu yako ni acidic,yaani ina tindikali.Inabidi damu iwe alkaline/nyongo kwa kiwango kinachotakiwa ndio uweze kupona.

2.Huwezi kupona cancer kama mwili/damu yako ina sumu.Inabidi uondoe sumu ndio uweze kupona.

3.Ukifanya namba 1 na namba 2 hapo juu ndio hatua namba 3 itafanikiwa kwa urahisi sana.Hapa kwenye hatua hii ni kula vyakula vyenye uwezo wa kuua moja kwa moja chembe hai za cancer.Chembe hizi zikifa hazirudi tena kwa kuwa tayari damu iko safi na mwili/damu haina sumu tena hivyo madini muhimu hayawezi kupotea mwilini.

Hii ndio sayansi ya cancer kwa lugha ya ki laymen/rahisi kabisa.

Baadaye nitaenda specific kwenye tiba mojawapo niliyoizoea na kuwapa specifications zake jinsi ya kumtibu mgonjwa ambaye tayari ana cancer na mmepoteza matumaini kabisa.
 
Miongoni mwa comments zilizonivutia baada ya kuiangalia World Without Cancer documentary ni huu ushuhuda wa huyu mdada:

" I want to stand up and say I was diagnosed with juvenile diabetes at age 10 and then breast cancer when I was 26... surgeries, chemo, radiation, drugs... cut, poison, burn... I was in remission for 3 years when the cancer spread to my spine while I was pregnant. A fall left my spine fractured while 27 weeks pregnant I gave birth to my 2ld 5oz baby.

It was a miracle we both survived! After more surgery and radiation, I was told doctors could only try to keep it from spreading and they didn't know if I had a year to live or 20 years, but I would never be cured! I started looking into alternative treatments and thanks to my mother, I decided to try b17, which she heard great things about! I'm blessed to say I have been in remission for almost 6 years and I'm reclaiming my health and will never put my body through chemo again!

I also stopped eating red meat, drink lots of green tea, practice yoga and meditation and stay positive, as well as other treatments like a spinal cleanse, which have all contributed to my continuing survival, but there is now no doubt, eating apricot seeds has given me twice as many years of remission so fa
r... and to think 97% of people who go through the hell of chemo, are not cured! We need to WAKE UP! STAND UP! and start putting human life above money and power!"

 
Asante mkuu naona kama naelewa vile..ngoja niendelee kukufuatilia..ktk mahospital yetu hawasemi sana..yaan hata kupewa basic tu kwa mgonjwa imekua mtihani..kazi yao ni mionzi tu..

Mashine moja ya mionzi iitwayo linear accelerator serikali imegharamia pesa za kitanzania shilingi bilioni 4.5,pamoja na gharama yote hiyo bado haina uwezo wa kutibu cancer zaidi ya kutuliza dalili na kuwasababishia wagonjwa cancer mpya. Hapa ndipo utakapoona kwamba cancer ni biashara na kamwe huwezi kuja kusikia wanatangaza tiba ya cancer kwenye vyombo vya habari katika vizazi vya hivi karibuni. Kumbe tiba za cancer zinatunguka kwenye mazingira yetu bila kujijua.Ukosefu wa maarifa unaangamiza sana watu.

Pale Ocean Road taasisi ya cancer ukiangalia nje utaona mabango mengi sana na mojawapo ya mabango hayo ni lile la taasisi ya afya ya Marekani ambayo pia imeweka ofisi pale.Kwa mtazamo wa kawaida unaweza kufikiri kwamba wanatupenda sana ndio maana wameweka ofisi pale ya kufanya uangalizi,la hasha,sivyo hivyo.

Wanachokifanya pale ni kutunza biashara yao ili isiingiliwe.Kama kuna jambo lolote ambalo ni hatarishi kwenye biashara yao hulicukulia hatua mapema sana,kama watagundua kuna tiba mbadala ya cancer inapigiwa chepuo basi wanai suppress haraka sana ikiwezekana hata kuua wanaua.

