High perfomance cars!

Engineering ya mjerumani iko juu siwezi pinga ila sio kwamba kila gari ya mjerumani iko juu kwa perfomance. Jana nimeona BMW 3 series mtu ameibonyeza we ila sijaona mwendo wa kutisha
 
Shida ya Japan hawatengenezi gari kwa ajili ya high speed... wanatengeneza kwa acceleration; shida ya Japanese hata Differential hazi-support high top speed. Kuna jamaa ana channel inaitwa AutoTopNL huwa anafanya tests kwenye AutoBahn, gari za Japan bila modification sana sana zinafika 250kph, ila Germans and Italians hata gari yenye small power but top speed ni kubwa sana.
 
Lexus LS comfort yake ni kama umepanda dreamliner, mwendo wake vw gti inaliwa kimasihara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…