RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Hata mbilikimo kuna mrefu miongoni mwao.....🙂🙂Sorry how tall are you? Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mbilikimo kuna mrefu miongoni mwao.....🙂🙂Sorry how tall are you? Lol
Hahaha wivu huo. Wewe nahisi ntakuwa nimekupita tu urefu[emoji23] [emoji23]Hata mbilikimo kuna mrefu miongoni mwao.....🙂🙂
Hahaha kwa raha zetu na heights zetu. [emoji126] [emoji126]Mwambie RRondo hakuna mwembamba mfupi, tunakuwaga warefu tu...lol!
ila inategemea pia na aina ya miguu. Miguu mingine imebinukia ndani unakuta mvaaji anashindwa hata kutembea, anahangaika badala ya kutembea kama twiga anatembea kama kware anapakuapakua huku heels zikifyatukia ndani ya uekeleo wa matege. wengine tumiguu ndo hivo tena kama spoku za baiskeli. shida tu.
Ahhahaha hivi kware ndo anatembeaje? Twigaz oyeeeeeeeee lolila inategemea pia na aina ya miguu. Miguu mingine imebinukia ndani unakuta mvaaji anashindwa hata kutembea, anahangaika badala ya kutembea kama twiga anatembea kama kware anapakuapakua huku heels zikifyatukia ndani ya uekeleo wa matege. wengine tumiguu ndo hivo tena kama spoku za baiskeli. shida tu.
I also wish it wasn't..😵😵🙁
Not true...
Sijakuomba uniweke hapa ujue...😀😀😀
I love them heels though!
Kwikwiiiiiiiiii!, msukuma ukatamani uuze lake victoria...lol!
Ooh ok.. I didn't know that.. Play safe!There's different ways of wearing them, to make it comfortable and safe.
😀😀😀😀ila inategemea pia na aina ya miguu. Miguu mingine imebinukia ndani unakuta mvaaji anashindwa hata kutembea, anahangaika badala ya kutembea kama twiga anatembea kama kware anapakuapakua huku heels zikifyatukia ndani ya uekeleo wa matege. wengine tumiguu ndo hivo tena kama spoku za baiskeli. shida tu.
Mwambie RRondo hakuna mwembamba mfupi, tunakuwaga warefu tu...lol!