Hidden cancer cures

Hidden cancer cures

Picha za Matunda ya Apricot na Peach.

Apricot_and_cross_section.jpg
330px-White_nectarine_and_cross_section02_edit.jpg
330px-Autumn_Red_peaches.jpg
180px-White_peach_and_cross_section_edit.jpg
Peach1web.jpg
 
Matunda aina ya peach yanapatikana sana iringa huko wanayaita pindigesi/mapindigesi yanalimwa sana kijiji cha Dabaga mkoan Iringa

Na Kaning'ombe pia zinapatikana. Dah kumbe dawa hizi zipo kwa wingi Tanzania.
 
Picha za Matunda ya Apricot na Peach.

Nashukuru mkuu kwa kusaidia wengine.

Umeona mkuu magonjwa yanamaliza watu kumbe dawa tunazo

Shukrani Deception

Sasa watu wengi wanakula tunda la nje lakini wanatupa mbegu ambayo ndio dawa.Ukiwa unakula angalau mbegu 3 kila siku kwa muda wa mwezi mmoja tu mwili wako utakuwa na kinga ya ajabu sana kwa magonjwa yote sugu.Kama ukifanya kama diet na kuwa na mazoea ya kuzila mbegu hizi basi hospitali kwako itakuwa historia,labda upate ajali tu.

Aaa sana...tiba asilia muhimu sana kuzijua maana madawa ya hospital unayasahau miaka nenda miaka rudi bila ulazima wowote!

Sawasawa kabisa,ni ukosefu wa elimu sahihi ndio unafanya watu wengi wapate shida mbalimbali.Na ndio maana hivi vitu haviwezi kutangazwa kwenye vyombo vya habari rasmi kwa sababu wanajua madhara yake kwenye biashara za madawa.

Pia inabidi mfahamu kwamba,hata mimi ninapowaelezea ninyi mambo haya ninajiweka matatizoni kwa kuwa naingilia biashara za watu,hivyo itumieni nafasi hii ipasavyo.Kumbukeni kuwaelimisha na wengine ambao hawafahamu mambo haya kama nifanyavyo mimi.Watu wako busy sana na kutafuta riziki za kila siku hivyo si wote wenye bahati ya kujua elimu kama hizi.

Ukitaka kuamini kwamba hii ninayosema ni tiba kweli ya cancer basi unaweza wewe mwenyewe kujaribu kwa mgonjwa yeyote unayemfahamu ndipo utakapothibitisha,lakini hakikisha umeelewa vizuri sayansi yake na utaratibu wake.Kama hujiamini unaweza kuuliza.
 
Mkuu tuko pamoja, ila kuna binti hapa mtaan alikuwa ametokewa na mabaka meupe ktk mwili alienda kutibiwa dar na walidai ni aina flan ya kansa sasa ni muda takriban mwaka umepita sasa na yameanza kumrudia kwenye viwiko vya mkono ni ya rangi dizaini ya ngozi ya albino ama mzungu. Je? Hii nayo inaweza tibiwa na tiba uliyotoa. Asante
 
Matunda aina ya peach yanapatikana sana iringa huko wanayaita pindigesi/mapindigesi yanalimwa sana kijiji cha Dabaga mkoan Iringa

nahisi itakuwa jina lake lingine ni pichesi/mapichesi ila sina uhakika kama ndo yenyewe na pichesi zina sifa hizi huwa za kijani zikiwa mbichi na ni chachu sana zikiwa hazijakomaa ama kuiva pia zina mbegu 1 umbo dizain ya yai na ni ngumu sana na imechongoka pande zake 2 hlf ina kama miraba fulani iliyotuna, vp hizo pindigesi zina sifa za kufanana na hii pichesi
 
shukrani sana Deception hapo juu umeongelea ya kwamba Kongosho ni injini inayohusika na kutibu kansa, sasa Steve alikuwa na Kansa hiyo ndio maana ikawa vigumu kupona, sasa naomba kufahamu Kongosho ni injini kiaje?!
 
