Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

Huu ni ubishi wa kijinga kwa taarifa yako kuna sehemu Selous kontena moja lipo toka miaka ya 70's mengine yalifukiwa chini likabaki hilo moja na mpaka Leo hilo eneo linaitwa Makontena natamani ningeingia deep zaidi na kukuonesha picha ila siwezi Fanya hivyo kwenye hili jukwaa ila kwa msaada acha ubishi wa kipumbavu kuhusu kitu ambacho hukielewi omba uelimishwe
 
Mkuu hongera,umeongelea liwale umenikumbusha mambo mengi sana,nimekula sana nyama za wanyama pori huko ,nikiwa maeneo ya mirui,kiangara,kibutuka na mpiga miti,milembwe nimekaa kidogo, baadae nikahamia hangai,uko wapi kwa sasa wewe?
 
Hata Serengeti, inasadikika kuna vijana walikamatwa wakiwa wanachimba madini humo na inasadikika yako mengi sana madini maeneo yale
 
Shahidi za Mali kuwepo zipo mkuu sema hatuwezi kufunguka sana, kuhusu wafanyakazi kuwa vipofu utasema hadi kwamba kwanini Maaskari wanakubali kuwalinda tembo na faru ilhali akimuua moja tu akauza meno tayari ametoka kimaisha
Huo mfano ni irrelevant labda kama mawe ni nyara za serikali siku hizi.
 
Mali zipo mkuu kuna sehemu Selous mjerumani kaacha masanduku ya mali sehemu za maficho ambapo ukifika sanduku la Mali unaliona lakini huwezi kulibeba kutokana na uchawi aliotumia mjerumani kuuficha
Dah, mkuu mbona inaonekana unayosema ni hadithi za kimapokeo tu. Yaani unayaamini kabisa?
 
Lete ushahidi wako humu ili wenye ubishi wa kipumbavu tukuamini.

Else hizi zitabakia kuwa hadithi za Akajasembamba.

Na kuturopokea matusi siyo njia sahihi ya kutuaminisha wewe ni mwerevu na smart, isipokuwa unaonekana defensive na una lengo la kutapeli.

Kila la heri, katika kutafuta investor wa kusaka mali ya mjerumani.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
umemjibu vizuri huyo Punda.. mana hajui chochote
 
Kaka huo ni ubeshi au utapeli watu wamepigwa sana pesa hasa maeneo ya Tanga na huo utapeli wa hazina ya mjerumani, W
 
Wapi mtoa mada aliposema wamefukia shipping containers??,Acha ujuaji,soma kuelewa sio kubisha...
 
Alaa mbona tunaambiwaga madini yanapatikana kanda pendwa pekee,kumbe kwingine nako yapo
 
Anachokiongea mtoa mada yuko sahihi.
Kwani hata mahali unapotengenezwa mradi wa bwawa la umeme huko hifadhhini inasemekana magu kayaona hayo mambo. Na kuna mali nyingi tu anazitoa huko na kujinufaisha bila ya taifa kujua.
NINACHOOMBA WATANZANIA MUKIFAHAMU.
Mbali na manufaa ya mradi wa lile bwawa magu anatoa mali kule ndani. Kuna chimbo moja mpaka sasa linalindwa na askari zaidi ya 50 kila baada ya masaa 6 wanabadilishana shift na wanaozama humo ndani ni VIP TU. nina uhakika na ushahidi juu ya hili.
 
Kwa wakazi wa maeneo Jirani na mradi wanayajua haya. Kwani kuna makontena yanayotoka hifandhini yamesheheni mizigo.
Mungu hamfichi mtu muongo. Juzijuzi tu hapa katika kijiji kimoja gari moja lilipata ajali likitoka ndani ya mradi, cha kushangaza vitu vilivyokuwa vimebebwa ni maajabu matupu.
 
Ni nini kilikuwa kimebebwa?
Mzee ningejua kama kutakuwa na mjadala wa aina ile ningelipiga picha kukupa ushahidi. Kuna ila kilichokuwa kimebebwa nikama mawe flani makubwa yenye langi ya kijivu ya kama pouder ya cement ila ni mawe.
Mizigo ya aina hii inaonekana mara kwa mara ikibebwa kutoka ndani katika mradi.
 
Basi kumbe wanapiga pesa huko.
Sio kitoto.
Jamaa anapiga pesa ndefu humo ndani mradi kwake/kwao ni kama njia tuu. Vingi anapata/wanapata humo ndani. Kwanza kama anavyosema mtoa mada huko ndani kuna madini mengi ya asili yaani ukiachana na azina ya mjerumani. Pia ukija changana na hizo mari za wakoroni sina hakika sana ila watakuwa mbali. Tuache hata madini ya asili, mari za mkoroni tu tosha kama zipo kweri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…