Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

Mali zipo mkuu kuna sehemu Selous mjerumani kaacha masanduku ya mali sehemu za maficho ambapo ukifika sanduku la Mali unaliona lakini huwezi kulibeba kutokana na uchawi aliotumia mjerumani kuuficha
hahahahaaaaaaa!!! neeyo baghoshaaaa!!!!
 
Me nikisom taarifa kama hizi napata moto sana. Mpaka lini hawa jamaa wataendelea kushika maeneo yetu muhimu ya nchi yetu? Lini tutakuwa independent? I get really pissed at times
 
Mkuu hongera,umeongelea liwale umenikumbusha mambo mengi sana,nimekula sana nyama za wanyama pori huko ,nikiwa maeneo ya mirui,kiangara,kibutuka na mpiga miti,milembwe nimekaa kidogo, baadae nikahamia hangai,uko wapi kwa sasa wewe?
Hiyo ilikuwa zamani sikuhizi hamna
 
Me nikisom taarifa kama hizi napata moto sana. Mpaka lini hawa jamaa wataendelea kushika maeneo yetu muhimu ya nchi yetu? Lini tutakuwa independent? I get really pissed at times
Kuwa mpole, mkoloni sio mwenzako kakutangulia mbele miaka buku
 
Ushaambiwa eneo la hifadhi alafu mtu anataka
Kujipeleka kutafuta sijui utajiri!
Ni kujitafutia matatizo tu

Ova
 
Alafu waambie kuna kile kibibi cha kizungu kinaitwa Jane Goodall anajifanya kufanya tafiti za sokwe na anawekeza sana hapa nchi mpaka unguja, anamwaga pesa kedekede kwenye mambo ya uhifadhi wanadhani kuna suala la bure hapo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…