Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu kesho vaa alafu nitakuambia unakuwaje[emoji12]High heels ndio kila kitu,napenda sana kuvaa ila zile ndefu sana nchi 6 huko kama akina Wema zinanishinda sababu ya urefu.
Najikuta watu wananishangaa hadi nakosa amani...
Ila nchi 3 poa tu...
Na hupendelea sana kuvaa na magauni marefu au skin jeans...
Sijawahi kuvaa min skirt na high heels,na wembamba huu sijui itakuwaje...lol
Hujambo mae?