Last edited by a moderator:
nahisi itakuwa jina lake lingine ni pichesi/mapichesi ila sina uhakika kama ndo yenyewe na pichesi zina sifa hizi huwa za kijani zikiwa mbichi na ni chachu sana zikiwa hazijakomaa ama kuiva pia zina mbegu 1 umbo dizain ya yai na ni ngumu sana na imechongoka pande zake 2 hlf ina kama miraba fulani iliyotuna, vp hizo pindigesi zina sifa za kufanana na hii pichesi

Exactly.. Ndio hizo mkuu
 
shukrani sana Deception hapo juu umeongelea ya kwamba Kongosho ni injini inayohusika na kutibu kansa, sasa Steve alikuwa na Kansa hiyo ndio maana ikawa vigumu kupona, sasa naomba kufahamu Kongosho ni injini kiaje?!

Kama Steve angejua tiba hizi mbadala na kuanza nazo angelipona kabisa bila wasiwasi.Lakini kwa kuwa alianza na tiba rasmi ambazo mimi huwa naziita tiba haribifu za mwili ndio maana alipoteza maisha,ok,ili ufe lazima kuwe na sababu,na hii ndio sababu ya kifo cha Steve.

Kongosho/pancreas ndio first line defense ya mwili kupambana na cancer,njia nyingine zote ni secondary defense.Kama ulisoma vizuri maelezo yangu ya mwanzoni na ulifuatilia vizuri ile documentary ya ' The world without cancer ' ni rahisi kuelewa.Miili yetu inajitibu yenyewe cancer kila siku,na hii inatokana na ushirikiano kati ya chembe nyeupe za damu na kimengenyo kitolewacho na kongosho kiitwacho trypsin.chembe nyeupe za damu hazina uwezo zenyewe kuua chembe za cancer kwa kuwa chembe za cancer zina thin layer of negatively charged protective protein coat,hivyo basi kwa kuwa chembe nyeupe za damu nazo zina negative charge huwa chembe hizi mbili zinakwepana na kufanya chembe nyeupe zisiwe na uwezo wa kukutana na chembe za cancer na kuziua.

Lakini mwili una mechanism ya kutatua tatizo hili kama first line defense,hivyo kongosho hutoa kimeng'enyo kiitwacho trypsin ambacho humeng'enya ukuta wa nje wa chembe za cancer ambao ni wa protini na -ve charge hivyo huiacha chembe ya cancer uchi na kuweza kushambuliwa na chembe nyeupe za damu.Hii kazi ya kongosho ndio imenifanya niite kuwa ni engine kwenye kutibu cancer.

Kama kongosho imezidiwa au haifanyi kazi sawasawa basi hapo ndipo secondary defenses hutumika.Vitamin B17 ni mojawapo ya secondary defences ambayo yenyewe inapoingia kwenye chembe ya cancer inaifanya chembe ya cancer ku commit suicide,yaani chembe ya cancer inajiua yenyewe.
 
Mkuu tuko pamoja, ila kuna binti hapa mtaan alikuwa ametokewa na mabaka meupe ktk mwili alienda kutibiwa dar na walidai ni aina flan ya kansa sasa ni muda takriban mwaka umepita sasa na yameanza kumrudia kwenye viwiko vya mkono ni ya rangi dizaini ya ngozi ya albino ama mzungu. Je? Hii nayo inaweza tibiwa na tiba uliyotoa. Asante

Bado hujanipa maelezo ya kutosha huyo binti alitibiwa hospitali gani na alipewa dawa gani.

Kwa maelezo yako inaonekana huyo binti atakuwa na ugonjwa uitwao vitiligo,ugonjwa huu mara nyingi unasababishwa na kinga ya mwili kushambulia mwili wenyewe maeneo mbalimbali kama vile tishu nk,kwa huyu biti yeye ngozi yake ndiyo hushambuliwa.

Sababu kubwa ya ugonjwa huu ndio hiyo niliyoeleza hapo juu au kwa kifupi tunaita 'autoimmune'.Magonjwa aina hii ndio ambayo hospitali huwa hawawezi kuyatibu zaidi ya kuondoa dalili.Kutokana na sayansi ya ugonjwa huu ulivyo,hata tiba hii ya cancer niliyoeleza,yaani vitamin B17 na mtiririko wake unaweza kumtibu vizuri kabisa huyo binti.Ukimpima huyo binti pH ya damu yake,lazima atakuwa acidic zaidi,ukitaka kuamini we nenda kajaribu uone.

