Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

Uwanja wa ndege upi ukubwa wake?
 
Kwa kweli kabla sijasoma Uzi umeandikwaje....naomba kuuliza wadau......kweli Kuna idea ya watanzania kutoka kwenye ufukara katika hizo point za jamaa hapo!???
 
Wewe hutaki pesa nenda ukazikamate ndio utuite
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].kumbe jamaa anabeba mizigo huko.inawezekana ikawa kweli.
 
Unatia huruma sana dogo weka picha acha upuuzi humu
 
Maskini wewe hizo mali hazina majina eti maajabu matupu mzushi wewe
 
Aisee ngoja nizame hapa selous ya Miguruwe nitokee selous ya Kingupira nipite chocho kwa chocho hadi Mloka huenda nitatoka na chochote kitu.Ijapokuwa askari pori(Magemu) wanauwa mtu yeyote wanayekutana nayo mbugani,wanapiga risasa kila 'kisuguu' wanachokutana nacho,siogopi liwalo na liwe, kufa kupona naenda kutafuta ichi kisemwacho na Sandali Ali
 
Jf ni kiwanda kidogo cha kuchakata umbea.
 
Kuna watu wanatafutwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu umeshtukia 🀣 🀣 watafutaji wenyewe wakali balaah

NdukiiiiiiπŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ

Everyday is Saturday................................😎
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].kumbe jamaa anabeba mizigo huko.inawezekana ikawa kweli.
Waache waendelee kuniona sina akiri ila jamaa akitoka madarakani ataingia kwenye list ya kumi tajri bora africa. Makonda alikaa miaka mi3 tu katoka na mali za mjerumani mweusi wa dar. Sasa huyu wataifa zima unafikili akitoka atakuwa nani?
 
Ila kuhusu kuchimba kwenye mapori na kukuta madini inawezekana ikawa kweli.maana hii nchi mungu ameijaza vitu vya thamani SAANA huko ardhini

Tena sana tuu.
Ila kuhusu kuchimba kwenye mapori na kukuta madini inawezekana ikawa kweli.maana hii nchi mungu ameijaza vitu vya thamani SAANA huko ardhini
Kikubwa hatuna vipimo vya kupima nakujua chini kuna nn mpaka vijitokeze vyenyewe au waziwazi. Hauwezi hata hapo ulipokaa labda kuna mafuta au gesi chini. Ila hatuna vifaa vya kutambua hilo. Na kuhusu madini huko hifadhini ni swala la wazi kabisa.
Kuna jamaa angu nimemuonyesha hii mada na kumshirikisha ameniambia kuwa yeye pia alikuwa ni miongoni mwa wafanyakazi wakiokuwa wanapanua bwawa unaambiwa huko ndani kuna vingi tu vizuri.
Na ndio maana sasa hivi hauwezi kutoka huko ndani hata na sindano unapigwa sachi kama unaingia au kutoka mgodini.
 
Nakubaliana na wewe.
 
Bila kujitoa kafara hutoboi.
Narudia tena hutoboi
 
Mkuu hongera,umeongelea liwale umenikumbusha mambo mengi sana,nimekula sana nyama za wanyama pori huko ,nikiwa maeneo ya mirui,kiangara,kibutuka na mpiga miti,milembwe nimekaa kidogo, baadae nikahamia hangai,uko wapi kwa sasa wewe?
Niko Dar kwasasa.
Kule Liwale vijijini zamani asubuhi inachemshwa minofu ya nyati ndio chai yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…