Na pia wapo ili kuendeleza kampeni zao kuhusu cancer kama vile kufanya matembezi ya cancer ya matiti kwa wanawake nk.Sasa umeshawahi kujiuliza kwamba cancer ya matiti ina jambo gani special kulinganisha na cancer nyingine?

Wanaturubuni akili zetu ili tuone kwamba cancer zinatofautiana vyanzo vyake na tiba zake.Hivyo kuhusu cancer ya matiti,wanajifanya wanawapenda saaaana wanawake wetu ndio maana wanafanya matembezi special ya cancer ya matiti.Kumbe cancer zote zina sayansi sawa na tiba sawa.

Hebu tuzinduke,huu ugonjwa sio special kama tulivyodanganywa,cancer ni ugonjwa rahisi sana kuutibu hata kuliko malaria. Ukitibu cancer kwa kutumia naturopath pia utakuwa umetibu hata magonjwa mengine mwilini ambayo huyajui na ni sugu,kwa sababu naturopath cancer cure is total body cleanse and rejuvenation. Huwezi tena kupata kisukari,autoimmunity,AIDS nk.

Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
 
MUHIMU:

1.Huwezi kupona cancer kama damu yako ni acidic,yaani ina tindikali.Inabidi damu iwe alkaline/nyongo kwa kiwango kinachotakiwa ndio uweze kupona.

2.Huwezi kupona cancer kama mwili/damu yako ina sumu.Inabidi uondoe sumu ndio uweze kupona.

3.Ukifanya namba 1 na namba 2 hapo juu ndio hatua namba 3 itafanikiwa kwa urahisi sana.Hapa kwenye hatua hii ni kula vyakula vyenye uwezo wa kuua moja kwa moja chembe hai za cancer.Chembe hizi zikifa hazirudi tena kwa kuwa tayari damu iko safi na mwili/damu haina sumu tena hivyo madini muhimu hayawezi kupotea mwilini.

Hii ndio sayansi ya cancer kwa lugha ya ki laymen/rahisi kabisa.

Baadaye nitaenda specific kwenye tiba mojawapo niliyoizoea na kuwapa specifications zake jinsi ya kumtibu mgonjwa ambaye tayari ana cancer na mmepoteza matumaini kabisa.

Sasa tuzungumzie tiba maalum ya cancer:
Kama nilivyoeleza mwanzoni kwamba kuna tiba nyingi za cancer ambazo zimetuzunguka bila sisi wenyewe kujua kutokana na kutokuwa na maarifa na kudanganywa na sekta rasmi ya tiba za magharibi.Tiba hizo zinakuwa na nguvu zaidi kama zitatumika kwa kushirikiana na tiba nyingine.

Kwa sasa nitazungumzia kimelea cha asili kiitwacho amygdalin,jina la kawaida inaitwa laetrile,kimelea hiki kimepewa jina ambalo sio rasmi na kuitwa vitamin B17.Kimelea hiki kinapatikana kwenye vyakula vya asili kama vile; mbegu za apricot/peach/almond,mbegu za maboga,mbegu za ufuta,mtama,ulezi,mbegu za alizeti,mihogo mibichi,uyoga.

Lakini kimelea hiki kinapatikana kwa kiwango kikubwa zaidi kwenye mbegu za apricot/almond.Kwa mtu ambaye haumwi cancer anashauriwa awe anakula tu vyakula vya aina hii na kamwe hatopata cancer.Lakini kwa mtu ambaye tayari ana cancer anashauriwa apate kimelea hiki kikiwa katika concetrated form.Concentrated form ya kimelea hiki inapatikana baada ya kufanya solvent extraction kutokana kwenye vyakula vinavyobeba kimelea hiki kwa kiwango kikubwa kama vile mbegu za apricot.

Baada ya kupatikana kwa kimelea hiki kwenye concentrated form,mgonjwa anaweza kutumia kama food supplement kama chakula katika dozi maalum itakayopendekezwa au kwa njia ya IV injection.Kumbuka kwamba kabla ya kutumia hiki kimelea hakikisha umepitia au unafanya kwa pamoja na hatua ile ya kwanza na ya pili,yaani unafanya therapy ya kuiweka pH ya damu yako iwe alkaline(pH=7.365) halafu unafanya therapy ya kuondoa sumu mwilini kwa pamoja.Mambo haya yakienda pamoja ndio tiba inakuwa imekamilika.

