Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
hahahahaaaaaaa!!! neeyo baghoshaaaa!!!!Mali zipo mkuu kuna sehemu Selous mjerumani kaacha masanduku ya mali sehemu za maficho ambapo ukifika sanduku la Mali unaliona lakini huwezi kulibeba kutokana na uchawi aliotumia mjerumani kuuficha