Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi acha tuhuma au leta vyashiria vya ushahidi tu.Kama upo Dodoma pita Wizara ya Maliasili na Utalii.
Source yako
Mungu wangu! Imefanyika makusudi Ili mwarabu aje kuchota dhahabu. Hii hapana aisee?Kigosi National Park ni Hifadhi ya taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA.
Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu.
Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni taasisi ya uangalizi wa misitu.Ifahamike TFS nayo imeingia mikataba na Waarabu kwajili ya kumiliki maelfu ya ekari ya misitu yetu chini ya taasisi hii iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.
Nawasilisha.
Soma post number 26Viwanda vya UONGO
Kabla Hifadhi haijafutwa lazima GN itangaze
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimeisoma ila sababu ni tofauti na unao sema pale ni mgogoro wa aridhi.Tazama post number 26.
Wewe unasema sababu za kuepo dhahabu wakati pale wanasema ni kwasbb ya mgogoro ya aridhi na wana nchi, wewe ulitaka wananchi watomliwe?Soma post number 26.
Machawa nyie mtajadili nn?Hizi ni nyuzi za kusambaza chuki dhidhi ya utawala wa Raisi, leteni ushahidi kama mnao kuliko kumponda mtu bila evidance yoyote mtu anatunga anacho taka na sie tunaanza kujadili.
Ngorongoro wananchi wameachwa?Wewe unasema sababu za kuepo dhahabu wakati pale wanasema ni kwasbb ya mgogoro ya aridhi na wana nchi, wewe ulitaka wananchi watomliwe?
Aibu kwa TaifaKigosi National Park ni Hifadhi ya taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA.
Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu.
Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni taasisi ya uangalizi wa misitu.Ifahamike TFS nayo imeingia mikataba na Waarabu kwajili ya kumiliki maelfu ya ekari ya misitu yetu chini ya taasisi hii iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.
Nawasilisha.
Mwanzo ulisema uongo,sasa unasema sababu ?.Nimeisoma ila sababu ni tofauti na unao sema pale ni mgogoro wa aridhi.
Huyo akili ndogo mtoto wa mama yuko sebuleni anasubiri chai kwa shemejiUshahidi upi unaotaka ?.
You are an idiot!Viwanda vya UONGO
Je huu nao ni uongo?Kabla Hifadhi haijafutwa lazima GN itangaze