Kazi ya vitamin B17 ni kuua chembe za cancer,chembe hizi zinapouawa cancer inatoweka na haiwezi kurudi kwa kuwa mazingira yanayofanya cancer kuwepo yanakuwa yameshaondolewa,yaani mwili unakuwa hauna sumu na pH ya damu iko sawa,hivyo ukipona umepona,yaani cancer ndio imekwenda zake,haiwezi kurudi.Kwa wale mliofanikiwa kupitia ile documentary nadhani mtakuwa mnaelewa ni kwa jinsi gani/kwa vipi vitamin B17 inaua chembe za cancer,nisingependa nielezee hapa kwa kuwa nataka kuokoa muda na nafasi.

Sasa basi,kama una mgonjwa wa cancer,kwanza kabisa hakikisha anapitia hatua ya kwanza na ya pili huku wakati huohuo ukimpatia vitamin B17 ili kuzuia cancer isiendelee zaidi.Mara nyingi kwa cancer zilizokaa muda mrefu huweza kupona kuanzia miezi 3.Haijalishi ni cancer gani,vitamin B17 inatibu au inaua cancer yoyote ile mwilini.Kwa wale wagonjwa waliopitia tiba za hospitalini kama vile chemotherapy na mionzi huweza kuchukua muda mrefu zaidi kupona kutokana na uharibifu uliofanywa na chemo na mionzi.Wagonjwa hawa ni vizuri kuwapa madini ya zinc ili kurahisisha usafirishwaji na unyonywaji wa vitamin B17 mwilini.

Utaratibu wa kutumia vitamin B17/amygdalin/Laetrile:

1.Hakikisha pH ya damu ya mgonjwa iko sawa kwa kula vyakula nilivyovitaja mwanzo.

2.Hakikisha mgonjwa anakula vyakula vinavyoondoa sumu mwilini kama nilivyovitaja.Hapa nitaongezea supplement iitwayo pangamic acid ambayo ina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini.Dozi ya pangamic acid ni 500mg mara mbili kwa siku,yaani asubuhi na jioni.

3.Sasa ili kuua chembe za cancer utatumia vitamin B17,500mg mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni.Pia kuna supplement iitwayo zinc citrate(20-50 mg mara mbili kwa siku)ambayo husaidia kusafirishwa na kunyonywa kwa vitamin B17 haraka mwilini.Pia kuna supplement iitwayo bromelain/papain,hizi ni proteolytic enzymes ambazo kazi yake ni kumenya ukuta wa nje wa chembe za cancer ambao kiasilia ni wa protini na kuziacha wazi ili kushambuliwa na kinga ya mwili.Kazi ambayo inafanywa na hizi proteolytic enzymes ni sawa na ile inayofanywa na trypsin itolewayo na pancreas/kongosho.

NB:
Bromelain:Hutokana na extract ya tunda la nanasi/pineapple.
Papain:Hutokana na extract ya tunda la papai/pawpaw.

Hivyo basi,mgonjwa anatakiwa atumie aidha bromelain au papain na si zote mbili kwa pamoja,200mg mara mbili kwa siku.

Vitamin B17 inatakiwa itumiwe pamoja na zinc citrate na pangamic acid.Bromelain au papain zinatakiwa zitumiwe asubuhi kabisa kabla mgonjwa hajakula chochote.

ANGALIZO:
1. Vitamin B17 na pangamic acid zinashusha presha na hivyo basi ni vyema mgonjwa akajua mapema hili.Dozi niliyoitoa hapo juu ni maalum kwa wagonjwa ambao wana presha ya kushuka.Kwa wale wasio na presha kabisa dozi yao inaongezeka na kufikia 1000mg mara mbili kwa siku kila moja.Vitamin B17 na pangamic acid zina faida mara mbili kwa wagonjwa wa cancer wenye presha ya kupanda kwa kuwa zinashusha presha.

