bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
huu uongo mwingine wa 21% hebu muwe na jicho la pili la kufanya analysis. Hebu piga hesabu ya idadi ya wafanyakazi 21% ya wanaoajiriwa, halafu upige na hesabu ya wazanzibari wanaotoka vyuo ulete mrejesho hapa kama vinawiana.Waziri Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Utumishi na Utawala bora alitengeneza utaratibu haramu wa kuwatengea 21% ya ajira katika taasisi za muungano ndugu zake Wazanzibari.