Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Pita pale Mkweni tfs wapo na mikaa inachomwa bila shida yoyote nimekwisha kukutana na Baiskeli 200 usiku mmoja nikitoka Kigali kuelekea Dar.
Nchi bado inatumia mkaa,na mkaa hutokana na miti
 
Tafadhali unielewe vizuri na kwa makini yale niliyoandika. Ni hivi, ukifanya analysis hasa Zenji kujaza hiyo asilimia 21 ni ndoto, na kwa kweli ni nyinyi wabara ndiyo huwa munakwenda zenji kujaza hizo nafasi, mfano za jeshi, polisi na nyingine za muungano.

Kwanza uelewe tu Zenji siasa huwa zinafanya kazi kwa kiwango kikubwa sana.
 
Na mama kasema ana uhakika nae ni jembe sana....inaonekana pia anmkoa vilivyo mtoto wa mama kiasi cha kumsisimua mkwe mtu!
 
Akili ndogo huwezi elewa nilicho andika....

Kupima viuno vya miti ulete mwarabu?
Mtaalam wa GIS ulete mwarabu?
Kuchakata Data from ze field ulete Mwarabu?
Verification ulete mwarabu?
Kutafuta soko la mavuno ya Carbon ulete mwarabu?

Hata creche kakushinda uelewa ..... mbogamboga Kabisa5nk
 
Hiyo kampuni ipo humo tangu 2005 kabla ya sheria ya 2009 kutungwa,2005 nani alikua rais!?..maana uchaguzi ulipelekwa mbele baada ya kido Cha mgombea mwenzao wa chadema,usitake kuuruka mwaka 2005 na hiyo kampuni!
Taarifa;
2005 ilipewa leseni kufanya utafiti wa madini hadi 2010.

Ikaja kuongezewa muda hadi 2012.
Muda ukaisha.

Na hapo sheria tayari ilishapitishwa 2009.

Cha ajabu zaidi mwaka 2013 ikapewa leseni ianze uchimbaji.

Nadhani umeelewa.
 
Ningekuwa mtu wa pwani na mhuni ningesema, 'hebu liangalieni hili hanithi!!'
 
Hivi ulienda shule kusomea ujinga.
Kwa hakika maamuzi ya kutenga 21% kwaajili ya Zanzibar ni uovu uliopitiliza.

Umepewa ushahidi wa maandishi na video bado unakataa sijui unataka nini !.
 
Ya kwako kubwa unadhani soko la carbon ni kama la nyanya.
 
Hivi ulienda shule kusomea ujinga.
Kwa hakika maamuzi ya kutenga 21% kwaajili ya Zanzibar ni uovu uliopitiliza.

Umepewa ushahidi wa maandishi na video bado unakataa sijui unataka nini !.
mjinga ni wewe usiyejua kupambanua mambo. Mimi nazungumzia from the reality point of view wewe baki na huo werevu wako. wa humpty dumpty.
 
Hata pale Ngorongoro inawindwa Ngorongoro ya chini, siyo ya juu pekee yenye wanyama.

Ila kabla hawajafanikiwa, watakuwa hawapo!!
 
Hivi ulienda shule kusomea ujinga.
Kwa hakika maamuzi ya kutenga 21% kwaajili ya Zanzibar ni uovu uliopitiliza.

Umepewa ushahidi wa maandishi na video bado unakataa sijui unataka nini !.
Hongera Kwa uchunguzu murua, ujumbe umefika, on time, hawakutegemea kama tungestuka mapema ivi.

Nipende kusema Tu Samia ni jambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…