Hidden cancer cures

Pole mkuu

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Thank you Deception and thank you @JF mods kwa kutoondoa huu uzi and others waliosaidia kuelimisha you made it...!!!!!!!!!!! Salute kwenu[emoji119][emoji119]
 
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mkuu deception kunifungua akili juu ya haya magonjwa anayoyazungumzia. Ila baada ya kupitia research nyingi zilizofanyika juu ya afya nimejiridhisha kuwa kisukari ni ugonjwa usioweza kutibika hospitali ila unaweza kutibika kwa kupata ushauri jinsi ya kubadili mfumo wa maisha. Kwa kutoa shukrani zangu natoa offer ya kusaidia member wa2 wa JamiiForums wenye matatizo ya kisukari. Ila mgonjwa awe ameishi na kisukari kwa miaka 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu deception kwa elimu uliyotoa nimekua msomaji to wa jf tangu mwaka 2011 lakini nyuzi zako zimenifanya nijiunge na jamiiforums unfortunately nilishampoteza mdingi wangu kwa cancer i wish kama ndio ingekua sasa hivi ningetumia haya maujuzi kupambana. Huo ugonjwa usikie to hivyo yaani ni hatari kuliko huyo HIV/aids fake. Shukrani sana kwa kunielimisha
 
Habar wakuu. Mm naamin anachoelezea Deception coz nmewahi kupatwa na shida ambayo tiba yake ni rahisi kabisa ila hadi ujue. Kuna kipindi nilkuwa nasumbuliwa sana na ngiri aka mshipa hii kwangu ni ugonjwa wa kurithi coz hata mzee na ndugu zangu wengne wakiume wanayo ila nikiwa mdogo nilitibiwa kwa dawa asil. Lakin mwaka juzi nilikuwa naumwa na nilitumia sana antibiotics kwa muda mrefu hivyo nahisi ikasumbua kinga ya mwil kitu kilichopelekea ngiri/mshipa kurudi. Nikahangaika mwenyewe mahospital wote wanasema solution ni opareshen ila nikagoma baadae nkamueleza mama mzazi kil kitu had masuala ya upasuaji akawa mkali sana kwann nataka kuafanya hivyo. Kwanza akanipa solution ya kutuliza hiyo halu nayo ni kukanda nyeti na sehem za mapajani kwa majani ya nyonyo kwel ilosaidia sana. Baada ya muda akaniletea dawa sijui n mmea gani nilikunywa wk tu hadi leo hakuna cha mshipa wala nn na nnaishi kwenye baridi.

Nilijifunza.
1. Afrika tunaangamia kwa magonjwa yanayotibika by Fid Q
2. Magonjwa meng yanatibika tena kirahisi sana sema hatuna uelewa na hatuna muda wa kudadisi. Mfano ile documentary ya HIV yule mzee anasema shida ya afrika mtu akiumwa anawaza drugs na vaccines.
3. Mizizi ya mnyonyo inatibu syphilis,gono na kaswende


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa Tanzania hayo matunda yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu umeniongezea kitu. WaTz na Waafrika kwa ujumla hatujiamini wala kuaminiana. Namuelewa sana ndugu deception hakika ameni-inspire sana kwenye haya masuala. Nakumbuka nilitoa tangazo hapa jamii forums kuwa natoa ushauri kwa wagonjwa wa kisukari jinsi ya kuishi ili waweza kupona kabisa bila kuhitaji dawa ya aina yoyote lakini ni watu wachache walionielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unayo yasema ni ya ukweli mtupu Wadanganyika wanatakiwa kila siku wapate kuelimishwa madhara ya dawa za kizungu aka (Side Effect Drug) na bado wapo gizani Wadanyika sijuwi aliye waroga ni nani? Kati ya Watanzania 100 wanaokubali dawa za asili ni Watanzania 10 wengi wao Wa-Tanzania bado wapo usingizi mzito sana. Dawa za kizungu hazitibu zinakufanya uwe mteja wa kuzitumia kila siku mpaka mwisho wa uhai wa maisha yako

(''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS'')

Dawa zetu za Asili zinatibu maradhi uliyokuwa nayo mwilini mwako na ukitumia kwa utaratibu wake unapona kabisa. Kuna Maradhi siku hizi hayatibiki kwa dawa za kizungu maradhi yamekuwa sugu aka (chronic Disease) Kwa Mfano Maradhi ya UTI (
Urinary Tract Infections) haya Maradhi hayasikii Dawa za Kizungu na wala hayawezi kutibika tena kwa dawa za Kizungu aka dawa za Ma-Hospitali. Maradhi mengine ya Vidonda Vya Tumbo aka Ulcer pia hayatibiki kwa dawa za kizungu. Maradhi ya Presha zote hayatibiki kwa dawa za kizungu.Maradhi ya Saratani aka (Cancer) Hayatibiki kwa dawa za Kizungu. Maradhi ya Kisukari aka (Diabetes)
hayatibiki kwa dawa za kizungu.Maradhi ya Homa ya ini aka (Hepatitis B Virus ) Hakuna dawa za Hospitali ikaweza kuyatibu hayo Maradhi.Maradhi ya Uric Acid Hakuna tiba Mahospitalini. Maradhi ya Amoeba hakuna tiba Hospitalini. Maradhi ya Homa ya Matumbo aka (Typhoid Fever) pia hakuna Tiba toka hospitali hayo tu ni Baadhi ya Maradhi yanayoweza kufika hata Maradhi 30 ambayo Kwa Dawa za kizungu aka Dawa
za Hospitali hayawezi kutibika lakini kwa dawa za Asili dawa za Mitishamba yanatibika bila ya wasiwasi wowote ule.
 
Good for the time being
 
Msaada Mkuu kuhusu hizi video junsi ya Kudownload ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu inaonyesha ww ni mgosi mwenzangu Wa Tanga/Lushoto...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…