Nikupe faida nyingine ya vitamin B17.Bila kujali kama una cancer au la,vitamin B17 pia huweza kutumiwa kama cosmetic ya asili hasa kwa wanawake.Vitamin B17 inapotumiwa,ukiachilia mbali kukulinda dhidi ya magonjwa sugu kama cancer pia inaweka ngozi katika hali ya ubora.Na kama wanawake watagundua siri hii basi hawawezi tena kuhangaika na vipodozi vyenye kemikali chafu.Vitamin B17 ina tabia ya kuondoa mabaka,rangi nyeusi za makovu ya vidonda au vipele kwenye ngozi,mikunjo ya ngozi na kuiweka ngozi katika muonekano mzuri kama mtu atakuwa na tabia ya kuitumia mara kwa mara.Yaani vitamin B17 hutambua vitu ambavyo si vya kawaida juu ya ngozi na kuviondoa.
 
Hivi hii vitamin B17 Ndio hii inauzwa pharmacy??? Ama??
 

If there are cure(s) for cancer,then what are they?
The following list can cure cancer cancer if used as recommended according to the research conducted;

1. Alkaline diet - vegetables/fruits - lemon water every day
2. Apple Cider Vinegar (Braggs)
3. Baking Soda/blackstrap molasses/maple syrup
4. IV Vitamin C
5. Vit D preferably from the sun
6. Oxygen/Ozone therapy
7. Hydrogen Peroxide (food grade)
8. Colloidal Silver
9. Organic Sulfur (activates Glutathione, the most powerful antioxidant in the body)
10. Selenium
11. Essiac teas
12. Cannabis oil
13. Crushed Garlic (let it sit for 15 mins then consume)
14. Chlorella/Spirulina/Wheatgrass juicing/supplementation
15. Turmeric (spice) - taken with something fatty like yogurt, or even with black pepper to help increase its potency.
16. Vit B17 - Apricot Kernels/apple seeds.
17. Black salve for skin cancer
18. Oleander Soup
19.fatty type food + Flaxseed oil (Budwig Protocol)
20. Shark cartilage-read the book "WHY SHARKS DON'T GET CANCER"
21. Black seeds oil
And there are still more not mentioned...

Mwanzoni nilisema kwamba tiba hizo nilizotaja haimaanishi kwamba mgonjwa anatakiwa azitumie zote,la hasha,ila hutegemeana.Nilizungumzia hatua tatu za kutibu cancer ambazo ni kuweka pH ya damu iwe alkaline,kuondoa sumu na kuua chembe za cancer.Sasa ukiangalia vizuri kwenye tiba tajwa hapo juu utaona kwamba hatua zote tatu unaweza kuzipatia ufumbuzi kutokana na hizo tiba.

Cha msingi kukumbuka hapa ni kwamba,hatua ya kwanza na ya pili ni lazima kuzipitia.Sasa kwenye hatua hii ya tatu ya kuua chembe za cancer tayari nimeshazungumzia vitamin B17 na utaratibu wake wa matumizi.Tiba nyingine ambazo zinaweza kutumika kwenye hatua hii ya tatu ni Cannabis oil/Hemp oil.Hii ndio mojawapo ya sababu ambayo imeifanya bangi kupigwa marufuku na watu wabinafsi wanaolinda biashara zao.

Hifadhini hizi nyaraka hapo chini kwa ajili ya kumbukumbu zenu kwa yale ambayo tumeshayaongelea tayari;
 

Attachments

Hivi hii vitamin B17 Ndio hii inauzwa pharmacy??? Ama??

Sidhani kama kuna vitamin B17 Pharmacy kwa sababu jina lenyewe sio official,halafu wamiliki wa viwanda vya madawa wanaipiga marufuku sana hii,hizo ni sababu tosha zinazoweza kuifanya isionekane/isiuzwe pharmacy.
 
Back
Top Bottom