Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Engineering ya mjerumani iko juu siwezi pinga ila sio kwamba kila gari ya mjerumani iko juu kwa perfomance. Jana nimeona BMW 3 series mtu ameibonyeza we ila sijaona mwendo wa kutishaKuna jamaa yangu nipo nae hapa kariakoo alikuwa na crown athlete ameuza na kununua BMW 320i mwezi uliopita nilikuwa naongea nae kuhusu performance ameonaje gari zote mbili akaniambia BMW ameikubali Sana alafu ni nzito inakamata barabara...
Nimeshindwa kupata jibu ingawa pengine ni sifa za vijana wanapenda gari za kijerumani