Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Labda daktari unifungue macho na mie kwamba kabla ya wazungu tulikuwa tunajitibu vp?
Tulikuwa tunakufa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda daktari unifungue macho na mie kwamba kabla ya wazungu tulikuwa tunajitibu vp?
Yani mimi nachukiaga matomaso huyu atakuwa anafanya kazi FDA au CDC maana anang, ang, ania hayo machemotherapy na mamionzi kama vile anazo hisa huko acha ujinga funguka mke wa rafiki yangu kafariki mwezi jana tu hapa kansa ya titi na akachomwa na kupewa machemotherapy akapata nafuu kurudi mara ya pili ndio kaenda hivyo af bado unaambiwa unaleta ubishi wa man u na arsenal kuwa mwelewa af kuna baadhi ya madokta huwa wanakuwa na vichwa vigumu, dada yangu mwenyewe ni dokta lakini anaamini Bicabonate soda ni nzuri kwa GEARD na hata mimi leo nimenunua Bcabonate na. Nimekunywa .
....pia magonjwa yote ya autoimmune kama vitiligo hutubiwa kwa kupunguza nguvu kinga...
... ni maswala ya kubalansi faida na hasara...
Samahani mkuu hapo lwenye GEARD ulimaanisha GERD? Hiyo bicabonate ulinunua wapi?
Nimefurahi sana Kupata Wataalamu wawili au Madaktari wawili katika Uzi huu amabo wanamifano Hai ya Kutibu Watu Kansa . sasa Napotezea .. Kwa Faida ya Watu wote Humu kama Deception alivyoelezea hapo Mwanzo Kwamba Kabla Mtu hajaanza Kutibiwa Kansa Yeyote ile Kuna Mambo ya Lazima Mawili .. Kwanza Kuweka Mwili katika Hali ya Alkaline na Pili kutoa Sumu mwilini kwa Njia za Juice na Vyakula.. Na Tatu ndo Kuanza Tiba Ya Vitamin b17
Je Wewe Mama Yako Kabla Hajaanza Tiba Vitu gani hasa Anaanza Kwa Mgonjwa Wa Kansa.. Nashkuru na Mungu Awabariki
@Rg forever labda nikupe mlolongo wa namna mama alifanya ni kuwa hiyo saa 11 asubuhi alikuwa anampa blackstrapmolases iliyochanganywa na bicarbonate of soda then after 1hr anampa warm lemon water and then after half an hour anampa juice yenye mchanganyiko wa wheat grass, stafeli, beetroot, derega, spinach, na carots and pinaple! Then saa mbili anamtengenezea oats kwa kutumia soy milk anamwekea mbegu ya parachichi na after that ni lots of water na mchana ni steamed food with salad and flaxeed oil and accompanied by the juice with wheat grass na sa kumi ni weetabix with soy milk jioni anakula lots of fruits with salads na flaxeed oil na hiyo ndo routine yake ilikuwa though siku hizi anakula hata ndizi but no red meat, juice za via zi vitamu etc
Acha jazba na ubaguzi wa rangi....hii haiusiani Na rangi hata kidogo...
Kuhusu cancer nimetumia miaka saba kusoma hayo makitu kaka Na hata navyoandika ujumbe huu namalizia zamu yangu wodi ya watoto wenye kansa...so hamna jipya la Zaidi utakalonieleza kuhusu hilo
Natumia simu ila nikipata muda tutajadili tu kwa faida ya wote hata Na mimi pia...elimu ni pana sana na kubali hufahamu kila kitu ndio utajifunza...
Nini kutibu Kansa kaka...babu wa kikombe alitibu mpaka na ukimwi...��
Hivi unajua kuna some sort of cancer huwa zinapotea tu bila tiba ? Nitarudi tupeane shule.....hizo hizo alternative medicine zina hadi degree marekani tena doctorate kabisa kama MD ila hujiulizi mbona hospitalini watu hawapungui ? Nitarudi kaka
Kweli tupu dah!!nashangaa sana wanaoongelea mbegu ya peaches kuponya kansa wallah wazungu wasingekufa kwa kansa maana wanamapeaches all seasons of the year na kansa inawamaliza acha kabisa.
Hahahahaha wapi kupe na Redgiant,mukuje mukuje huku.georgeousmimi na Redgiant mkiendelea kubisha na hili nyie sio madokta wasomi ntakuwa mmekariri af mtakuwa na uchawi ndani yake na mtakuwa ni agent wa wajenzi huru hamuwezi kuwa wabishi kiasi hiki angali mna macho na masikio ,someni hii msipoamini na hii nyie mtakuwa si wazima
100 Years of Suppressed Cancer Cures Finally Revealed...
mimisiowewe nashukuru kwakutambua, ukiangalia hiyo link hayo yote yameandikwa kwamba madokta wamewekewa limit ukisema ukweli unauwawa au kufungwa na hito jumuia imeamua kusema ukweli wenzao wengine wamefungwa na kuuwawa soma hiyo link@georgeousmimi soma hapoKwa mtu mwenye kuipa uhuru akili yake ifikiri nje ya box hawezi kupinga ukweli unaotolewa hapa labda iwe kama alivyosema mkuu Mtambuzi ya kuwa wanalinda maslahi yao binafsi au ya taasisi kwa ujumla kwa kuweka rehani Miili ya binadamu wenzao kwa ajili ya tonge.
....Kwa kujielimisha fungueni hiyo link hapa chini.....
100 Years of Suppressed Cancer Cures Finally Revealed...
Naongeza kidogo katika kujuzana zaidi juu ya vyakula vyenye kusababisha acidity na vile vyenye kusababisha alkalinity katika miili yetu ili tuweze kubalance pH katika miili yetu
Detailed Listing of Acid / Alkaline Forming Foods
Tulikuwa tunakufa tu!
Hahaahahahaha Halafu mbona Vifo vya Mama Na Mtoto Vimezidi kuliko Enzi zetu za Zamani za Wakunga..
Maaa Sasa Hivi kila Redio inamatangazo. Na Vifo Vinatokea Hospitalini
Siyo kweli ni kinyume chake!
Sasa hivi vifo vimepungua sana ukilinganisha na zamani na ushahidi rahisi tu, ni ongezeko la watu miaka ya 60' tulikuwa milioni 18 sasa hivi tumevuka 40 huo ni ushahidi tosha kwamba watoto wanaovuka utoto bila kifo ni wengi klk zamani!
Sasa ushahidi ulioutoa wewe uko wapi?