Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Ameuziwa achimbe au awinde!?..lete uthibitisho ili nijue siyo umbea mliozowea,maana awamu hii wambea mmekua wengi
Awamu ya nne ilileta kijikampuni chenye ushirika na mstaafu na wakaanza exploration Magufuli alipoingia wakatumwa Majeshi kwenda kulinda kusichimbwe chochote.

Na sasa hivi naona mambo ni yaleyale.

Na stori hiyo ililetwa humu jf
 
Awamu ya nne ilileta kijikampuni kenye ushirika na mstaafu na wakaanza exploration Magufuli alipoingia wakatumwa Majeshi kwenda kulinda kusichimbwe chochote.

Na sasa hivi naona mambo ni yaleyale.
Kijikampuni Wala hukitaji,unataka niamini,nikienda kwenye kahawa na Mimi nikaseme hivyohivyo,then um ea na chuki kwa jakaya na mama vinaenea,kwa hiyo jakaya hakutosheka na mauzo ya gas ya mtwara!?...😃😃 Acheni chuki na uzabizabina enyi watu
 
Kigosi National Park ni Hifadhi ya Taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA.

Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu.

Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni taasisi ya uangalizi wa misitu. Ifahamike TFS nayo imeingia mikataba na Waarabu kwajili ya kumiliki maelfu ya ekari ya misitu yetu chini ya taasisi hii iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.

Nawasilisha.

Hifadhi ya Taifa ya Kigosi ina ukubwa wa kilometa za maraba 7,460 imezungukwa na mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora na Kigoma. Hifadhi ya Kigosi metangaza rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa katika tangazo la gazeti la serikali GN la mwaka 2019

Awali pori hilo lilikuwa chini ya Wakala wa Misitu Tanzania {TFS}, na mwaka 2019 likapandishwa hadhi kuwa chini ya usimamizi wa Hifadhi za Taifa Tanzania [TANAPA] ambapo hifadhi hiyo ilikuwa inazuia shughuli za kiuchumi kufanyika ndani ya pori hilo hali iliyosababisha mgogoro na wananchi wa eneo hilo.

Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi​

July 10, 2023, 11:35 pm

img-20230710-wa0002-1024x768.jpg
Mbunge wa Jimbo la Ushetu (kushoto) Emmanuel Cherehani na mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa Livingstone Lusinde (kulia). Picha na Sebastian Mnakaya

Source: Wananchi halmashauri ya Ushetu kunufaika na hifadhi ya Kigosi – Kahama FM
1694681384609.png
 
Mwanzo ulisema uongo,sasa unasema sababu ?.

Kwa taarifa yako Kigosi mwanzo ilikuwa chini ya TAWA kwaajili ya uwindaji.

Sasa jiulize kwanini imepelekwa TFS na mwarabu kaingia mikataba ya misitu yetu.

Kwa taarifa yako Kigosi ina deposit kubwa ya dhahabu kuliko mgodi wa Geita ni suala la muda utagundua viongozi wetu wapo kwaajili yao na familia zao.

Magufuli pamoja na matatizo yake ya kuminya Demokrasia asingefanya haya yinayoyaona sasa.
Wahuni wamedhamiria kuimaliza nchi kwa kuuza rasilimali zote na kujaza mabilion kwenye account zao na familia zao. 🤣
 
Mkuu Ngongo heshima kwako

Kigosi Moyowosi Miombo forest

Hata mimi nimeshaanga sana TFS kupewa hilo pori lenye wanyama wengi nilitegemea wapewe Tanapa

Nikweli Kijiolojia huo Ukanda una Miamba Mama iliyo sheheni dhahabu Bukoban rocks WESTERN Corridor

Wanafikiri hii nchi wote VIPOFU

Mwarabu na Conservation wapi na wapi aibu kwa TFS
Organzied Crime kila mahala 😎
 
Ameuziwa achimbe au awinde!?..lete uthibitisho ili nijue siyo umbea mliozowea,maana awamu hii wambea mmekua wengi
 
Kijikampuni Wala hukitaji,unataka niamini,nikienda kwenye kahawa na Mimi nikaseme hivyohivyo,then um ea na chuki kwa jakaya na mama vinaenea,kwa hiyo jakaya hakutosheka na mauzo ya gas ya mtwara!?...😃😃 Acheni chuki na uzabizabina enyi watu
 
Kampuni ilipewa kibali 2005,jakaya anahusika vipi!?..Tena 2009 akatunga sheria ya kuibana kampuni hiyo shughuli zake zisiwe halali,kwa nini hukusema kampuni ililetwa na mkapa ukamrukia jakaya!?
 
Back
Top Bottom