Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wanatoa sana emu angalia hatch back A 200 au 250 sport package zote zipo hapo na moja niliona ilitoka mwaka huu march 1,Mercedes siwadai na siwezi kuwakosoa wapo vizuri...Hatchback ni body design mkuu sio engine specification,hiyo Mercedes ni injini gani?
Nimetumia "Gari ya kawaida" kwa maana ya sio supercar kama Lamboghini etcBro Golf sio gari ya kawaida hizo R series sio za kawaida kutoa model tofauti wanakimbizana na Merc pia kwa hizi hatchback wanatoa kweli..pana gari hata ukiwa na hela uwezi kuendesha Johanesburg ni pamoja na hiyo R series bomba nne nyuma wezi wanaichukua kama yao vile...maana wanazitumia kuibia na zinakimbia balaa polisi nao wamepewa hizo ngoma kwa hiyo ngoma imekua droo..
Ni class mbili tofauti hapo mkuu...ok sawa nimekuelewaNimetumia "Gari ya kawaida" kwa maana ya sio supercar kama Lamboghini etc
Nissan GT-R35 ni zaidi ya zote hapo... na ni bila upinzani.Kwenye hiyo list hakuna gari jnayoifikia mistubishi Evo huo ni moto
I
Watu wengi wanajimwambafi against mjapan ila European versions za mjapan au Chinese versions zina exceed 180kph. Ni moto wa kuotea mbali![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli toyota/japan wamepata mtetezi nakubaliana nae kuhusu speedlimiter,kuna jamaa yangu mmoja kijichi ana rav4 ya diesel ni ya UK clocked 240km/h anazisumbua sana gari tunazoziona zina mbavu kibongo bongo.
Hahahahah nouma sanaTurbo pale inasonya gari zingine ambazo hazina Mamlaka ya speed barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni namna ya timing. Unafanya kanakwamba mafuta yanakua dumped kwenye exhaust valve bila kuchomwa. Matokeo yake ndoivo yanachomwa kwenye exhausts, manifold, exhaust pipe au muffler... ndomaana utaskia zile pops, milio flani ivi kama ya bunduki huku ikitema motoHatari sna mkuu, hivi ule moto unaotoka kwenye exhaust huwa kunafanyika mechanism gani mpaka iwe hivo? Au ndo wanafanya tuning?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jason ameshindikanaJason Frisby ana mikwaju ya hatari, Aristo, Mark x 2GR, Chaser Modelista hizo gari zote ni maangamizi[emoji16] mzee wa Moshi chuga 20 minutes...
Unazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...Gari pekee ya Japan ambayo ni stock inayoweza kutembea na Golf Gti ni Nissan GTR35 pengine na Lexus L500.... Hakuna gari nyingine inaweza kitembea GTI.
That's my point, gari za Japan ziko vizuri kwenye acceleration lakini limited kwenye top speed. Kama unaenda safari ndefu, Lexus atapigwa tu na GTIUnazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...
Nissan Skyline sio level za GTI...
Racing zipo. Za underground lakini... watu tu wanaitana usiku kushindana. Mara nyingi inafanyika quality center.... ila FIA wamekuja bongo na wanaandaa drag racing event... coming soonHivi kwa bongo bongo siku hizi kuna mambo ya racing? Naona arusha kama ishafungiwaga baada ya jamaa mmoja kuhama barabara na akafa hapo hapo sikumbuki vizuri tukio
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanyaga siku gani kiongozi napenda kwenda kutazamaRacing zipo. Za underground lakini... watu tu wanaitana usiku kushindana. Mara nyingi inafanyika quality center.... ila FIA wamekuja bongo na wanaandaa drag racing event... coming soon
Hapa pia tujue GTI zipo, maana zipo nyingi MK8, MK5 tunaringanisha IS ipo au crown ipi ? pia kuna Golf R, ni vyema tuziweka gari zenye daraja sawa na specUnazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...
Nissan Skyline sio level za GTI...
Sasa Bongo hamna barabara za mashindano so ni hatare sana. Yani hiyo michezo Kiafrika bado sana kwanza tupambane tupate maji safi na salama kwa kila raiaHivi kwa bongo bongo siku hizi kuna mambo ya racing? Naona arusha kama ishafungiwaga baada ya jamaa mmoja kuhama barabara na akafa hapo hapo sikumbuki vizuri tukio
Sent using Jamii Forums mobile app