2.Zinc citrate inaweza kusababisha mgonjwa kujisikia baridi hasa viganjani, pia homa kama mgonjwa atazidisha dozi.

3.Bromelain au papain huweza kusababisha maumivu ya tumbo kwa baadhi ya wagonjwa lakini si wote.Endapo mgonjwa atapata maumivu ya tumbo anaweza kupunguza dozi au kuiacha kabisa na kuendelea na nyingine zilizobaki kwa kuwa kazi ya hizi ni huharakisha tu kupona.

4.Kama mtu atakosa supplement ya vitamin B17 na pangamic acid anaweza tu kula mbegu zenyewe za apricot,anaweza kuanza na mbegu 7 kwa siku na aendelee kuongeza idadi hadi kufikia 26 kwa siku,kila siku.Nasema hivyo kwasababu supplement ya vitamin B17 na pangamic acid hazipatikani hapa kwetu kirahisi na uingizwaji wake unaweza kuwa na matatizo kutokana na chemical compound iliyomo ndani yake.Chemical compound yake ni sababu tosha ya kupigwa marufuku na TFDA kwa kuwa TFDA wanafanya kazi kwa kufuata protocols na si mantiki.TFDA wakishaona cynide component ndani yake huweza kuipiga marufuku bila hata kujiuliza sayansi ya ufanyaji kazi wake.

Kazi kwenu sasa,someni kwa makini huku mkirudia rudia mpaka huu mtiririko ukae kichwani na muwe madaktari wenu na watu wenu wa karibu.Kama kuna swali hapa mnaweza kuuliza,au kama kuna kitu sijakizungumzia mnaweza kukumbusha.
 
Mkuu deception naomba kukuuliza kidogo,hizo apricot ndio nini kwa kiswahili?

Sina uhakika kwa kiswahili linaitwaje,lakini ni tunda linalofanana kabisa na apple/tufaa ukiliangalia kwa nje ila tofauti yake kwa ndani lina mbegu moja kubwa kiasi katikati tofauti na tufaa lenye mbegu kadhaa ndogondogo.Ile mbegu yake ukiimenya na kuila ina ladha chungu sana,sasa ule uchungu ndio kimelea kiitwacho amygdalin ambacho ndio tiba yenyewe inayotumika kuua chembe za cancer.
 
Wale ma dokta wa warumi wamekubali kwa hapa hivi kwanini zile mashine za Deception alizosema wanauza bei kubwa namna hiyo?! inakuwaje Steve Jobs alifariki kwa Kansa pia wakati inasemekana alikuwa vegetarian...

Kitu chochote hata kama kinapatikana kwa urahisi lakini kikajengewa mazingira ya kuthaminiwa na kutopatikana kwa urahisi huwa gharama yake inakuwa kubwa zaidi kuliko kawaida.Sasa hawa jamaa tayari wameshatujenga kisaikolojia kwamba kwamba hizo mashine ndio miongoni mwa tiba pekee za cancer na ni adimu kupatikana,ndio maana bei yake inakuwa kubwa mno,lakini pamoja na bei yote hiyo mashine hiyo haina uwezo wa kutibu cancer zaidi ya kupunguza dalili zake na kusababisha cancer mpya.

Bei ya hiyo mashine niliisikia kwa masikio yangu mwenyewe ikitamkwa na mkurugenzi msaidizi wa Ocean Road Cancer Institute(Dr.Msemo) kipindi hicho wakati wa Fundraising kwenye matembezi ya cancer ya matiti kwa wanawake.Waziri wa afya Seif Rashidi alipoulizwa yeye atachangai nini akasema serikali itachangia kununu mashine iitwayo Linear Accelerator ikishirikiana na shirika la umoja wa mataifa liitwalo International Atomic Energy Agency(IAEA).Nadhani unaweza kuendelea kuona jinsi hawa jamaa wanavyofanya biashara hii kwenye sekta afya kwa kushirikiana na serikali za nchi husika.

