High perfomance cars!

Zote ulizitaja zipelekwe kwenye ligi moja na Merc SLS au Porsche Carrera etc. Mind you GTI Golf ni gari ya kawaida.
Wewe ndie uliyeandika:

'Gari pekee ya Japan ambayo ni stock inayoweza kutembea na Golf Gti ni Nissan GTR35 pengine na Lexus L500.... Hakuna gari nyingine inaweza kitembea GTI.'

Golf Ni Gari ya kawaida lkn hapohapo wewe unaiweka ligi moja na GT-R.
 
Sasa mkuu unasema unamjua Jason lkn hapo hapo unakataa Kwamba barabara zetu huwezi ukatembea 320km/h.
 
Wewe ndie uliyeandika:

'Gari pekee ya Japan ambayo ni stock inayoweza kutembea na Golf Gti ni Nissan GTR35 pengine na Lexus L500.... Hakuna gari nyingine inaweza kitembea GTI.'
Nilikuwa najibu point ya LS Lexus. Nisingeweza kulist zote lakini GTR35 ni Supercar, hiyo ndio ilikuwa point yangu. Lakini kusema Lexus LS ikimbizane na GTI haiwezekani
 
Sasa mkuu unasema unamjua Jason lkn hapo hapo unakataa Kwamba barabara zetu huwezi ukatembea 320km/h.
Yap huwezi kujiachia kama huko hapa mnazungumzia umbali mfupi na ukitaka kwenda umbali mrefu bara bara zina vicheche vya maroli yaliyoharibika usiku...ndio maana nimesema alishangaa audi kutembea vile akiwa na mashine ya racing sasa ningekua na mimi nipo kwenye mashine zangu angeshangaa zaidi..maeneo mengi yana vibao vya 50 na matuta tofauti na huko nakokueleza...jaribu kuweka picha bara bara zaidi ya 100 km imenyooka tu haina kona nyingi ndio Botswana hiyo na magari mengi hakuna bara barani na tochi zipo mbili mchana kwa umbali mrefu...
 
Wewe ndio wakili msomi kkwa upande wa Wajapani,, na tunakupa uenyekiti wa kudumu. πŸ˜‚
 
[emoji1][emoji1]we jamaa nayakubali sana mabandiko yako ya TOYOTA unayatetea kinyama na hamna wa kukunyamazisha, waache dharau kwa Toyota bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli toyota/japan wamepata mtetezi nakubaliana nae kuhusu speedlimiter,kuna jamaa yangu mmoja kijichi ana rav4 ya diesel ni ya UK clocked 240km/h anazisumbua sana gari tunazoziona zina mbavu kibongo bongo.
 
Zote ulizitaja zipelekwe kwenye ligi moja na Merc SLS au Porsche Carrera etc. Mind you GTI Golf ni gari ya kawaida.
Bro Golf sio gari ya kawaida hizo R series sio za kawaida kutoa model tofauti wanakimbizana na Merc pia kwa hizi hatchback wanatoa kweli..pana gari hata ukiwa na hela uwezi kuendesha Johanesburg ni pamoja na hiyo R series bomba nne nyuma wezi wanaichukua kama yao vile...maana wanazitumia kuibia na zinakimbia balaa polisi nao wamepewa hizo ngoma kwa hiyo imekua droo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…