Wewe ni kiazi kwa taarifa yako Hifadhi zote nchini asilimia 70 ya uendeshaji zinafadhiliwa na mjerumani huyo unayemtukana, Hiyo Selous yenyewe baada ya kugawanywa kuwa nyerere National Park saivi imebaki na kanda tatu za kiindeshaji zenye ukubwa wa kilomita za mraba elfu ishirini ambazo ni kanda ya liwale, kingupira na miguruwe kanda zote hizo kila kanda ina gari zaidi ya sita za askari kufanyia doria magari yote hayo hamna gari hata moja ya serikali zote ni ufadhili wa mjerumani na ndie anazifanyia hadi service kila MWezi huo ni mfano tu nimekupa wa Selous bado Serengeti, Gombe, Mahale na hifadhi zingine Serikali ikiachiwa iendeshe hayo mapori haiwezi hata siku moja