Kuhusu Steve Jobs:
Kutokana na taarifa rasmi inasemekana Steve Jobs alikufa kwa cancer ya kongosho/pancreatic cancer.Kutokana na uchunguzi uliofanyika ilibainika kwamba Steve alipata cancer ile tangu umri wa miaka 20's hivi,lakini hakuigundua kutokana na ukuaji wa cancer yenyewe ambao ilikuwa ni taratibu sana ambapo kasi hiyo ndogo ya ukuaji wa cancer yake ilichangiwa na vyakula alivyokuwa anakula(vegetarian).Pamoja na utaratibu wake mzuri wa mlo lakini steve aliji expose kwa kiwango kikubwa sana kwenye kemikali zinazosababisha cancer wakati anafanya majiribio ya kuchomelea electronics circuits zake kipindi cha ujana wake.Steve alikuwa ana deal na lead na mercury,hizi ni heavy metals ambazo ni rahisi sana kusababisha cancer,hivyo watu wanatakiwa kuziepuka sana.Sasa kipindi kile technology haikuwa juu sana kwenye matumizi salama ya hizi chemicals hivyo zilikuwa hatari zaidi.

Steve ali survive muda mrefu na cancer ile hata kufikia utu uzima ambapo ndio ikaanza kumsumbua.Steve hakutaka kwenda kwenye tiba za mionzi na chemo au surgery,bali aliendelea na utaratibu wake wa kula vyakula vibichi/mbogamboga.Lakini alipata presha sana kutoka kwa ndugu zake na watu wake wa karibu waliomzunguka na kumlazimisha aende kufanyiwa surgery na tiba nyingine za cancer hospitali.Steve alikataa lakini mwishowe akakubali alipoona anazidiwa.Kweli akafanyiwa matibabu hayo na akajisikia nafuu,lakini baadaye cancer ilirudi kwa nguvu zote na kumchukua moja kwa moja.

Sasa kuna mambo mengi sana ambayo sio rasmi yanasemwa kuhusu kifo chake,lakini bado hakuna taarifa zilizothibitishwa kwamba ni za kweli.Lakini mwisho wa siku,kama kweli alikuwa na cancer ya kongosho,basi inabidi watu wajue kwamba cancer ya kongosho ni mbaya kuliko cancer zote kwa kuwa cancer hii inaharibu engine yenyewe(pancreas/kongosho) inayohusika na kupigana na cancer,hivyo unapochelewa kuitibu strategically kama alivyochelewa Steve maisha yako yanakuwa hatarini kwa kiwango kikubwa sana.Pamoja na yote hayo steve alikaa na cancer yake kwa zaidi ya miaka 20 bila kujua kutokana na utaratibu mzuri wa kula aliokuwa nao.

Lakini mwisho wa siku,ili ufe lazima kuwe na sababu,haijalishi wewe ni maarufu kiasi gani,unapendwa kiasi gani,una pesa kiasi gani nk.

Kutokana na habari rasmi ya Steve Jobs tunaweza kujifunza mambo yafuatayo;

1.Ili uepuke cancer inabidi uwe na utaratibu mzuri wa kula na utaratibu mzuri wa maisha ya kila siku ikiwemo kuepukana na mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha cancer.

2.Kuwa na uelewa wa jambo fulani hakuna uhusiano na umaarufu wa mtu au pesa za mtu au cheo cha mtu nk.Ili uelewe jambo fulani lazima ubahatike kuliona/kulisikia na kulidadisi.

a/.Angalia hapa Steve ana afya njema tu lakini anajiingiza kwenye tiba rasmi;



b/. Angali hapa Steve ameshachakaa baada ya kuchezewa kwenye tiba rasmi;

[video=youtube;ng3KqXZ2lVQ]https://www.youtube.com/watch?v=ng3KqXZ2lVQ[/video]

3.Tiba za cancer za hospitali hazina uwezo wa kutibu cancer.


NB:
Kwenye video namba 2(a) Steve anasema "I didn't even know what a pancreas was".Hivyo mtu kama huyu si ajabu kama hajui kuhusu tiba za cancer nje ya mainstream,na hii inatokana na msongo wa kazi zake alinazonazo ambazo zilimfanya asiwe na muda mzuri wa kuweza kufikiria tiba hizo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom