High perfomance cars!

High perfomance cars!

Bro Golf sio gari ya kawaida hizo R series sio za kawaida kutoa model tofauti wanakimbizana na Merc pia kwa hizi hatchback wanatoa kweli..pana gari hata ukiwa na hela uwezi kuendesha Johanesburg ni pamoja na hiyo R series bomba nne nyuma wezi wanaichukua kama yao vile...maana wanazitumia kuibia na zinakimbia balaa polisi nao wamepewa hizo ngoma kwa hiyo ngoma imekua droo..
Nimetumia "Gari ya kawaida" kwa maana ya sio supercar kama Lamboghini etc
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli toyota/japan wamepata mtetezi nakubaliana nae kuhusu speedlimiter,kuna jamaa yangu mmoja kijichi ana rav4 ya diesel ni ya UK clocked 240km/h anazisumbua sana gari tunazoziona zina mbavu kibongo bongo.
Watu wengi wanajimwambafi against mjapan ila European versions za mjapan au Chinese versions zina exceed 180kph. Ni moto wa kuotea mbali!
 
Naona mnaenda mbali wakati uwezo wetu wengi ni 10-25M cars! Hizo gari zinazozidi hapo hamn haja hata kuzijadili.
Benz ni C200, BMW ni 3 series tena isiokula wese 😂😂😂 ama 1 series, Subaru forester akipinduka ni rav 4 kili time,vanguard nk
 
Mnyama huyo wazee s560
IMG-20220829-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari sna mkuu, hivi ule moto unaotoka kwenye exhaust huwa kunafanyika mechanism gani mpaka iwe hivo? Au ndo wanafanya tuning?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni namna ya timing. Unafanya kanakwamba mafuta yanakua dumped kwenye exhaust valve bila kuchomwa. Matokeo yake ndoivo yanachomwa kwenye exhausts, manifold, exhaust pipe au muffler... ndomaana utaskia zile pops, milio flani ivi kama ya bunduki huku ikitema moto
 
Kuna clip Youtube, inaonesha 400whp forester XT acceleration sio mchezo aseee ngoma inafunguka kama inataka kuruka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa bongo bongo siku hizi kuna mambo ya racing? Naona arusha kama ishafungiwaga baada ya jamaa mmoja kuhama barabara na akafa hapo hapo sikumbuki vizuri tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari pekee ya Japan ambayo ni stock inayoweza kutembea na Golf Gti ni Nissan GTR35 pengine na Lexus L500.... Hakuna gari nyingine inaweza kitembea GTI.
Unazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...

Nissan Skyline sio level za GTI...
 
Unazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...

Nissan Skyline sio level za GTI...
That's my point, gari za Japan ziko vizuri kwenye acceleration lakini limited kwenye top speed. Kama unaenda safari ndefu, Lexus atapigwa tu na GTI
 
Hivi kwa bongo bongo siku hizi kuna mambo ya racing? Naona arusha kama ishafungiwaga baada ya jamaa mmoja kuhama barabara na akafa hapo hapo sikumbuki vizuri tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
Racing zipo. Za underground lakini... watu tu wanaitana usiku kushindana. Mara nyingi inafanyika quality center.... ila FIA wamekuja bongo na wanaandaa drag racing event... coming soon
 
Unazungumzia GTI stock? weka lexus IS na GTI uone GTI inavyoachwa, crown tu yenyewe inailamba GTI kama ipo stock, GTI atailamba crown akifikia speed limiter...

Nissan Skyline sio level za GTI...
Hapa pia tujue GTI zipo, maana zipo nyingi MK8, MK5 tunaringanisha IS ipo au crown ipi ? pia kuna Golf R, ni vyema tuziweka gari zenye daraja sawa na spec
 
Hivi kwa bongo bongo siku hizi kuna mambo ya racing? Naona arusha kama ishafungiwaga baada ya jamaa mmoja kuhama barabara na akafa hapo hapo sikumbuki vizuri tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Bongo hamna barabara za mashindano so ni hatare sana. Yani hiyo michezo Kiafrika bado sana kwanza tupambane tupate maji safi na salama kwa kila raia
 
Back
Top Bottom