High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Umesahau goli la mkono au alivyoingilia maamuzi ya rufaa ya simba dhidi ya Kagera
 
Ndio maana T.Prisons iliwasumbua kupata magoli.

Butuabutua ndio unasema mipango mkuu..??
 
Simba tunacheza mpira wa kisasa uwanjani nyie utopolo mpira wenu mnachezea mdomoni tena mkilalamika.Kama mawazo yenu ndio hayo mna safari ndefu sana.Ongea mpira mkuu,visingizio havichezi mpira
Pale Yanga Wale GSM wamewekeza kwenye midomo ya mashabiki.
Yaani wanachoongea nje ya uwanja ni tofauti na wakiwa uwanjani... (Pumba tupu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…