wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kwani hao wakina Jason hizo 320km/h hua wanaendeshea barabara za nchi gani mkuu?Bara bara za bongo huwezi kumaliza hizo speed na pia mimi sio mnyonge kwenye magari mkuu,heshima nayapa G 63 na Velar hayo wacha waende..
Itakua anaongelea Subaru Forester STI SG9.Subaru ipi hio? Nikumbushe mzee
Ujerumani BMW ni gari imetulia labda umeona model za zamani hv x3 model kuanzia 2011 shape mpya ni shida. Kwanza kuna X5 na x7 ***** hivyo vyuma ni hatare yani sijui GX au VX zikasome. Halafu wana ix7 electric ***** kwanza zinalia kama kinanda au mluzi hizo SUV ni shida sana.Engineering ya mjerumani iko juu siwezi pinga ila sio kwamba kila gari ya mjerumani iko juu kwa perfomance. Jana nimeona BMW 3 series mtu ameibonyeza we ila sijaona mwendo wa kutisha
Sawa sawa mkuu mi siwezi bishana na watu wa kiwandani, huku sio competition kubwa ni ya 2006-2012 carsUjerumani BMW ni gari imetulia labda umeona model za zamani hv x3 model kuanzia 2011 shape mpya ni shida. Kwanza kuna X5 na x7 ***** hivyo vyuma ni hatare yani sijui GX au VX zikasome. Halafu wana ix7 electric ***** kwanza zinalia kama kinanda au mluzi hizo SUV ni shida sana.
Naongea hv kwasababu nipo Bavaria penyewe na kiwanda chao kimoja kipo landshut
Hivi hao watoto ni wa Don gani... Anamabinti kama 5 hv wazuri balaaJason Frisby ana mikwaju ya hatari, Aristo, Mark x 2GR, Chaser Modelista hizo gari zote ni maangamizi[emoji16] mzee wa Moshi chuga 20 minutes...
Ila gari za Mjerumani ni balaa benz kwanza tech yake ni miaka 7 mbele ya Toyota ila hapa Ujerumani vyuma ni porche, bmw na benz. Magari mengine hata wazungu wanasema hayana bei so huwezi vimba [emoji23][emoji23][emoji23]kuna mzungu mi nilimuonye chev nzuri akasema ila bei yake sio kubwa [emoji23][emoji23] nikajua nipo ulingo wa mandongaSawa sawa mkuu mi siwezi bishana na watu wa kiwandani, huku sio competition kubwa ni ya 2006-2012 cars
Ni kweli mkuu ziko njema ila wabongo hatuziweziIla gari za Mjerumani ni balaa benz kwanza tech yake ni miaka 7 mbele ya Toyota ila hapa Ujerumani vyuma ni porche, bmw na benz. Magari mengine hata wazungu wanasema hayana bei so huwezi vimba [emoji23][emoji23][emoji23]kuna mzungu mi nilimuonye chev nzuri akasema ila bei yake sio kubwa [emoji23][emoji23] nikajua nipo ulingo wa mandonga
Hivi hao watoto ni wa Don gani... Anamabinti kama 5 hv wazuri balaa
Kama una namba yake muulize ananifahamu mwambie yule mwamba wa audi Q 7 pana siku mlikamatana bara bara ya East Africa kutokea maeneo makutano ya kwa mromboo nilipopaki gari mbele ya kiseriani alikuja kuuliza..na ile ilikua kubwa niwe kwenye vidogo hivi si asingeniona kabisa...miaka ya nyuma tulikua tunatembea kuwahi pantoni lisifungwe kazungura kama Km 900 kutoka mpaka wa SA na tunawahi mazee ili mtu ulale Livingstone baadae wakaweka gate Fransistown kutuchelewesha maana ukikutana na fine za tochi kule mwisho unalipa unatoka wakaja na mguu fine nyingi kwa siku moja unaenda kulipia mahakamani ndio ukawa mwisho wa racing ukipita Gabs na tukaanza kupita shortcut moja ambayo inafupisha safari na unawahi kutoboa kazungula..Kwani hao wakina Jason hizo 320km/h hua wanaendeshea barabara za nchi gani mkuu?
Hukuona iligonga limit?Ile video ya 3GR inachapwa na GTi haujawahi kuiona? tena crown ilikuwa speed 180 lkn ikaja kupigwa na mnyama GTi.
Ingawa siwezi kuiponda crown au mark x Ila wajerumani ndugu yangu achana nao kwenye performance
Ukiona x7 au X5 new model unaweza tembea uchi au ix7 mama.e kama kinanda au mluzi inavyoliaUshaendesha hiki chuma?View attachment 2336896
Ivi ma Q7 nayo yanatembea eeh ? Huwa naona makubwa sanaKama una namba yake muulize ananifahamu mwambie yule mwamba wa audi Q 7 pana siku mlikamatana bara bara ya East Africa kutokea maeneo makutano ya kwa mromboo nilipopaki gari mbele ya kiseriani alikuja kuuliza..na ile ilikua kubwa niwe kwenye vidogo hivi si asingeniona kabisa...miaka ya nyuma tulikua tunatembea kuwahi pantoni lisifungwe kazungura kama Km 900 kutoka mpaka wa SA na tunawahi mazee ili mtu ulale Livingstone baadae wakaweka gate Fransistown kutuchelewesha maana ukikutana na fine za tochi kule mwisho unalipa unatoka wakaja na mguu fine nyingi kwa siku moja unaenda kulipia mahakamani ndio ukawa mwisho wa racing ukipita Gabs na tukaanza kupita shortcut moja ambayo inafupisha safari na unawahi kutoboa kazungula..
Sasa Q7 si level za X5 au benz xmatic au Tuareg v6Ivi ma Q7 nayo yanatembea eeh ? Huwa naona makubwa sana
Yanatembea sana na yanashika bara bara kona unakata ukiwa mwendo kasi mkubwa ...Ivi ma Q7 nayo yanatembea eeh ? Huwa naona makubwa sana
Naona kama wanaongelea magari ya Mjapan tu!The Mercedes Benz Hatchback...
Vw GTI 8 series 222 Kw sijui kama zipo gari zitafata hapo...
Kuna X3 na 3 Series, jamaa kaongelea 3 Series.Ujerumani BMW ni gari imetulia labda umeona model za zamani hv x3 model kuanzia 2011 shape mpya ni shida. Kwanza kuna X5 na x7 ***** hivyo vyuma ni hatare yani sijui GX au VX zikasome. Halafu wana ix7 electric ***** kwanza zinalia kama kinanda au mluzi hizo SUV ni shida sana.
Naongea hv kwasababu nipo Bavaria penyewe na kiwanda chao kimoja kipo landshut
😄😄we jamaa nayakubali sana mabandiko yako ya TOYOTA unayatetea kinyama na hamna wa kukunyamazisha, waache dharau kwa Toyota bhanaMkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE